mgogoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. musicarlito

    Mgogoro wa dakika za kuongeza kufidia muda uliopotea kwa refarees,kwanini stop watch isitumike na iwe inaoneka kwenye score board?

    Wadau wasalaam Hivi kila kitu mpaka kianzie playa Kwanini kwenye score board tofauti ya muda wa kuanza mechi na kumalizika isiwe inaonekana,sio libaki swala la referee kwa discretion yake Mfano muda mpira unaanza na stop watch ya referee viwe vinaonekana kwenye score board...mwisho tofauti ya...
  2. musicarlito

    Aibu hii kwa viongozi wa Africa na Africa mgogoro wa Congo

    Hawawezi kuamua siku zote. Wao hujificha madhaifu yao na aibu zao kwenye diplomatic Kituko kweli,yaani ukae mfanye mazungumzo na mwanao(M23) wa kuasili anaetaka kukuua wakishirikiana na baba yake mzazi(Rwanda) Mwanao anaekuhujumu mfanye mazungumzo,viongozi wa Africa hawawezi kuamua mambo...
  3. george aloyce

    Hii ndio sababu kuu vita haitakuja kuisha Palestina vs Israeli

    MGOGORO PALESTINA, ISRAEL: UTAKATIFU JERUSALEM KIKWAZO CHA AMANI KISIASA na kihistoria kwa marejeo ya miaka 500 hadi milenia moja iliyopita, Israel ni wavamizi, waliingia kwenye miliki ya Palestina na kuunda taifa lao ndani ya ardhi ya Wapalestina. Miaka 76 iliyopita (mwaka 1947), hakukuwa na...
  4. kavulata

    Njia nzuri kutatua mgogoro DRC

    Ili kumaliza mgogoro DRC jumuiya ya kimataifa LAZIMA ifanye yafuatayo: 1. DRC iwatambue na kuwakubali raia wake wenye asili ya makabila ya nchi nyingine. Kama vile Tanzania ilivyoyatambua makabila ya wamasai, wasegeju, wajaluo, wapare, wahaya, wamakonde, wamanyema. 2. Rwanda na Uganda izungumze...
  5. Samia atosha tukutane2030

    Mkutano uliofanyika Dar es salaam tarehe 08.02.2025 na kutoa maazimio ya juu ya mgogoro wa DRC na M23 ni bure na kupoteza muda pamoja na fedha

    Tatizo kubwa nimeliona pale ambapo viongozi wanamuogopa Paul Kagame. Kwahiyo wanagusa juu juu tu wanashindwa kwenda direct. Nathubutu kusema kuwa kilichofanyika tarehe 08 ni kama mchezo wa rede tu ambao hauna mshindi. Rais mmoja alipaswa kusema niko tayari kuingiza jeshi langu Kivu au Goma kama...
  6. musicarlito

    Mgogoro wa DRC: Viongozi wa Africa hawawezi kufanya maamuzi, waache unafiki

    Iko wazi kuwa kweli banyamulenge wana haki ya kuwa raia wa Congo na kupata haki zao zote za msingi kama raia wa nchi hiyo. Lakini je, inapofikia raia hawana uzalendo tena na nchi ambayo kimsingi ni yao na wanaonesha mapenzi na utii kwa kiongozi wa Taifa hasimu tena mwenye asili yao hao bado ni...
  7. U

    Tahadhari aliyoitoa Nyerere 1996 kuhusu mgogoro wa Mashariki ya DRC

    Kumbe serikali ya DRC ikitumia njia ya vita haiwezi kuvimaliza vita vya mashariki dhidi ya M23 bali mazungumzo, kwa sababu M23 hawapo tayari kuondoka Mashariki ya DRC kwa sababu wanaichukulia ni ardhi yao ya asili. Maoni yangu: 1. Banyamulenge (Wanyarwanda wa DRC) wapewe uhuru Mashariki ya...
  8. 6 Pack

    Hili ndio suluhisho la mgogoro wa Congo na Rwanda, kati ya Kagame na Tshisekedi

    Kuna machaguo mawili ambayo wahusika wenyewe watatakiwa kuchagua. Na ikishindikana kuchagua kwa maana wote wawili kutochagua chaguo lolote, au kila mmoja kuchagua tofauti na mwenzake, basi itapigwa kura ambapo viongozi wataoongoza mkutano huo ndio watapiga kura kuchagua chaguo moja ambalo...
  9. enzo1988

    Ukweli kuhusu mgogoro wa Ukraine na Gaza!

    Ni rasilimali tu hakuna kingine! Wakubwa wa dunia huangalia faida kwanza kabla ya kuingia vitani! Mgogoro wa Ukraine: 3 Feb, 2025 20:36 https://www.rt.com/news/612127-trump-demand-rare-earth-ukraine/ 5 Feb, 2025 07:44 https://www.rt.com/russia/612197-ukraine-doesnt-control-minerals/...
  10. JanguKamaJangu

    Tazama mazishi ya watu waliouawa kwenye mapigano DRC, inasikitisha

    https://www.youtube.com/watch?v=IAOGxEEoKKQ Wahudumu wa Afya wakiendelea na shughuli ya mazishi ya watu waliouawa wakati wa mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yaliyohusisha jeshi la nchi hiyo na Wapiganaji wa Kundi la M23. Mkuu wa ujumbe mdogo wa Shirika la...
  11. K

