Habari wanajamvi anahitajika mhudumu mwenye uzoefu wa huduma za uwakala wa simu na benki sharti awe na mdhamini na anaishi dar es salaam maeneo ya kibamba
Mwenye kukidhi vigezo aje pm
Imenishangaza mno!
Dada wa watu ambaye ni mhudumu wa Guest jirani na Kanisa amemwomba Mchungaji atoe ushuhuda ajabu wazee wa Kanisa wamekataa kata-kata!
Kuepuka kushambuliwa na magaidi wa Waislamu maarufu kama Houthi, meli zinatangaza kwa herufi kubwa kwamba kila abiria au mhudumu ni muislamu.
Hii dini ya muarabu ikiendelea kuchekewa itaangamiza dunia, bora hivyo kubwa lao Iran limekalishwa.
=============================
'All Crew Muslim'...
Nimeshangazwa sana na waziri mkuu kushangazwa na wanaoajiriwa kwenye ndege za mashirika ya kimataifa kwa ajili ya kuzungumza kiswahili sio watanzania.
Kwa mtazamo wangu nilidhani waziri mkuu angekuja na mpango ambao serikali imefanya kuwafanya watanzania wanaozungumza kiswahili waajiriwe kwenye...
Hii ni habari ya kweli kabisa. Sio chai. Uongo mimi nauchukia kama ukoma.
Mwinjilisti mmoja, masaa machache yaliyopita, alipigiwa simu (kwa namba ya kawaida ya mtumiaji wa Vodacom) na mtu aliyejitambulisha kuwa "Mhudumu" wa Vodacom. Maongezi yao yalikuwa hivi:
"Mhudumu": Hallo, unaongea na...
Basi la VIP Dar kwenda Arusha inakuwaje muhudumu wenu ajipulizie Manukato wakati ndani ya gari kuna air conditioning na madirisha yamefungwa.
Ni usumbufu Kwa abiria na wengine Wana matatizo ya harufu na vifua. Waelemisheni wahudumu wenu
Wakuu,
Mwana kang’oa pisi kali
Jamaa mmoja kutoka Uganda ana-trend baada ya kushinda milioni 36 kwenye betting. Baada ya ushindi huo, mhudumu wa mapokezi katika kituo cha betting aliamua kuacha kazi yake mara moja na kuwa mpenzi wake, kisha wakaondoka pamoja.
Pia, Soma: Mchungaji afunga...
Natokaje hapa, ndo ushauri ninaohitaji.
Hapa jirani kuna pub mpya imefunguliwa mwezi sasa, kuna pisi za hatari …. kuna hii moja juzi nilikuja ikanichekeachekea leo nilikuja mahsusu kwa ajili ya kuomba namba nikasema nizuge na Valeur ndogo nina buku tano tu. Sa kaleta Viceroy ndogo na...
Hello!
Leo katika pita zangu mtaani kwetu makuburi nikamkuta bwana afya wa kata ya makuburi kibangu wanakoromeana na mmiliki wa banda la chips huku mmiliki wa banda hilo akimnyooshea kidole bwana afya kuwa anafanya utapeli kwa kuwa yeye(mwenye banda la chips) ana miaka zaidi ya mitano katika...
Shalom,
Tafadhari mwenye video popote alipo aiweke hapa, kuna kichapo Cha mbwa Koko mzungu mwenye matusi ya kutia watu Nyani amekipata, Nairobi ilijaa kizaa zaa baada ya mzungu kupata kichapo huku ikionekana huyu mzungu ni Baharia wa kugaurd ila bahati mbaya alizidiwa na ukubwa na uzito wa...
Rais Samia ameyazungumza hayo leo katika siku ya wanawake duniani ambapo nae amehudhuria kongamano la wanawake.
---
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wakati anasoma sekondari ndoto yake ilikuwa ni kuwa mhudumu wa ndege kwa kuwa alivutiwa na wafanyakazi Shirika la Ndege la DRC...
MMILIKI wa baa ya Tale mjini Njombe, Jackson Mgeni (35), mkazi wa Mji Mwema mjini hapa, amefariki dunia kutokana na kuchomwa kisu tumboni na anayedaiwa mteja wake, Emmanuel Shiwa (32).
Mfanyabiashara wa madini na mkazi wa eneo la Uwanja wa Ndege mjini Njombe, anadaiwa kutenda ukatili huo baada...
Mhudumu wa Baa ya Nyemo, Asia Eliya (24) amefariki dunia kwa madai ya kunywa pombe kupita kiasi bila ya kula chakula.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Mtaa wa Picha ya Ndege, Joseph Zambo alisema kuwa Asia alifariki dunia akiwa njiani kupelekwa hospitali.
Zambo alisema kuwa tukio hilo lilitokea...
Nilifika Songea nikaaa bar moja inaitwa Serengeti, mhudumu aliyekuwa ananuhudumia nikamuona anazungumza na dada moja mzuri sana. Yaani mzuri elewa hivyo.
Nikamuita nikamwambia yule dada uliyekuwa unazungumza nae nimemuelewa niitie, akasema yule ni mdogo wake mtoto wa baba yake mdogo ni mwalimu...
Netflix inatafuta mhudumu mpya wa ndege ili kujiunga na watoa huduma wake na iko tayari kumlipa zaidi ya dola 385,000 kwa mwaka kwa atakayekuwa na sifa.
Mhudumu huyo atafanya kazi kwenye moja kati ya Ndege zake binafasi katika mji wa San Jose, Calif. karibu na makao makuu ya kampuni ya Los...
Tupo katika msimu wa baridi kali, jana nilikuwa Dodoma kikazi, nikamaliza mambo yangu muda ukiwa umesonga sana nikaona busara ni kulala ili asubuhi na mapema nianze safari kurejea mkoani kwetu.
Nilitafuta Lodge nzuri mitaa ya Makole nikafanikiwa kupata, nikajifungia ndani kwa muda nikaoga...
MAHAKAMA ya Wilaya ya Geita imemhukumu mkazi wa Katoro, Justini Silivini (24), kutumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kubaka.
Alitiwa hatiani na kupewa adhabu hiyo baada ya mahakama hiyo kuridhika kuwa alimbaka mwanamke mwenye umri wa miaka 21 na kumsababishia maumivu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.