mheshimiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Tetesi: Rais kuwa mgeni rasmi kwenye mechi ya Yanga na Simba huko Zanzibar

    Raisi wa Tangabar anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye dabi ya kariakoo itakayopigwa tarehe 01/03/2026 katika uwanja wa Amaan huko Zanzibar.
  2. Sanyambila

    Ushauri kwa Rais Samia kuhusu kurejesha amani nchini

    Habari ya majukumu ya kulijenga taifa wazalendo Mimi kama mwananchi wa Tanzania, niliyezoea taifa lenye umoja, mshikamano na utulivu nimepigwa na butwaa kilichotokea nchini kwetu. Kumekuwa na kauli nyingi na nyingine zenye mkanganyiko wa makusudi tu kutetea ama kujisitiri pasipo kujua nchi hii...
  3. TODAYS

    PICHA: Waziri Kombo aibu hii umeonesha mbele ya Katibu Mkuu wa UN, António Guterres

    Ukaaji wako pichani unadhihirisha una aibu, umejipeleka kuomba msamaha, umewasilisha barua kimagumashi. Kuna wataalam wa kusoma wa picha na kuna ukaaji wa kiprotocal wa kiongozi kama wewe. Sijafuatilia kabisa ile barua uliyotumwa kupeleka ila kuna maneno fulani huea yanasema "MIMI TU...
  4. U

    Je, una mshauri nini Dkt. Emmanuel Nchimbi Makamu wa Rais wa Tanzania?

    Wadau nyote karibuni tumshauri Mheshimiwa jambo ambalo unaweza mshauri. Kwangu mimi namshauri adumishe hekima kubwa aliyonayo.
  5. Roving Journalist

    Mussa Azzan Zungu awa Spika wa Bunge la 13. Achaguliwa kwa kura 378 kati ya kura 380 halali

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limefanya uchaguzi wa kumchagua Spika wa Bunge la 13. Kikao hicho kinaendeshwa na Spika wa muda William Lukuvi, akisaidiwa na Katibu wa Bunge Baraka Leonard. Jumla ya Wabunge 383 wanapiga kura. Katika uchaguzi huu tutakumbuka kuwa Spika wa Bunge...
  6. SSH2025_2030

    Bona Kaluwa akumbukwe uteuzi kufidia hasara aliyopata

    Wana Segerea mpewe nini? Yaani pesa mmekula ila Kura hapana? Why? Inafaa basi angalau Mheshimiwa akumbukwe kwenye uteuzi ili angalau Ile 1.8bn irudi. Inauma haswa
  7. Ninja

    GE2025 Imfikie Rais ayafanye ili kuondoa kinachoendelea kwa wananchi

    Mheshimiwa rais, Nakusalimu kwa unyenyekevu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Mheshimiwa rais, nafupisha sana nisikupotezee muda wako adhimu. Mheshimiwa rais, yafuatayo ni mambo niliyoyatafiti na hivyo nimeona vema kukushirikisha kwa njia hii: 1. Nchi haijakushinda kama baadhi ya...
  8. N

    Barua ya wazi kwa Mkurugenzi wa VETA; Ombi la kuruhusiwa kuomba nafasi ya kazi

    Ombi la Kuruhusiwa Kuomba Nafasi ya Kazi – Vocational Teacher II (Plumbing and Pipe Fitting) Ndugu Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Kwa heshima kubwa, mimi naandikia barua hii kwa niaba ya wahitimu wa Diploma in Pipe Works Engineering nikiwa na lengo la...
  9. Manyanza

    Taarifa ya makubaliano kati ya Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) na Jaji Mkuu wa Tanzania

    TAARIFA YA MAKUBALIANO Kati ya Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS) Na Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. George M. Masaju Tarehe: 11 Agosti 2025 Kufuatia ahadi iliyotolewa mnamo Aprili 2025 ya kufika mbele ya Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, uongozi wa TLS...
  10. kyagata

    Hii picha ya Rais Samia imenibubujisha machozi ya furaha

    Wakuu Kiukweli Rais Samia anapambana sana kuinua hali za watanzania kiuchumi. Hii picha imenibubujisha sana machozi ya furaha.
  11. E

