miaka 20

This article lists the major characters from the manga series Fushigi Yûgi, its anime adaptation, and the prequels Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden and Fushigi Yûgi: Byakko Senki.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mtu anakumbuka kosa alilofanyiwa miaka 20 iliyopita sababu mzazi hakumuomba msamaha!

    Kuna namna wazazi huwaona watoto kama hivi hawana hisia au wanaweza kuachilia vitu kirahisi kiasi kwamba anaweza kumfanyia kitu ambacho kitamuumiza na yeye atakibrush tu na kuendelea na maisha yake kama kawaida au hata kama akikubali kosa inakuwa ni ile ya ilimradi. Unakuta umekula mkong'oto...
  2. JamiiForums Tanzania Miaka 20 ya JF: Tuanzishe MaJukwaa Mapya 10 Yenye Impact Kutatua Changamoto za Wana JF na Jamii?. Wana JF Wenye Uwezo Tuwasaidie Wenzetu Nao WaWin au?

    Wana JF, Mwaka huu, JF tunatimiza miaka 20, niilishauri tufanye something big kuadhimisha miaka 20 ya JF ukiwemo ushauri huu Mwaka 2026 JF Inatimiza Miaka 20! Tuwakumbuke Wana JF wa Zamani, Tuwaenzi, Tuwarudishe, na Wale ma GT wa Enzi Zile Waurejeshe Moto Kama Ule au ..? Japo sijui jf kwa sasa...
  3. JamiiForums Tanzania Sheria ya kunyongwa mpaka kifo na kifungo zaidi ya miaka 20 visiwepo

    Habari Tanzania !. Nawaomba watanzania wenzangu tuamue kwa pamoja kuwa katika Sheria zetu hasa upande wa Jinai; tuondoe vifungo vya zaidi ya miaka 20 pamoja na kufuta kifungo cha maisha jela au kunyongwa mpaka kufa. Uhalisia ni kuwa; hakuna aliyemkamilifu isipokuwa ni Mungu pekee. Ikumbukwe...
  4. JamiiForums Tanzania Kijana ambaye yupo na miaka 20+ anakuwa anaona miaka 30 ni mingi sana , vile vile kijana mwenye miaka 30+ anakuwa anaona miaka 40 ni mingi sana

    Huwa nikikaa na vijana hasa , ambao wapo early twenties na ambao wapo early thirties Ni kama wanaishi katika Dunia FAKE ambayo sio genuine. O.G Utakuta ana miaka 20+ ila anakuambia mpaka anaingia miaka 30 atakuwa amesha Fu-ck odds ana Nyumba , gari , biashara n.k Akiamini miaka 30 kuifikia ni...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anamtafsiri Mwanaume kawaida kisia ndiyo sababu anaweza kuishi zaidi ya miaka 40 bila kushiriki mapenzi

    Mwanamke ni kiumbe mwenye uwezo wa kuishi zaidi ya miaka 20-40 pasipokushiriki mapenzi kwasababu anamtafsiri Mwanaume kama mtu wa kawaida kihisia na wala hashawishiki na uchi wa Mwanaume ikiwa anakubali basi ni kwa mapenzi ya kumhurumia Mwanaume anayemshawishi Mwanamke anaweza kumpa Mwanaume...
  6. JamiiForums Tanzania Wote tulio na miaka 40+ tutakufa ndani ya Miaka 20 ijayo

    Nawakumbusha tu wote nyie namimi ndani ya miongo hii miwili tutaoza na kuwa mifupa kuna miongoni mwetu/ mwenu mwaka huu mtaiacha dunia. Usiku mwema MAREHEMU.
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza kuoa mama mwenye mtoto wa mwaka mmoja, halafu miaka 20 baadaye mtoto anakuambia: "Wewe si baba yangu" 🙄😏😏.Mnaotaka kuoa singo maza

    Unaweza kuoa mama mwenye mtoto wa mwaka mmoja, halafu miaka 20 baadaye mtoto anakuambia: "Wewe si baba yangu" 🙄😏😏. Mnaotaka kuoa singo maza kaujumbe hakoo Japo siyo wote ....
  8. JamiiForums Tanzania Miaka 20 ya JamiiForums (Machi 2006 - Machi 2026): Tukio gani hutalisahau lililotokea ndani JF?

    Unakumbuka nini, tukio gani kila ukilikumbuka unaishia kucheka? Vipi JF imekuletea michongo gani na connection ipi! Umewahi kubahatika kuonana na member yoyote nje JF? Unahisi miaka ya sahivi na miaka ile kuna utofauti gani hapa jukwaani. Ulikuwa wapi kipindi kile ofisi za JF zinapigwa msako...
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa Tanzania 50% ya wavulana wenye miaka 20 hawajahi kufanya mapenzi, lakini kwa wasichana wenye umri huo ni 1% tu

