mhudumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Penzi la mhudumu wa 'Lodge' Dodoma limenikosha mwenzenu

    Tupo katika msimu wa baridi kali, jana nilikuwa Dodoma kikazi, nikamaliza mambo yangu muda ukiwa umesonga sana nikaona busara ni kulala ili asubuhi na mapema nianze safari kurejea mkoani kwetu. Nilitafuta Lodge nzuri mitaa ya Makole nikafanikiwa kupata, nikajifungia ndani kwa muda nikaoga...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuongea na mhudumu wa Voda Mpesa kipi nifanye?

    wanajamvi naweza fanyaje kuongea na mhudumu wa mpesa moja kwa moja bila kupitia haya maneno ya mashine ya 100.Asante
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Geita: Jela miaka 30 kubaka mhudumu wa baa

    MAHAKAMA ya Wilaya ya Geita imemhukumu mkazi wa Katoro, Justini Silivini (24), kutumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kubaka. Alitiwa hatiani na kupewa adhabu hiyo baada ya mahakama hiyo kuridhika kuwa alimbaka mwanamke mwenye umri wa miaka 21 na kumsababishia maumivu...
  4. Mkulungwa01

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuletewa nyodo na mhudumu wa kike?

    Salaam wakuu! Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, katika mihangaiko yako ya maisha ya kila siku, umewahi kwenda sehemu kupata huduma fulani na ukaletewa nyodo na mhudumu husika, kwa sababu tu aidha mmiliki ni mpenzi wake, au vyovyote? Karibuni!
  5. Nyamsusa JB

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mhudumu wa kuhudumia Mzee

    Habari. Natafuta Fulltime Mhudumu wa nyumbani wa kumhudumia Baba Mzee. Mzee anahitaji kusaidiwa huduma zote kwani ni mhanga wa Stroke. Sifa za Mhudumu. - Awe ni mzoefu wa kuhudumia wazee au watu wasiojimudu kujihudumia - Awe ni mtu mwenye Upendo na uvumilivu. - Mhudumu wa Kike atapewa...
  6. excel

    JamiiForums Tanzania nafasi ya kazi : mhudumu kwa mama ntilie

    Hello, Anahitajika binti, mdada au mwanamke wa kufanya kazi kama mhudumu na msaidizi wa mama ntilie Ajue kupika vyakula mbalimbali Ajue kuhudumia wateja na awe na lugha nzuri kwa wateja. Eneo la kazi ni Tabata reli Karibu na Chuo cha ualimu Saint mary. karibu pm
Back
Top Bottom