miaka 35

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba nisaidie mawazo mimi nna miaka 35 nimeolewa miaka 7 iliyopita mume wangu ana uwezo mkubwa sana

    Hebu njoen Dr dogoli kinyamkela ☠️ 💀 naomba nisaidie mawazo mm nna miaka 35 nimeolewa miaka 7 iliyopita mume wangu ana uwezo mkubwa sana Ananipa kila kitu nnachotaka Nakatazwa kutoka nje hata nikienda kwetu napelekwa na kurudi nna mama na pia baba yangu alikufa nna baba wa kambo nakatazwa...
  2. Baada ya miaka 35, mwili hufika ukomo wa ukuaji

    Unapofika miaka 3, viungo vyote vya mwili hufika ukomo wa ukuaji hivo kila kitu kinaanza kurudi chini, mfano unachelewa kupona vidonda, dawa nyingi zinakukataa na maradhi huja mara kwa mara, kitakchokusaidia ni kama ulikua mtu wa mazoezi nyuma! kama ulikua na lifestyle nzuri ya mazoezi basi...
  3. Dkt. Aaron Mujajati: Ni ngumu kwa mwanamke kupata watoto baada ya miaka 35

    Daktari msomi sana toka Zambia, Dr Aaron Mujajati kaweka wazi kuwa ni ngumu kwa mwanamke kupata mtoto akivuka 35years. Hajasema haiwezekani ila kasisitiza kupata mtoto huambatana na changaamoto nyingi. Ikumbukwe Dr Aaron Mujajati ndo yule aliyesema kuwa hakuna ushahidi wa kisayansi kuonyesha...
  4. Usifanye mazoezi mazito baada ya miaka 35, Unajiua mapema

    Miili yetu hufika ukomo wa ukuaji unapofikisha miaka 35, kwa lugha rahisi mwili kua active kutengeneza cell mpya zenye ubora pia utimamu wa misuli na akili peak yake ni miaka 35, hivo basi kabla hujafika miaka 35 hakikisha unafanya mazoezi ya kutosha mbelen uko mazoezi hayana impact kubwa sana...
  5. Tafiti: Vijana chini ya miaka 35 huamini zaidi Conspiracy theories

    Utafiti mpya uliofanywa kwa ushirikiano kati yangu na Daniel Stockemer kutoka Chuo Kikuu cha Ottawa, uliotolewa katika jarida la Political Psychology, umeonesha kuwa umri ni miongoni mwa vihisishi vikuu vya kuamini Conspiracy theories — lakini si kwa namna ambayo wengi wangetegemea. Watu walio...
  6. Waziri Kombo ashiriki Maadhimisho ya Miaka 35 ya Uhuru wa Namibia, Atoa Wito wa Umoja kwa Maendeleo ya Afrika

    Waziri Kombo ashiriki Maadhimisho ya Miaka 35 ya Uhuru wa Namibia, Atoa Wito wa Umoja kwa Maendeleo ya Afrika Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki katika Maadhimisho ya Miaka 35 ya Uhuru wa Namibia, ambapo ametoa wito kwa...
  7. Ila JF huwa kuna vituko sana, eti mtu wa miaka 35 anamuita demu wake wa miaka 39 eti mshangazi

    Hii nchi ina vituko na JF ndio studio yake🤣 Ni basi tu tunawaponda dada zetu walio 30+ ila Kijana wa kiume ukishafikisha 30+ wewe nae ni "LIJOMBA" hadhi ile ile ya lishangazi. Siku hizi wadada hawazeeki, kuna vipi vipi siku hizi, kuna serum za kuondoa makunyazi, etc
  8. B

    Nimepata mshangazi wa miaka 39 anataka niishi naye kwake umri wangu ni miaka 35

    Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19 Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa...
  9. R

    Huna changamoto za kiafya, Umefika miaka 35 huna mtoto, usingizi unautoa wapi kwamfano ?

    Muhimu: Ni nje ya watu wenye changamoto za afya za uzazi, walemavu, wafungwa wa magerezani, watu wanaoishi maisha ya kimasikini kupitiliza. Suala la kuoa au kuolewa halina uzito sana hasa kwa zama za sasa, watu wengi ndoa zimevunjika wanaishi kivyao Lakini unafika 35 huna au hujawahi kuwa na...
  10. Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana.

    Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana. Jux we ndo kioo cha jamii Hapa Tanzania achana na hao waswahili wanaojiita wasanii.
  11. M

    Unaweza oa mwanamke wa miaka 35?