    Tafiti iliyofanywa na Taasisi ya Mahusiano na Unyumba imebaini kuwa ni 1% tu ya wasichana hufika miaka 20 wakiwa bado hawajawahi kufanya mapenzi. Sababu zikidaiwa kuwa ni :- 1. Kushindwa kuhimili vishawishi. Mtoto wa kike huanza kutamaniwa na kuanza kushawishiwa kufanya ngono mara tu anapoanza...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliamua kujioa baada ya kusubiri mwanaume sahihi kwa miaka 20

    Septemba 2017, mwanamke Laura Mesi, mwalimu wa mazoezi ya viungo wa Italia mwenye umri wa miaka 40, alifanya jambo ambalo lilivutia dunia: alijioa yeye mwenyewe kwenye sherehe ya harusi kamili, akivaa nguo nyeupe, akiwa na wapambe wa harusi na wageni 70 walioungana kusherehekea pamoja naye...
  11. JamiiForums Tanzania Mwaka 2006 ni kama juzi tu ila ndio miaka 20 sasa, muda unakimbia kweli kweli

    Mwaka 2006 ni kama juzi tu wakuu. Ila ndio miaka 20 imepita,haya ni baadhi ya matukio yaliyotokea 2006 na sasa yana miaka 20. Juma Akukweti akiwa Waziri anafariki baada ya kuanguka na ndege huko Mbeya baada ya kuwasagia kunguni wafanyabiashara ndogondogo. Ubungo mataa kunapigwa tukio la...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuliodumu miaka 20+ kwenye ndoa zetu tukutane hapa tupeane na kubadilishana uzoefu

    Tupeane matukio na Kuona namna ya kuhakikisha zinadumu daima mpaka kuzikana. Binafsi Nina miaka zaidi ya 20 kwenye ndoa na Nina 45yrs. Nina watoto kadhaa. Kyra, vivi na shaykee Kuna muda naona kama wife ananidharau sabb ninachalala. Kama mjuavyo mwanamke ni pesa bila kuwa na pesa atakudharau...
  13. JamiiForums Tanzania Ishowspeed ana miaka 20 anazunguka dunia nzima wewe una 35 hata nauli ya chalinze huna

    Hii ni aibu dogo ana 20 anazunguka duniani na Africa wewe una 36 hata nauli ya morogoro huna
  14. JamiiForums Tanzania Addis Ababa itakuja kuwa kama Dubai miaka 20 ijayo, sio kwa ujenzi huu aisee

    Huyu Prime Minister wa Ethiopia sio poa aisee. Leo nilikuwa naangalia hii video inaonesha jinsi Addis Ababa inavyokua kwa kasi in just short time Watu wanahamishwa uswazi wanapelekwa kwenye makazi bora, wanaongeza viwanda na uwekezaji kila kona, wanapanda miti everywhere, maghorofa yanajengwa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania ICC yamhukumu Kiongozi wa Janjaweed Mohamed Rahaman miaka 20 jela kwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu Darfur

    Jitu limeua watu kibao, leo eti kifungo miaka 20. Huu ni utani! Ilibidi anyongwe maana ameua wanadamu wengi Darfur! Kwahiyo na huyu wa kule Visiwa vya Indonesia atahukumiwa miaka 20 na mauaji ya zaidi ya watu 10,000 aliowaua majumbani!!!
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: CCM Chama kikubwa hakiwezi kugombana na Mpina

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema CCM haina ugomvi na aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, kwa kuwa Chama kikubwa hakiwezi kugombana na mtu binafsi. Wasira alieleza hayo jana, wilayani Kisesa Mkoa wa Simiyu, alipokutana na viongozi na...
  17. JamiiForums Tanzania Miaka 20 - 25 mbele naiona hatma ya ulaya kuamuliwa na UISLAM. mark my post!

  18. JamiiForums Tanzania CCM achaneni na wabunge wa miaka 20+, watawachelewesha na kutuchelewesha sisi pia

    Mna wanachama wengi sana, watu wenye miaka 20 bungeni watachaguliwa tena kwa rushwa na sio kwa kupendwa na watu. Kama hakufanya kitu kwa miaka 20 hatafanya kitu tena, atafanyakazi kwa mazoea tu. Hawa watalichelewesha taifa kwakuwa wanategemea rushwa kupita sio sifa za kutenda kazi
  19. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa zamani wa Chad, Succes Masra, ahukumiwa kifungo cha miaka 20 jela na Faini takribani bilioni 4

    Mahakama nchini Chad imemhukumu kiongozi wa upinzani na waziri mkuu wa zamani, Succes Masra, kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuchochea vurugu za kikabila zilizogharimu maisha ya zaidi ya watu 40 kusini-magharibi mwa nchi hiyo mwezi Mei idara maalum cha makosa ya...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amnunia mkewe kwa miaka 20 baada ya mwanamke kuhamishia mapenzi yote kwa watoto

    Wakuu, Kuna huyu mwanaume huko nchini mwaka 1997 alimnunia mkewe kwa takriban miaka 20 baada ya mwanamke wake kupata mtoto wa kwanza na kisha kumsahau kabisa mumewe baada ya kuhamishia mapenzi yote kwa watoto. Katika mnuno huo, huyo mwanaume ambayo ambaye jina lake ni Otou Kattayama alikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…