miaka 8

Fushigi Yûgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Lindi: Alli Hamisi Mbelenje (30) ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mtoto wa miaka 8

    Mahakama va Hakimu Mkazi Lindi imemhukumu Alli Hamsi Mbelenje (30), mkazi wa Kijiji cha Makonde, Kata ya Mtama, Wilaya ya Lindi, kifungo cha maisha Gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kumlawiti mtoto wa kiume, Mwanafunzi wa darasa la nne mwenye umri wa miaka nane Hukumu hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Hapa shida inaweza kuwa nini?

    Katika pitpita zangu mitandaoni, nimekutana na hii habari ya Mark wa Mark Angel Comedy (kama humjui potezea point yangu sio hiyo). Wanaijeria hasa wanawake wanamnanga kwelikweli hata mimi nimeona ni kweli kuna jambo haliko sawa, ndani ya miaka 8 ameoa mara nne?? Swali kwa wanawake unaweza...
  3. JamiiForums Tanzania ARTETA IS THE ROTTEN WALKING BOY; Hovyo kabisa huyu afukuzwe tu. Miaka 8 no trophy. Kweli EFL tumekosa tena dhidi ya City?

    Straight to ostracize poor approach & strategies Plugged in the Team by this Rude boy, Arteta. Game ya Jana anaanza na Forward wawili lakini primary approach ni kujilinda so Forward walikuwa wa kazi gani? Foward za Arsenal ni Butu lakini bado aweka trust kwao kweli huyu ni Kocha? Jana...
  4. JamiiForums Tanzania Nilichojifunza Kwenye Kujiajiri Biashara ya Vipodozi Asilia Miaka 8

    Mwaka 2017 nilipeana rasmi mkono wa kwaheri na mwajiri wangu Simba Technology ,Posta Dar es slaam. Maagano ya ya kirafiki na bashasha kila mmoja akimtakia mwenziye kila la kheri.Hapo nilikuwa nimetumia miaka 3 kudeal na biashara ya sabuni asilia kwa muda wa ziada wa ajira ,iwe usiku,weekend hadi...
  5. JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI-NINA UZOEFU WA ZAIDI YA MIAKA 8.

    Habarini Wana jukwaa. Nimekuja mbele Leo kutafuta connection, Network ya kazi. Nina uzoefu wa miaka 8 kazi za Administration, procurement and logistics. Nina uzoefu nmefanya kazi kwenye Mashirika na pia kwenye sekta binafsi. Nipo tahari kufanya kazi mahali popote. Kwa Maelezo zaidi pamoja na...
  6. JamiiForums Tanzania Jamii ya wahadzabe ilindwe, baada ya miaka 8 hawatokuwepo tena

    Ndani ya hii miaka miwili Kuna muingiliano mkubwa sana wa jamii wa watu wa hadza na watu wa ulimwengu wa kwanza kitu ambacho binafsi naona kama kitachangia sana kuharibu mfumo wa mzuri wa kiasili waliouzoea kuishi na kuondoa kabisa ule utambulishi wao kama wahadzabe Wageni wengi wanaokuja...
  7. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mtoto wa miaka 8 achomwa moto na jirani kisa kupoteza sh 200

    Hii taarifa imeniumiza sana jamani kwa ukatili huu ambao baadhi ya watu wanaendelea kuufanya kwa watoto. Yani kisa 200 unathibutu kumchoma moto mtoto. Au wanabifu na mama wa mtoto huyo? ================== Mtoto Abinala Hebron Mwambigija(8), Mwanafunzi wa darasa la pili Shule ya Msingi Iwambi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uume wa mtoto wangu wa miaka 8 wa hausimami akiamka asubuhi

    Ushauri wenu wakina Kijana wangu wakiume Umri miaka 8 kwa muda mrefu sana takribani miaka 4 uume wa kijana wangu umri miaka 8 simuoni uume ukisimama asubuh anapoamka. Ama nikimuamsha usiku wa mananE pia sioni uume ukisimama ila hapo kabla miaka 4 nyuma alikua akisimamisha vizur tu Msaada...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Sijaona uume wa mtoto wangu (8) ukisimama asubuhi kwa zaidi ya miaka 3, ni hali ya kawaida au atakuwa na tatizo?

    Habari wakuu mim ni baba wa watoto wawili, huyu mototo wangu waukiume Umri miaka 8 sasa, wakat akiwa na Umri wa miaka4 mkilala ukiamka ukienda kuamasha akokojoe usiku ama akiamka asubuhi uume ulikuwa unamuona umesimama. Sasa imepita miaka hasimamishi asubuhi hata ukienda kumuamsha akojoe au...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Mzazi aliejikuta mzungu kumpa simu mtoto wa shule ya msingi yamtokea puani, Mtoto kaanza kucheki X na kujichua akiwa na miaka 8 tu

    Muhimu: wanaodhani mtoto wa miaka 8 hawezi kujihusisha na ngono basi niwaelimishe kwamba haya mambo yapo, isiopokuwa tu wao umri huo hufanya kwa kuiga tu, hufanya bila kujua ni kwa nini anafanya, viungo vyao bado havijakomaa. Niliwahi kumshauri huyu mzazi kwamba uwezo wake kiuchumi wa kuweza...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 8 aliepotea Kibaha na kukutwa ametupwa shimoni na amekufa: Ni sahihi Polisi kusema usubiri masaa 24 kabla ya kuripoti kupotea mtoto?