    GE2025 Heche: Tunaheshimu uamuzi wa Mbowe kukaa kimya

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amesema viongozi wa chama hicho wanaheshimu uamuzi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kuwa kimya na kwamba wanamheshimu kama mwasisi wa chama na mjumbe wa kudumu wa kudumu wa Kamati kuu. Ameyasema hayo leo Julai 21 katika...
  12. U

    Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuberi awaalika Waislam wote kuhudhuria Maulid ya Daarul Maarif, kwenye Viwanja vya Bakwata Makao Makuu

    DAARUL MAARIFA DAY 2025 Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuber Bin Ally anawaalika Waislam wote kuhudhuria katika Maulid ya Daarul Maarif, itakayofanyika Viwanja vya Msikiti wa Mfalme Mohammad VI Bakwata Makao Makuu. Mufti amewataka Mashekhe wote wa Mikoa, Wilaya, Kata...
  13. T

    Mheshimiwa Waziri, Elimu Unayoiongoza Inazidi Kuwa “Local Education” Badala ya “Universal Market Education”

    Mheshimiwa Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda, Kwa heshima na taadhima, tunapenda kutoa maoni yetu kuhusu mwelekeo wa elimu ya juu nchini, hususan uamuzi na ufafanuniz wako kwenye hotuba ya jana wa kusimamisha baadhi ya kozi katika vyuo vikuu kama Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Tunaamini...
  14. N

    Mheshimiwa Rais Samia S Hassan,naomba umfree Lissu tafadhali

    Wabaya wako au wabaya chama chenu wapo humohumo chamani.Nadhani ushalijua hilo kitambo.Wakati mnaendelea kugombana,naomba mtoe tu baba wa watu,usijitafutie dhambi za nyongeza tu.
  15. Terrible Teen

    Special Branch, Naomba Mfanye Life Style Audit ya Mawaziri Wafuatao na Kisha Mmpe Report Mheshimiwa Rais

    Kwa kuzingatia masuala kadhaa aliyozungumza Ndugu Pole Pole hasa suala la inefficiency in Government na hasa hoja kuwa nyumba haina mwenyewe. Naomba Special Branch inajijua ifanye special life style audit ya mawaziri wafuatao kwa kuangalia na kazi walizopewa na kisha wamkabidhi Mhe. Rais. 1...
  16. SSH2025_2030

    Humphrey Polepole ni Mkatoliki mfia dini

    Tujikumbushe Balozi aliyejiuzulu ni Mkatoliki mfia dini. Huenda anatumika kupenyeza ajenda toka Vatikano. Tumpuuze
  17. britanicca

    Rais Samia unalea tabia zitakazokutesa mwenyewe

    Kitendo cha Sheikh kusimama na kusema mtu yaani Lissu anyongwe halafu ukakaa kimya bila kukemea pale pale inaleta picha mbaya 1. Rais ni National comforter 2. Rais ni Miezi wa nchi 3. Rais anapaswa kuunganisha watu si kuachia chuki zikaenea, Mheshimiwa Mwenyekiti wa CCM pale Kawe ilikuwa ni...
  18. M

    KIBATALA: Umemwelewa Mheshimiwa Hakimu?

    Nimewafuatilia vizuri, na umesikia. Habari ya Hisia na Mihemko haina nafasi. Pambano limeisha ila Vita inaendelea. Kila la Heri. Thread imekamilika endeleeni kusema
  19. FaizaFoxy

    Waziri Biteko, Tanesco wamekudharaulisha sana

    Nakumbuka maneno yako kwao, kwenye video clip hii: https://youtu.be/SKQJpYmUTyM?si=WrB0APIKPuuRAP9z Leo hii tukipiga simu tanesco emergency majibu tunayopata yanachafua roho, uzembe ni ule ule uliokuwa ukiwaasa unajirudia rudia kila kukicha.
  20. SSH2025_2030

    Prof. Balozi Benson Bana (PhD) anafaa kwenye Chama Cha Mapinduzi

    Mheshimiwa Profesa Mbobezi wa Sayansi ya Siasa Duniani na Balozi (Mstaafu) Benson Bana (PhD) anafaa kwa Nafasi za juu katika Chama. Tafadhali, Mkutano Mkuu mfikirieni ikiwapendeza, mpeni kazi akasaidiane na Mzee wetu Stephen Masatu Wassira a.k.a Tyson wakaimarishe chama nchi nzima.
Back
Top Bottom