miaka 15

This article lists the major characters from the manga series Fushigi Yûgi, its anime adaptation, and the prequels Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden and Fushigi Yûgi: Byakko Senki.

View More On Wikipedia.org
  1. Yericko Nyerere

    Umri wa kustaafu uwe miaka 45/Utumishi kikomo iwe miaka 15

    Ninafikiri kwamba, Umri wa kustaafu utumishi wa umma ushuke na kuwa angalau miaka 45 hivi, ama tuweke ukomo wa utumishi wa umma uwe miaka 15 tu, ili mtu akistaafu apate fursa ya kuyaishi maisha mengine ya kujitafutia kipato nje ya utumishi akiwa na nguvu zake kamili, na kuruhusu kizazi kingine...
  2. W

    Watoto chini ya miaka 15 wapigwa marufuku mtandaoni Ufaransa

    Wabunge wa Ufaransa wamepitisha mswada ambao utawapiga marufuku vijana wa chini ya umri wa miaka 15 nchini humo kuwa katika mitandao ya kijamii. Mswada huo uliopitishwa katika Bunge la kitaifa sasa utapelekwa kwa Baraza la Seneti ili kupitishwa kuwa sheria. Rais Emmanuel Macron ameitaja kuwa...
  3. P

    Miaka 15 iliyopita: Nilitetea ukweli, familia ikaniona mbaya

    Wasalam, Miaka 15 iliyopita kuna uncle wangu mmoja ambaye hatukuwa tunapisha sana umri alifariki kwa ajali akiwa anatoka Dodoma kuja Dar. Labda nikupe historia kidogo ya huyu uncle ambaye pia alikuwa rafiki na mshikaji wa karibu sana. Huyu uncle alikuwa mtu wa mambo mengi sana kwenye kutafuta...
  4. M

    Baada ya miaka 15 mdogo wangu wa kike ndiyo kaniambia rafiki yake alijua nitamuoa

    Hii ni stori ndefu sana kipindi hicho nilikuwa naishi Mwanza nikifanya biashara ya mavazi nikinunua Dar kwenda kuuza Mwanza,na mdogo wangu wa kike alikuwa anasoma UDSM,mda mwingi nilikuwa nikimsaidia mahitaji madogomadogo si unajua tena mambo yaa chuo,nilikuwa kila nikienda namkuta na rafiki...
  5. October 2pm

    Miaka 15 tukiwa Ikulu. Inshallah

    Hivi ni rekodi ambayo haitakuja kuwekwa hivi karibuni tangu demokrasia ya vyama vingi mwaka 1992. Tutamaliza salama miaka 25 kibindoni tukiwa Ikulu. Inshallah!
  6. Just Pray

    Zitto Kabwe: Miaka 15 niliyokuwa mbunge Wizara ambazo mijadala ya bajeti huwa ni vita ni Wizara ya Nishati, Mwaka huu imepitishwa bila mikwaruzano

    Katika muda wa miaka 15 niliyokuwa mbunge miongoni mwa Wizara ambazo mijadala ya bajeti huwa ni vita ni Wizara ya Nishati tangu wakati inaitwa Nishati na Madini. Mwaka huu naona bajeti imepitishwa bila mikwaruzano yeyote. Nilipata kusema huko nyuma kuwa Waziri Dotto Biteko ni 'Simba mwendapole'...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    Jeremy Monga aweka rekodi ya mchezaji mdogo wa pili kucheza EPL akiwa na miaka 15 tu

    Kinda wa Leicester City, Jeremy Monga jana usiku aliweka rekodi ya kuwa mchezaji wa pili kwa umri mdogo kucheza EPL. Kwakuwa Monga yuko chini ya miaka 18, hivyo jezi yake haikuwa na maandishi ya wadhamini ambao ni kampuni ya kamari ya BC Game. Monga mwenye miaka 15 aliingia dakika ya 74...
  8. Zirconium

    Je Wajua !? Jino lililozibwa linadumu zaidi ya miaka 15.

    Fahamu baadhi ya Faida za Kuziba meno Yaliyotoboka 1. Meno Yaliyotoboka iwapo yatazazibwa yanadumu miaka 7-10 2. Utazuia meno yasiendelee kuharibika 3. Ubora na uimara wa jino halisi utaongezeka 4. Jino Litakuwa na uimara kama mwanzo Iwapo una changamoto za Afya Kinywa na Meno Unaweza...
  9. W

    Kim Soo Hyun kikabiliwa na hasara ya Tsh. Bilion 34,madai ni mahusiano na Kim Sae Ron akiwa na miaka 15

    Muigizaji maarufu wa Korea Kusini, Kim Soo Hyun, yuko katika hatari ya kupoteza zaidi ya dola milioni 13 baada ya madai kuibuka kwamba aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji Kim Sae Ron alipokuwa na umri wa miaka 15, pamoja na madai ya kumlazimisha kifedha Kwa mujibu wa ripoti ya...
  10. Just Pray

    PreGE2025 Shigongo atoa milioni 10 kukamilisha ujenzi wa Zahanati uliosimama kwa miaka 15 Buchosa

    Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, ametoa kiasi cha fedha shilingi milioni 10 kusaidia kukamilisha ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Majengo, Kata ya Ilenza, ambayo ujenzi wake ulikwama kwa takriban miaka 15. Akiwa kijijini hapo Machi 07, 2025 Shigongo amewahimiza wakazi wa Kijiji...
  11. Waufukweni

    Ally Mohamed Keissy: Nilitaka tubadili Katiba ili Magufuli awe Rais kwa miaka 15

    Aliyekuwa Mbunge wa Nkasi Kaskazini (2010-2020), Ally Mohamed Keissy, amefafanua sababu zilizopelekea msukumo wake wa kutaka kubadili Katiba ili Magufuli awe Rais kwa miaka 15.
  12. A

    Changamoto ya PF3 kwa miaka 15+ [2008-2024] Tafsiri yake ni nini ?