    Wakuu Salaamu,naomba kuuliza tu mfano wewe umekutana na Binti wa miaka 35,mwenye watoto wawili baba tofauti,unaweza oa mwanamke wa dizaini hii? Ni piss ya kwenda,mpambanaji but kasoro ni hiyo tu,
  12. Mimi nilimaliza chuo na miaka 33 kipata ajira na miaka 34 nikaoa na miaka 35

    Katika maisha kuna changamoto nyingi Sana Ila kubwa kuliko yote ni pale nilipooa na miaka 35 na ajira yangu ya kwanza niliipata na miaka 34. Nb nilimaliza chuo 2007 and I became jobless na mwaka 2012 nilisoma diploma ya ualimu pale university of Zanzibar na kumaliza 2014 na 2015 nikapata ajira...
  13. Ukifikisha miaka 35 jitahidi uanze kuwekeza katika biashara ambazo zina risk ndogo.

    Wakuu habari . Ukifikisha miaka 35 jitahidi uwekeze ktk biashara ambayo Ina risk ndogo . Mfano ,anza kufikiria kuhusu real estate business, Kama kuwa na Lodge za kupangisha ,mashamba na mifugo. Pia anza kufikiria kuhusu Passive income na kuwekeza katika teknolojia zaidi . Maana at the age...
  14. M

    ARIDHI NI MTAJI HAKIKA.

    kabla sijafikisha miaka 35 nataka nimiliki plot /viwanja/mashamba kwenye kila mkoa Tanzania Bara, Mungu anitangulie kwenye hili jambo, nimebaini utajiri wa kizazi kijacho upo katika aridhi, usipomiliki aridhi baada ya miaka 20 hali itakuwa mbaya sana, Aridhi inaenda kuwa dili.
  15. Ukiwa na miaka 35 na ukaamua kuanza moja kabisa, unatakiwa ujipe muda gani kutoboa au approximation ya kutoboa ipoje?

    Yaani Tayari ngoma inasoma 35, hujajenga, hujaoa, huna kazi, huna biashara, huna connection yoyote. Ila vitu ulivyokuwa navyo, una kitanda tayari na mashuka yako na baadhi ya vitu vya ndani, Una degree yako moja, umeamua kurudi nyumbani hapa hapa Dar kwa mzee kujipanga upya, mzee nae...
  16. Rafiki zangu wengi wenye umri wa miaka 35 mpaka 37 ndoa zao zimevunjika nyingine zipo ICU

    Kama mada inavyojieleza Hii hali imenishangaza sana. Nina marafiki wengi wa kike na kiume wenye umri unaocheza miaka 35 mpaka 37 wengi wao ndoa zao zimevunjika na nyingine zipo ICU Wengi wa marafiki hawa walioa baada ya kumaliza vyuo tena kwa mbwembwe nyingi leo hii ndo zimesambaratika na wengi...
  17. Mwanamke mwenye Umri wa Miaka 35- 42

    Naitaji mwanamke awe na Umri wa 35- 42 Nataka nimpe kazi ya kumlea mwanangu. Mtoto wangu ana Umri wa miaka 7. Ni wakike. Mshahara tutajadiliana mara Baada ya kuonana. Tuwasiliane NOTE: Hakikisha uwe mkristo, na ni muuzuriaji wa kanisani na jumuia(Mkatoriki). Tuwasiliane in Box.
  18. Naomba kuuliza aliyemaliza kidato cha nne mwaka 2015 na hajafikisha miaka 35 anaweza kupata mkopo ngazi ya diploma

    Naomba kuuliza aliyemaliza kidato cha nne mwaka 2015 na hajafikisha miaka 35 anaweza kupata mkopo ngazi ya diploma
  19. M

    Mtu Mwenye miaka 35 ni Kijana?

    Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana. Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi tofauti au ni huwa tuna/wana jifariji tu kujiita vijana ilihali wakijua wazi kwamba umri tayari umesha...
  20. Aliyelikimbia Jeshi la Uganda (UPDF) atupwa gerezani miaka 35, mwingine afukuzwa kazi kwa kujipa likizo ya miaka mitano

    Pte Abraham Engwedu (kushoto) and Pte Stephen Jarili (kulia). Askari mwenye umri wa miaka 44 amehukumiwa miaka 35 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuikimbia Jeshi la Ulinzi la Watu wa Uganda (UPDF). Mmoja wa wenzake ameukuzwa kutoka kwenye Jeshi baada ya kupatikana na hatia ya kutokuwepo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…