    Kuna tukio la hivi karibuni la Kibaha, ambapo wazazi wa mtoto wa kike wa miaka 8, Angel, mwanafunzi wa darasa la 2, walienda Polisi kuripoti kupotelewa mtoto, wakaambiwa Polisi hawawezi kupokea taarifa yao ya kupotelewa mtoto na inabidi wasubiri kwanza masaa 24 ndio wakaripoti kupotelewa mtoto...
  12. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Watu 45 wafariki baada ya Basi kuanguka kwenye daraja, Msichana wa Miaka 8 anusurika

    AFRIKA KUSINI: Watu 45 wamefariki Dunia baada ya basi walilokuwamo kutumbukia umbali wa Mita 50 katika korongo na kuwaka moto huku Msichana mwenye umri wa miaka 8 akijeruhiwa katika Jimbo la Limpopo Basi hilo lilibeba Waumini waliokuwa wakisafiri kutoka Gaborone, Botswana kuelekea Mji wa Moria...
  13. JamiiForums Tanzania Ups and down miaka 8 ya kubet (addiction) bila ya mafanikio

    Ndugu zangu Kwenye jukwaa hili nimeshuhudia hadithi na mikasa mingi watu waliyokutana nayo kabla na hata baada ya kujiunga mtandao huu mwaka 2014 hivyo kwanza nijipongeze kwa kufikisha miaka 10 kwenye hili jukwaa na miaka yangu hii kumi napenda kutoa stori fupi ya maisha yangu ambayo ni ya...
  14. JamiiForums Tanzania Shakira akubali kulipa Faini ya Tsh. Bilioni 20 ili kukwepa kifungo cha Miaka 8 Jela

    Nyota wa Muziki wa Pop raia wa Colombia, Shakira amefikia makubaliano na Waendesha Mashtaka wa Uhispania kutatua kesi ya kukwepa Kodi kwa kulipa Euro Milioni 7.5 (Tsh. Bilioni 20.4) muda mfupi kabla ya kesi yake ilipokaribia kuanza. Awali Shakira alikataa kulipa Faini hiyo alipoambiwa achague...
  15. JamiiForums Tanzania Nimekuwa singo Kwa Miaka 8 sasa, nifanyaje?

    I know, it has been a minute Bado nimekuta maswali mengi inbox after been gone for 3 years Sasa kuna MTU kakwama anaomba atolewe shimoni; MTU: da penny, nimekuwa singo Kwa Miaka 8 sasa, nataka kurudi kwenye game Naanzaje? Inakuwaje? Naanzia wapi? Haya wapendwa naomba mumsaidie kijana...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu alivyomkaribisha mtoto wa miaka 8 kukalia kiti cha Rais

    Mtoto Georgina Magesa (8) ametimiza ndoto yake ya kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan na kumpatia zawadi ya kitabu, huku tukio hilo likivuta hisia za watu wengi baada ya Rais Samia kumkalisha mtoto huyo katika kiti chake (Kiti cha Rais). Hayo yametokea leo Alhamisi Mei 18, 2023 katika uzinduzi...
  17. JamiiForums Tanzania Simulizi fupi: Mtoto wa miaka 8 alifanya nikajuta kuishi ugenini

    Habari za asubuhi wakuu Nina story fupi ya mtoto wa miaka 8 alifanya nijute kukaa UGENINI lengo la story hii tujifunze na tukemee vitendo visivyofaa kwenye jamii ili kudhibiti matukio ya ubakaji na wazazi tujitahidi kwa malezi Bora. Asanteni Mwaka 2018 wakati nipo chuo hapa jijini baada...
  18. JamiiForums Tanzania Musonda atunukiwa medali na mtoto wa miaka 8

    Mchezaji wa Yanga Kennedy Musonda leo ametunukiwa medali aliyopewa na mtoto wa kutoka huko Spain aitwaye Lucas Gomez. Medali hiyo ilikabidhiwa kwa Musonda na Balozi wa Spain kwa niaba ya mtoto huyo. Musonda alipata zawadi hiyo kutokana na kuwa man of the match wakati akichezea club yake ya...
  19. JamiiForums Tanzania Roberto Firmino kuondoka Liverpool baada ya kudumu kwa miaka 8

    Raia huyo wa Brazil anatarajiwa kuondoka mwishoni mwa msimu huu baada ya mkataba wake kumalizika. Firmino (31) amekuwa klabuni hapo tangu Mwaka 2015 amecheza mechi 353, akifunga magoli 107 na asisti 70. Msimu huu umekuwa mgumu kwake kutokana na kuandamwa na majeraha huku kukiwa na ushindani...
  20. JamiiForums Tanzania Mfahamu Andreas Felipe Ballesteros Uribe Raia wa Colombia aliyekaa Keko mahabusu miaka 8 kwa kesi ya dawa za kulevya

    Adres Felipe Ballesteros mzaliwa wa Colombia Bogota mwenye umri wa miaka 36 alikamatwa hapa nchini Tanzania mnamo August 2014 kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroine akiwa amezifich kwenye pindo la suruali na kete nyingine akiwa amemeza. Adres Felipe Ballesteros ni Baba wa watoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…