Ikumbukwe kuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania mwaka 2021 alipatikana kwa mjibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania baada ya john pombe magufuli kufariki kwa maana hiyo umma wa watanzania unajuwa wazi katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu ilipaswa ashindanishwe na wenzake...
Mbunge mmoja Mkoani Shinyanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amedaiwa kugawa pikipiki kwa baadhi ya viongozi wa kata wa chama hicho ikiwa ni kishawishi cha kumpigia kura kwenye kura za maoni za kuwania Ubunge.
Kitendo hicho kimelalamikiwa vikali na watia nia wenzake katika jimbo lake wakidai...
Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na mkutano mkuu wa CCM, Januari 19, akisema ni utaratibu wa CCM kwa rais anayegombea awamu ya pili kuwa...
Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na mkutano mkuu wa CCM, Januari 19, akisema ni utaratibu wa CCM kwa rais anayegombea awamu ya pili kuwa...
Wanaukumbi.
Mchakato wa Rais Samia kupitishwa kuwa mgombea pekee wa CCM kwa uchaguzi wa 2025 ni wa kihalali kwa mujibu wa Katiba ya CCM, na umefuata historia na utaratibu wa chama uliodumu kwa miongo kadhaa. Wanachama wa CCM, viongozi wa chama, na wananchi kwa ujumla wanapaswa kuelewa kuwa...
1 Ni ukweli tulikiuka katiba yetu wenyewe kwenye kuteua Mgombea wetu pale Dodoma. Ila tujikaushe tu hili nalo lipite
2. Tukisema tunarudia mchakato aisee Itakua aibu Sana. Natanguliza shukrani. Insha'Allah mambo yatakaa sawa.
Msajili punguza ujuaji kwenye hili. Utauponza
Msajili wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA.
Mgombea wa CCM ni batili hakuna mtu aliye simama akapinga hilo na wanaCCM wenyewe wanasema hakufuata katiba ya chama nashangaa msajiri wa vyama vya siasa kaingia mitini anajifanya haoni...
Wazalendo wa kweli wa taifa hili hawawezikukaa kimya kuona misingi inavunjwa. Ni lazima kazi ifanyike taifa lirudi kwenye misingi. Siasa isivuke mipaka ya uzalendo na walinda iyo mipaka wapo na tunaamini kazi yenu. Taratibu zifuatwe akipita aongoze asipopita apumzike maana taifa ni kubwa kuliko...
Naomba wanasheria na wadau wengine wa mambo ya uchaguzi watusaidie kutupa ufafanuzi juu ya hiili.
Pia, nini maana na wajibu wa kisheria wa wanaoitwa wadhamini ili tuone implication yake katika sheria na zoezi zima la uchaguzi wa Raisi.
Na je, kisheria, kuna uhusiano gani kati ya sheria ya...
Baba wa Taifa la Tanzania, aliweka msingi thabiti wa mchakato wa uchaguzi wa mgombea wa urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
msingi wake uliwekwa na Nyerere wakati wa uongozi wake.
Mwalimu Nyerere, kama mwanzilishi wa TANU (ambayo baadaye ilijumuika na ASP na kuwa CCM mwaka 1977)...
CCM Nzasa Watishia Kukatwa Mgombea Wao Hawatashiriki Uchaguzi
Chama cha Mapinduzi (CCM) Nzasa wametoa salamu kali, wakisema kuwa iwapo mgombea wao atakatwa na kwa sababu zozote, hawatashiriki uchaguzi wa Oktoba 2025. Kauli hii inakuja wakati nchi ikijiandaa kwa uchaguzi wa urais, ubunge na...
Kiroho Rais , Samia hatoweza kuwa Rais wa awamu ya sita.
Ikiwa kuna wataalamu wa kiroho wamshauri mapema .
Na pia yalifanyika makosa makubwa kumteua kuwa Makamu wa Rais kwakuwa hatima yake haikuwa ya kitaifa bali ya eneo dogo Kama Jimbo
Ndo ufanisi wake ambao umeacha alama ni ule wa Bunge la...
GT
Kwa sheria za Tanzania wagombea wote wanawajibika kwa vyama vyao sasa maCCM Wana utaratibu wa kumfanaya raisi ndiyo mwenyekiti wa Chama huu ni wendawazimu.
Lazima Rais awajibike kwa chama chake. Lazima wawepo wakubwa wake wa kumwambia bila uoga hapa bwana umekosea na pengine kumtoa kwenye...
wahuni wameogopa kumshindàisha maza na makada wengine,
Ivi hili lina chochote cha kutueleza juu ya uwezo wa maza kwenye Medani husika za uongozi na siasa kiujumla ??
Na je, hii haileti ishara mbaya juu ya sirikali yetu kupigwa copy, kwamba wale wanaopromote uwepo wa maza wana ulaji wao pale...
"Na hii lugha ya kusema mgombea ni mmoja ni makosa, sio kipindi hiki, hata kipindi cha Magufuli kuna baadhi ya viongozi walikuwa wanasema mgombea ni mmoja, siyo kweli na kwenye kauli rasmi ambayo mimi kwa wakati ule niliitoa kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM, tulisema tunafungua kwa watu wote...
Kiuhalisia mwaka huu Rais Samia Suluhu Hassan ametimiza miaka 10 ya mihula miwili ya awamu ya tano yaani 2015-2025 ambapo hayati John Magufuli alifariki mwezi March 2021.
Lakini kilofanyika Dodoma miezi michache ilopita katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilikuwa ni kumtangaza rais Samia...
Huko nyuma niliwahi kupendekeza kwamba ni vema Raisi Samia ajitoe kuwa mgombea Uraisi na kumwachia Polepole apambane na Lissu, kwa sababu uwepo wa Samia katika nafasi yake unaleta migongano mikubwa ambayo pia inatishia kuanzushwa uhasama kati ya Tanzania bara na Visiwani.
Baada ya barua ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.