    Habari za muda wakuu. Kwenye kupitapita humu mtandaoni nimekutana na uzi wa wadau mbalimbali katika nyakati tofauti tofauti Ukizungumzia upatikanaji wa huduma ya afya ambayo ni muhimu sana kwa majeruhi wowote iwe ni wa ajali,wizi, nk ambayo inalenga kuwapatia taarifa za majeruhi na tukio...
  13. Sniper

    Magari ambayo unaweza kuendesha miaka 15 bila shida kubwa

    MwanaJF, Naomba tujadili magari magumu zaidi kwa mazingira ya Tanzania. Magari ambayo unaweza ukaendesha zaidi ya miaka 15+ bila shida kubwa kubwa. Services za kawaida na replacement ndogo ndogo. Kwa uzoef wangu naona yafuatayo 1. Toyota Carina Ti 2. Rav 4 old model 3. Suzuki Escudo 4. Toyota...
  14. Gabeji

    Nguvu ya Umma baada ya miaka 15 ijayo ndiyo itakayoleta Katiba Mpya Tanzania, na si CCM

    Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Kudai katiba mpya kwa CCM au wanasiasa ni sawa na kudai uhuru kutoka kwa "mkoloni" kwa sababu ya ubinafsi (egoism). Katiba ndio injini ya nchi yoyote ile duniani. Watanzania ni kama mgonjwa wa akili tu! Ambaye anamini kuwa katiba mpya italetwa na CCM au...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Malezi: Adhabu gani na Wakati gani unapaswa kumuadhibu Mtoto? Hivi ndivyo utakavyofanya.

    MALEZI: ADHABU GÀNI NA WAKATI GÀNI UNAPASWA KUMUADHIBU MTOTO? HIVI NDIVYO UTAKAVYOFANYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sasa umeshakuwa na Familia. Au pengine huna lakini unatarajia Siku za karibuni utakuwa na Familia. Binadamu wôte waliotimamu wanajua Hakuna Maisha mazuri nje ya familia...
  16. Mad Max

    Habari nzuri kwa makampuni ya Mabasi: CATL wazindua battery yenye lifespan ya miaka 15!

    Watengenezaji wakubwa wa battery za magari ya umeme CATL jana (tar 13 Sept) wamezindua battery Tectrans Bus Edition kwaajili ya mabasi ya umeme yenye lifespan ya miaka 15 au Kilometa Mil 1.5 na warranty ya miaka 10 au kilometa Million 1. Hii battery ina energy density ya 175 Wh/kg ambayo ni...
  17. G

    Bunge la Iraq lapokea muswada wa kupunguza umri wa kuolewa kutoka miaka 15 mpaka miaka 9

    Bunge la Iraqi linataka kuruhusu wasichana wa miaka 9 kuolewa kihalali, kwa sasa umri unauruhusiwa na katiba ili binti aolewe ni miaka 15, bunge linataka umri huo upunguzwe hadi miaka 9. Muongozo unaofatwa ni Sharia Law ambayo ni mkusanyiko wa sheria kadhaa za dini. === Iraq plans to lower the...
  18. N

    TRA yadaiwa kuanza kuvamia wawekezaji wa kigeni na kudai malipo na usuluhishi wa akaunti wa miaka 15 nyuma. Je, Serikali ina uhaba wa fedha?

    Licha ya kupiga hatua kwenye kuvutia wawekezaji na kuwa kivutio cha FDI sasa hali imeanzakudhoofishwa. Mabalozi wameanza kulalamika kuwa wawekezaji wao wengi wanakumbana na usumbufu mkubwa kutokana na notisi zisizothibitishwa kutoka kwa TRA zinazodai malipo na usuluhishi wa akaunti wa miaka 15...
  19. Mstahiki Mea

    Jela miaka 15 kwa kujaribu kumbaka bibi kizee miaka 80

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi, imemuhukumu kwenda jela miaka 15 John Swaki Fokasi, kwa kosa la kujaribu kumbaka bibi kizee wa miaka 80. Mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo Aprili 03, 2024 huko Tulieni mashambani majira ya saa sita usiku alipomvamia bibi kizee huyo kwenye nyumba...
  20. B

    SoC04 Tanzania ya viwanda miaka 15 ijayo

    Kufanya Mapinduzi Makubwa ya Viwanda Tanzania Katika Miaka 15 Ijayo: Mkakati wa Kutekeleza Ili kufanikisha mapinduzi makubwa ya viwanda nchini Tanzania katika miaka 15 ijayo, juhudi za pamoja na mkakati thabiti zinahitajika. Mkakati huu unapaswa kuzingatia mambo yafuatayo: 1. Kuimarisha...
Back
Top Bottom