mfumo wa elimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maoni juu ya Mfumo wa Elimu Tanzania: Je, Tunakidhi Mahitaji ya Kielimu ya Vijana Wetu?

    I. Utangulizi Tanzania, sawa na nchi nyingine duniani, inatambua umuhimu wa elimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Kwa miaka mingi, serikali imefanya juhudi kubwa kuendeleza mfumo wa elimu, kutoka kwa elimu ya msingi hadi chuo kikuu. Hata hivyo, bado kuna changamoto nyingi ambazo zinakabili...
  2. Mr mutuu

    JamiiForums Tanzania Serikali ingilieni kati, huu mfumo wa elimu utasababisha watoto waanze kuichukia shule

    Nimerudi nyumbani kutoka mahali ninapofanyia shughuli zangu, nimekutana na kitu kinanipa mawazo sana. Mwanangu wa kwanza (4yrs old) alikuwa anapenda shule sana, mwaka jana alikuwa anasoma shule si mbali sana na hapa, walikuwa wanatoka saa 6 mchana, sasa mwaka huu nikaona nimtafutie nursery bora...
  3. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu wa nchi yetu si salama kwa kizazi cha kesho. Ni hatari mno. Hebu tazama haya

    Mzazi unaweza unaweza ukajitahidi ukamlea mtoto katika maadili mema...Ila uhuni na utaahira...Ataupata shuleni...Shuleni ni sehemu kuu ya kuharibu watoto kitabia na kimaadili... Mimi ninafanya shughuli ya kukaa watoto kabla ya kwenda mashuleni...Tunawatengeneza vizuri tu kitabia na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu inatuandaa kuendana na kasi ya Teknolojia?

    Teknolojia inaendelea kupenya katika nyanja mbalimbali za Maisha yetu, ikiwemo Ajira. Umuhimu wa Ujuzi wa Kidigitali unaendelea kujidhihirisha katika Soko la Ajira na hata kwa wanaojiajiri. Mfumo wetu wa Elimu unatuandaa kuendana na kasi ya Mabadiliko ya Teknolojia?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo yaliyotolewa na wadau mbalimbali kuhusu nini kibadilike katika Mfumo wa Elimu ya Tanzania kupitia Twitterspace ya Jamiiforums

    Wadau mbalimbali wa elimu wamekuwa wakilalamikia mfumo wa sasa wa Elimu ya Tanzania. Jamiiforums kama mdau mmoja wapo wa elimu na mabadiliko inatoa fursa kwa Wanachama wake na umma kwa ujumla kutoa maoni yao juu ya nini hasa kibadilike katika mfumo wa elimu uliopo. Ili kupata nafasi hii...
  6. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Sera mpya ya Elimu inayoandaliwa haishiriki Wadau Muhimu (Walimu, Wazazi, wanafunzi)

    Tunataarifiwa kwa sasa SERA mpya ya Elimu inaandaliwa lakini inafanyika kisiri siri huko Dodoma, 1. Wataalamu wachache wamejifungia sehemu wanapata Per diem zao safi (zaidi ya miezi sasa) huku wadau muhimu (wazazi, walimu na Wanafunzi) katika sekta wakiachwa nje. Mfano, Mwaka jana 2022...
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda, nakushauri ufumue mfumo wa elimu kuanzia Awali, Msingi, Sekondari ndipo uanze mambo ya ajira za GPA

    Waziri mkenda, ninaomba nikupe ushauri wa bure kabisa kuhusu elimu. Kwa sasa mambo ya ajira za GPA uko sawa ila anza kufumua mfumu, muundo na mitaala ya elimu nchini. Prof, hakikisha kila shule ya msingi ina madarasa 2 ya awali na walimu wa awali wenye uwezo wa kufundisha wanafunzi kwa lugha...
  8. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira ni tokeo la mfumo wa elimu uliokosa fikra bunifu

    Fikra ni namna mtu anavyochukulia jambo fulani, fikra ni mawazo ya mtu juu ya kitu fulani katika maisha kwa ujumla wake, mara nyingi kabla ya kumshauri mtu, tunaanza na fikra, start with mindset, fikra ni dhana, fikra, umasikini na utajiri vinaenda sambamba,lakini tujiulize nini chanzo cha...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya ufundishwaji wa masomo ya sayansi kwa Afrika na China

  10. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Fikra na elimu kwa wahenga

    Elimu huchochea maendeleo makubwa mno katika jamii lakini elimu bila pesa kizazi cha sasa ni sawa na kofia ya chuma inayopata moto nyakati za jua la utosi, Enyi kizazi cha sasa tubadilike tusichukue ya wahenga yote kwani mengi yameharibiwa na teknolojia pamoja na usasa elimu tunayopata mashuleni...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Waziri wa elimu simamia watu wa TCU, wanaelekea kuharibu mfumo wa elimu ya juu

