mfupi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chad: Rais Idriss Déby afariki dunia saa chache baada ya kutangazwa mshindi wa Urais kwa muhula wa sita

    Jeshi la Chad limetangaza kuwa Rais wa nchi hiyo Idriss Deby amefariki baada ya kupata majeraha kwenye mapambano dhidi ya waasi. Deby alienda mwishoni mwa wiki kuvitembelea vikosi vya nchi hiyo ambavyo vinapambana na waasi kaskazini mwa nchi hiyo. Waasi hao wamevuka mpaka wakitokea Libya. Kifo...
  2. Nina milioni 25, naweza kuwekeza kwenye nini ili nipate pesa nzuri kwa muda mfupi?

    Nina milioni 25, naweza wekeza kwenye nini ili nipate pesa nzuri kwa muda mfupi? Wadau mawazo yenu Tafadhali. Mchango wa mdau Pia soma: Biashara gani zinazoingiza mamilioni kwa muda mfupi?
  3. Jinsi ya kufikisha kuku 1000 wa asili ndani ya muda mfupi

    JINSI YA KUFIKISHA VIFARANGA 1000 WA KUKU WA ASILI Habari ndugu zangu wafugaji pole na majukumu ya kila siku katika harakatu za kutafuta mafanikio Leo nimeona ni vema kushare na nyinyi jinsi mfugaji unavyoweza kufanikiwa kufikisha vifaranga 1000 ndani ya mwaka mmoja na nusu kwa kuanza na kuku...
  4. Biashara gani zinazoingiza mamilioni kwa muda mfupi?

    Taarifa za kufanikiwa katika biashara zinapatikana kila mahali lakini hakuna mahali wamenyesha hizo biashara zinazosababisha hayo mafanikio, ni biashara za aina gani hizo? Soko la mitaji likiwa katika hali ya kuzorota. Ni biashara gani inayoweza kukufanya kuwa milionea katika kipindi cha miaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…