    Kagame kumpigia Marco Rubio kuhusu mgogoro ni udhaifu

    Kagame anajua kuna beef la South Africa na USA kwasababu ya BRICS. Sasa kajioendekeza kwa Marco Rubio ambaye ni kama waziri wa mambo ya nje wa USA. Yaani migogoro yetu wanajenshi wetu wanakufa mpaka leo tunasubiria wazungu wazuie sisi kuuwana. Kijinga zaidi silaha tuna nunua kwao.! Lakini kagame...
  12. Daby

    Maswali ninayojiuliza kwenye huu mgogoro wa DRC

    Nadhani Kagame anawapa ufadhili wa silaha na wanajeshi ili kumsaidia Mtutsi mwenzake anayebaguliwa Congo. Pia Nadhani, anawapa msaada waasi kwasababu Congo iliwaunga mkono waasi wa kihutu. Unaiunga mkono FDLR basi Nami nitawaunga mkono M23. Sasa kama Kama ni kweli Rwanda inahusika 1. Kwanini...
  13. Yoda

    DRC iwaangukie "mabeberu" wakubwa wa Magharibi kumaliza vita nchini kwake, mabeberu wanahitaji kubembelezwa kidogo tu na kuheshimiwa kumaliza mgogoro

    Vita vya muda mrefu na ukosefu wa amani mashariki mwa Congo(DRC) nyakati hizi kwa kiasi kikubwa vinachangiwa na udhaifu wa dola ya DRC kudhibiti nchi pamoja biashara ya madini adimu mbalilmbali yenye mahitaji makubwa duniani kwa sasa. Baada ya Waafrika wenyewe kuushindwa huo mgogoro bila shaka...
  14. Nyoka kibisa

    MGOGORO WA ARDHI RORYA: Makaburi mawili yajengwa inaposemekana hakuna makaburi kisha kuvunjwa na wasiojulikana

    Wadau mwaka jana mwanajf Suley2019 alileta habari hapa jf kuhusu mgogoro wa ardhi katika kijiji cha nyambogo wilaya ya rorya iliyopelekea mwili wa marehemu kutozikwa zaidi ya miezi 8. - Rorya, Mara: Mgogoro wa ardhi wasababisha marehemu kutozikwa tangu Januari 20, 2021 mpaka leo Naam kuna...
  15. JanguKamaJangu

    Wakulima 2000 Kiteto wamuomba Rais Samia aingilie mgogoro wa Ardhi (Hifadhi ya Makame)

    Wakulima 2000 Wilayani Kiteto wamemuomba Raia Samia Suluhu Hassan kuingilia kati mgogoro wao na hifadhi ya Makame WMA iliyodaiwa kupora maeneo yao waliyotumia zaidi ya miaka 15. Chanzo: EATV
  16. M

    Rais Putini anataka kukutana haraka iwezekanavyo na Rais Trump ili kujadiliana jinsi ya kumaliza mgogoro wa Ukraine

    Trump says Putin wants meeting to discuss Ukraine war “President Putin said that he wants to meet with me as soon as possible,” says Trump during an address in Arizona Servet Gunerigok |22.12.2024 - Update : 23.12.2024 WASHINGTON US President-elect Donald Trump said on Sunday that Russian...
  17. Top Gun

    Umoja wa Kisovieti pia ulichangia kuukuza mgogoro wa Israel/Palestina

    Umoja wa Kisovieti/USSR/Russia pia walicheza moja ya nafasi ya kuwadanganya Waarabu wa Wapalestina kama njia ya kuisababishia matatizo Israeli. Wakati Israeli ilipoundwa upya mwaka wa 1948, Wasovieti walifikiri kwamba Israeli inaweza kuwa wakala wao katika Mashariki ya Kati kwa sababu walikuwa...
  18. Minjingu Jingu

    Urusi yaingia Mgogoro/ vita ya Kibiashara na China

    Katika hali ambayo inaonesha kuwa ni kudhibiti bidhaa za China nchini Russia. Serikali ya Putin imeongeza kodi ya bidhaa za China ili kulinda bidhaa zake. Jambo ambalo limeshtua kidogo watu wengine kutokana na ukaribu ambao mataifa haya yamekuwa yakijaribu kujenga dhidi ya NATO. PATA HABARI...
  19. Ritz

    Baada utawala wa Syria kuanguka Israel wamekimbilia kuchukua maeneo katika miji mitano katika milima ya Golan ya Syria wanazidi kuongeza mgogoro

    Wanaukumbi. 🚨#BREAKING: Israel imezidisha uchokozi wake kwa kuingia katika miji mitano katika Milima ya Golan ya Syria. Miji mitatu kati ya hii iko ndani ya eneo la buffer lililosimamiwa na UN la 1974, eneo ambalo Israeli ilitekwa kinyume cha sheria katika vita vya 1973 na kulazimishwa kurejea...
  20. Damaso

    Kylian Mbappé na Mgogoro Wake katika Real Madrid

    Kylian Mbappé, mmoja wa wachezaji bora zaidi wa soka duniani, amekuwa katika hali ngumu tangu kujiunga na Real Madrid akitokea PSG. Licha ya uzoefu wake mkubwa na uwezo wake wa kuamua mechi, amekuwa akipitia kipindi kigumu cha kutengeneza matokeo katika timu yake mpya. Kuhama kutoka klabu kubwa...
Back
Top Bottom