    Nimekuwa nikifuatilia utendaji wa TCU na hasa baada ya Magufuli (RIP) kuwapokonya kazi ya kudahili wanafunzi waliyojipachika. Kwa ufupi hapo Magufuli alishauriwa vizuri maana walishaanza kufanya biashara na vyuo vikuu na hasa vyuo binafsi (private). Sasa yaonekana hawana mwongozo wa kazi zao...
  12. tenachew

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapendekezo kwa Serikali yatakayobadili mfumo wa elimu

    Mfumo wa elimu inahusisha sera na Sheria zote zinazoongoza mwenendo wa uendeshaji shughuli zote za elimu nchini. Makala hii ni andiko linalotoa mapendekezo Kwa serikali na wadau wengine wa elimu yatakayobadiri na kuboresha mfumo wa uendeshaji shughuli zote za elimu Kwa ngazi zote za elimu nchini...
  13. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mfumo wa Elimu kwa manufaa ya Wanafunzi na Taifa

    Jina: Hussein Juma Jitihadi 1.0 UTANGULIZI Elimu ni chachu katika maendeleo ya kila kitu, mfano teknolojia, uchumi, biashara n.k. Maendeleo ya nchi yoyote duniani yanatokana na athari chanya kutoka katika mfumo wa Elimu ulio imara na wenye kubadilika ili kukidhi mahitaji. Elimu hutumika...
  14. Chiefrb21

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tuanze na haya kuboresha mfumo wa elimu ya Chuo Kikuu ili tupate Wahandisi wenye tija kwa taifa

    Kwa mujibu wa tovuti ya tathimini ya idadi ya watu duniani ya mwaka 2022, makadirio ya umri wa ukomo wa kuishi kwa mtanzania ni miaka 66. Kwa mtanzania aliye bahatika kuhitimu shahada yake ya awali akiwa na miaka 23 hadi 24 atakuwa ametumia takribani asilimia 34.85 (miaka 23) hadi asilimia 36.36...
  15. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Je, ni mfumo wa elimu?

    Vijana wengi hasa wahitimu wa vyuo vikuu wamejikuta katika wimbi zito la ukosefu wa ajira. Siku ya kuhitimu pamoja na kufanya mahafali huwa ni siku nzuri sana na inayopendeza kwa wahitimu, familia zao pamoja na jamii nzima kwa ujumla. Ila wiki chache baada ya kuhitimu ndipo jamii inapokuja...
  16. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapungufu ya mfumo wa Elimu ya Tanzania yalivyonifanya niteseke kwa zaidi ya miaka 7

    Inawezekana ikawa mfumo wa elimu Tanzania ni mzuri kwa wengine Ila kwangu mimi mfumo huu unamapungufu mengi Na ulinifanya niteseke kwa miaka 7 nikitafuta maisha. Nitasimulia Hadithi ya maisha yangu . Mimi nimezaliwa mkoa wa Kagera ,wilaya Ya Bukoba vijijini.Nimesoma Elimu ya msingi mwaka...
  17. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mabadiliko ya mfumo wa elimu ili kijana wa Tanzania aweze kushindana katika soko la ajira kitaifa na kimataifa

    nipende kuchukua fursa hii kuipongeza sana serikali ya Tanzania KATIKA jitihadaa zake za kuhakikisha kila Mtanzania anapata elimu angalau ya sekondari ili kufukuza ujinga ,hii Ni baada ya kuifanya ELIMU ya msingi na sekondari kuwa bure, lakini ELIMU ya Tanzania bado haijafanikiwa kumkomboa...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Ujuzi wa kidigitali: Mfumo wa elimu unawaandaaje vijana?

    Vijana hivi sasa wanakua katika ulimwengu wa kidigitali ambapo Ujuzi na Uzoefu katika Masuala ya Digitali ni muhimu hususan katika Ajira Hata hivyo, Mafunzo katika Nchi mbalimbali za Uchumi wa Chini na Kati bado ni changamoto kwani idadi kubwa ya Shule bado hazina vifaa vya kufundishia...
  19. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mfumo wa elimu nchini ujikite zaidi kufundisha UKIMWI shuleni

    MFUMO WA ELIMU NCHINI UJIKITE ZAIDI KUFUNDISHA UKIMWI SHULENI Na Edson Joel UGONJWA wa Ukimwi ni miongoni mwa magonjwa hatari na yanayosumbua dunia kwa muda mrefu Sana kutokana na kuhathiri kwa kiwango kikubwa maisha ya watu wengi hususani Vijana hivyo kupelekea wataalam wa afya duniani...
  20. Lidafo

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mabadiliko ya kufanya katika mfumo wetu wa elimu ili uweze kuendana na dunia ya sasa

    Tangu Tanzania ipate Uhuru imepita miaka 60 miezi 7 na siku 30 Sasa. Ushawahi jiuliza mfumo wetu wa elimu wa Sasa ni mfumo gani? na je umepitia mabadiliko gani mpaka kufika hapa? Wakati wa Mwalimu Nyerere tulikuwa na mfumo wa elimu ya kujitegemea, mfumo huu ulikuwa na lengo la kuhakikisha kila...
Back
Top Bottom