Mgombea Ubunge wa Viti Maalum kupitia kundi la Vijana, Lightness Greyson Kihombo (23), ameomba kura mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, akiwania mojawapo ya nafasi sita kwa upande wa Tanzania Bara.
Lightness, ambaye ni mgombea mwenye...
Kwa miaka mingi sasa, kila msimu wa uchaguzi unapokaribia nchini Tanzania, huambatana na kelele, malalamiko, na misuguano isiyoisha kutoka kwa wanachama wa vyama vya siasa haswa CCM, tena wale wanaokatwa kugombea.
Ni hali inayorudiwa kila wakati watu wanasema wameonewa, wameenguliwa kwa...
Mgombea wa Nafasi ya Viti Vya UBUNGE Viti Maalumu CCM Kupitia Vijana tokea Mkoani Geita, Jesca John Magufuli akijitambulisha Mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa UVCCM Leo Dodoma
Mbunge wa Mkinga anayemaliza muda wake, Dastan Kitandula ameoneshwa kukerwa kuuliza maswali “chokonozi” aliyodai yamepangwa na washindani wake kisiasa.
Kitandula ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii alionyesha kukerwa na kupaniki kuuliza maswali hayo wakati alipokuwa kwenye mkutano...
Wananchi wa Kijiji cha Muze, Kata ya Muze, katika Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga Vijijini mkoani Rukwa, wamezuia msafara wa viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa wilaya hiyo wakilalamikia mchakato wa uteuzi wa majina ya wagombea wa udiwani katika kata hiyo.
Tukio hilo limetokea baada ya...
Kufuatia majina ya waliopitishwa na uongozi wa juu wa ccm pale Dodoma.
Jimbo la Mchinga kapita mama Salma Kikwete pekee hana mpinzani.
Jimbo la Chalinze kapita Ridhiwani Kikwete maana hakuna aliyejitokeza kuchukua form.
Hakika huu ni uthibitisho kuwa hawa wabunge waliwatumikia wananchi wa...
Salaam
Wengi wetu tumekuwa tukishindwa kuelewa hatua za michujo anazopitia mwanachama wa CCM kuanzia kuchukua form hadi kula za maoni na kuchaguliwa mtu mmoja kama mgombea wa jimbo au kata fulani.
Tafadhari kama unauelewa juu ya hili share nasi hatua moja baada ya nyingine hasa utaratibu mpya...
Wakati vuguvugu la mchujo wa wagombea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) likizidi kupamba moto, mgombea ubunge wa Jimbo la Sikonge, amejikuta katika hali ngumu baada ya kufichuliwa kwa tuhuma nzito kuhusu mienendo yake, zilizotolewa na watu wa karibu.
Akizungumza na mwandishi wetu, mmoja wa...
Sintofahamu tunayoiona sasa ndani ya CCM, imetengenezwa na rais mstaafu Jakaya Kikwete.
Wanachama wa CCM tunalaumu kwa vile utaratibu wa kikatiba haukufuatwa.
Suala la kumteua mgombea wa kiti cha urais NJE ya utaratibu na katiba ya chama lilikuwa kosa kubwa.
Na hili limemjengea Mwenyekiti wa...
CCM ITAKUWEPO MIAKA MINGI IJAYO TAMAA ZA MUDA MFUPI ZISIHARIBU TASWIRA YA CCM kuna hatari CCM ikakosa Heshima na nguvu iliyonayo kwa tamaa za muda mfupi za viongozi waliopewa dhamana wakashindwa kuheshimu desturi na utaratibu ndani ya Chama cha Mapinduzi
Ccm inataka kudhoofishwa kwa makusudi...
Polepole ameamsha hasira miongoni mwa wanaccm walio wengi. Na hivyo kupelekea vigogo 3 kujipanga kwenda mahakamani kuzuia uteuzi wa mgombea urais kwa madai kuwa mchakato haukufuata katiba, kanuni na taratibu za chama chao.
Endapo shauri hilo litafunguliwa, kuna uwezekano mkubwa CCM ikafuata...
Huu ni ushauri kwa Wogombea wote. Kama unaona hupendwi na wananchi soma alama za nyakati na usilazimishe. Wengi wa wagombea hasa kwenye nafasi za Udiwani, Ubunge nakadhalika wanalazimisha wapendwe na wananchi ilihali wananchi hawataki.
someni alama za nyakati na wananchi ndiyo wenye sauti...
1. Ulazima wa kuchukua na kujaza form
2. Ulazima wa kutafuta wadhamini
3. Ulazima wa majina matatu
4. Ulazima wa kupigiwa kura na mkutano mkuu
Yote haya yanafanyika ili mgombea wa sasa asiendelee kushambuliwa kwamba kapita kwa njia haramu
Mimi nampenda sana rais Samia Suluhu Hassan lakini anachotaka kukifanya ni UDIKTETA. Tafadhali sana ndugu Samia elewa kwamba tumekuchoka, nenda ukapumzike tu kizimkazi wakati sisi tunawashughulikia matapeli wa bandarini, KIA na bonde la Ngorongoro.
ccm
chama
haramu
katiba
katiba ya chama
katiba ya nchi
kubadili
kubadili katiba
kufanya
mabadiliko
mabadiliko ya
mabadiliko ya katiba
mgombea
nchi
njia
wameshindwa
Aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi CCM mwaka 2015, Maliki Marupu licha ya kumjibu mwanachama mwenzake Humphrey Polepole kufuatia kauli yake kuhusu mchakato wa uchaguzi wa urais ndani ya chama hicho pia amemvaa Dkt Godfrey Malisa .
Marupu ameyasema hayo kufuatia hoja alizoziibua Dkt...
Moja ya mambo ambayo yakija kutokea huko mbeleni pengine kutokea machafuko nchini kwa kisababishi cha upendeleo wa kunyamazia mambo yanayotokea CCM na mambo hayo hayo hayanyamaziwi yanapotokea vyama pinzani
Tunapozungumza leo, Chadema imesimamishwa mikutano, luzuku na hata kiongozi yoyote...
Uteuzi wa Samia kuwa mgombea wa Urais ulikiuka kila kitu, kuanzia katiba ya CCM na ya nchi, sheria za uchaguzi, mpaka mazoea ya CCM.
UFafanuzi:
1. Magufuli na Samia walizunguka nchi nzima wakiomba kupewamamlaka ya kuunda setikali ya awamu ya 5. Bahati mbaya Magufuli akafariki kabla ya awamu ya...
Huu ni ushauri tu maana imeandikwa kwenye "ashupaye shingo atavunjika ghafula, wala hatakuwa na dawa" inatoka katika Biblia, hasa katika kitabu cha:
"Mtu ashupaye shingo baada ya kukemewa mara nyingi, atavunjika ghafula, wala hatakuwa na dawa."
"Atavunjika ghafula" maana yake ni kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.