Mgogoro wa kifamilia umefanya kijana huyu kutoka Mbeya kupoteza maisha kwa kufanya maamuzi ya kujinyonga hadi kufa.
Kwakweli mambo mengi ila muda ni mchache. Apumzike
==================
Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Fred Sanga (34), mkazi wa Mtaa wa Shewa, Kata ya Mwakibete, Mkoa wa...
Rasmi kampuni ya Adidas imetangaza kufikia makubaliano ya nje ya mahakama na rapper Ye kwa lengo la kumaliza mizozo yote ya kisheria iliyokuwepo baina yao.
Kiongozi wa Adidas, Bjorn Gulden, alisema kuwa hakuna pesa iliyotumika kusuluhisha mgogoro huo.
Soma pia: Adidas yavunja mkataba na...
Imeelezwa kuna uwepo wa mgogoro wa viongozi wa CCM katika Mtaa wa Nera, Kata ya Isamilo, Manispaa ya Nyamagana.
Hayo yanajiri baada ya viongozi kutohitaji uwepo wa jina la Mwenyekiti aliyemliza muda wake (Abubakar Self) kugombea nafasi hiyo kwa mara nyingine kutokana na jitihada zake za kuibua...
1. Mgogoro wa Nchi na Mipaka: Mgogoro wa ardhi ni moja ya chanzo kikuu. Eneo la kusini mwa Lebanon, hasa Shabaa Farms, ni sehemu yenye utata ambapo Israel na Lebanon wanadai umiliki.
2. Kundi la Hezbollah: Hezbollah ni kundi la wanamgambo na kisiasa lenye makao yake Lebanon, ambalo linapinga...
Msaada ndugu nina mgogoro wa ardhi mahali ambapo bibi yangu alikuwa analima kuanzia miaka ya 80 na sidhani kama aliwahi kuwa na hati ya hilo eneo ila ndio mahali tumekuwa tukipata mazao ya kula kama familia.
Sasa kuna mtu amevamia eneo baada ya bibi kufariki, sasa je nitaweza vipi kuthibitisha...
Kisa cha kwanza.
May 20, 1948 UN ilimteua Count Folke Bernadotte kuwa mpatanishi mkuu katika mgogoro wa Israel na Palestina.
Mapendekezo ya Count Folke Bernadotte
1. Kurejesha wakimbizi wa Kipalestina: wakimbizi wa Kipalestina waruhusiwe kurejea kwenye makazi yao au kulipwa fidia kwa mali zao...
Ni ujinga mkubwa sana kwa watanzani kushadadia vuta ya israel na palestina nakuacha kuzungumzia matatizo yanayoikabili nchi yao.
Huo ni ukichaa huwezi kuyajua ya israel na palestina yakwako yakakushinda ni ushabiki wa kijinga.
Chambueni yenu kwaajili ya maendeleo ya nchi yenu.
Mara kadhaa nimewahi kushiriki na naendelea kushiriki kutoa maoni ya kusuluhisha mgogoro mkongwe na mgumu mno wa Wayahudi na Wapalestina.
Kwa ujasiri mkubwa kabisa, nisisitize kuwa nakusudia na niko tayari kabisa kusuluhisha mgogoro huu kwa niaba ya Afrika na Waafrika wote, hata kama sina cheo...
Wananchi wa Kijiji cha Ndaleta Wilayani Kiteto Mkoani Manyara wameilalamikia Halmashauri ya Wilaya hiyo wakidai imehusika kuhujumu Wananchi kwa kiwango kikubwa katika masuala ya mgogoro wa ardhi yanayoendelea.
Wameeleza kuwa wamefikisha malalamiko yao mara nyingi kuhusu mgogoro wa ardhi lakini...
Mpaka Sasa naona wengi wengi wanachangia kimehemko kihisia na kisiasa zaidi
Ngorongoro ni moja ya hifadhi muhimu kwa nchi yetu na mchango wake ni faida ya Taifa Zima . Mapato yanayotoka ngorongoro na Kodi zake yanaenda kulipa mishahara ya mwalimu Dr anayefanya kazi Arusha mjini Dodoma Mtwara...
Ethiopia
Serikali ya Ethiopia bado haijapona.
Wakati imetoka kumaliza vita kutokana na mgogoro wa Tigray uliodumu miaka miwili 2020-2022🪙
Imejikuta ikiingia kwene migogoro mingine ikiwemo huu wa jeshi la FANO la jimbo la Amhara.
Ikikumbukwe hili jeshi liliwasaidia jeshi la muungano la Ethiopia...
◾Serikali ya Tanzania kwa mara nyingine tena imeshutumiwa na kampuni ya wawekezaji wa kigeni kwa kukiuka masharti ya mkataba wa uwekezaji baina ya nchi mbili (BIT)
◾Haya yanajiri wiki chache tu baada ya Tanzania kukubali kulipa dola milioni 90 kwa kampuni ya Australia kutatua kesi ya usuluhishi...
dola
energy
gesi
ikulu
kampuni
katika
kesi
kesi ya madai
kutoka
madai
mgogoro
samia
tanzania
uwekezaji
waziri wa katiba na sheria
wizara ya fedha na mipango
Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imefafanua juu ya kinachoendelea katika Kampuni ya Insurance Group of Tanzania (IGT) ambapo kuna Watanzania wanaodai kuwa wanaidai Kampuni hiyo lakini imekuwa ikiwazungusha malipo yao kwa miaka kadhaa sasa.
Awali andiko la Mwanachama wa...
Napenda kufuatilia sana migogoro na vita zinazoendelea duniani.
Mambo ya geopolitics.
Nipo hapa kukujibu maswali yako yote kuhusu migogoro mbalimbali duniani.
swalii lolote
Ndo maana ninamkubali Eng Hersi Said. Yaani kaona Usajili wa 5imba ni WA umakini, akaona watatusubua kidogo hatutawapiga magoli mengi.
Nawatahadharisha tarehe 8 sio mbali, Mtapigwa 8. Na itakuwa nane nane
1. Jiulizeni mahakama ilitoa hiyo jukumu zamani, kwanini iibuke Leo mechi ikiwa karibu😄😅...
Ombi kwa Rais wangu mpendwa mama Samia, nakuomba uongee na wafanyabiashara wa kariakoo kwa kuita viongozi wao wachache katika timu yao ya Uongozi, maana nadhani wamezingukana katika kutoa kauli, nakuomba Waite kesho Jumatano saa 4,asb, ongea nao kwa kifupi mno, na watakuelewa zaidi ya yeyote...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameingilia kati mgogoro wa ardhi wa muda mrefu kati ya Wananchi wapatao 246 na muwekezaji wa Kampuni ya Tanzania Road Haulage katika eneo la Kurasini wilayani Temeke jijini Dar Es Salaam ambapo wananchi hao wanadai kutolipwa malipo...
Siku za hivi karibuni kumekuwepo na mgogoro wa ardhi baina wakazi wa Tungutungu Kata ya Mapinga Wilaya ya Bagamoyo pamoja na “kigogo”, nimefika mara kadhaa eneo hilo ni vilio vilio.
Mgogoro huo ulikuwa ukifukuta kimyakimya lakini kwa sasa umepamba moto kutokana na nyumba za wakazi wa eneo hilo...
Uzi huu unaangazia kile kinachoendelea kuhusu mgogoro ulioibuka sasa wa NATO na Russia katika vita vya Ukraine.
Ikumbukwe kuwa katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg, alitaka silaha za misaada kwa Ukraine sasa zianze kutumika kushambulia moja kwa moja ndani ya mipaka ya Russia hasa miltary...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.