SoC02 Tuanze na haya kuboresha mfumo wa elimu ya Chuo Kikuu ili tupate Wahandisi wenye tija kwa taifa

Stories of Change - 2022 Competition

Chiefrb21

Member
Aug 26, 2022
8
16
Kwa mujibu wa tovuti ya tathimini ya idadi ya watu duniani ya mwaka 2022, makadirio ya umri wa ukomo wa kuishi kwa mtanzania ni miaka 66. Kwa mtanzania aliye bahatika kuhitimu shahada yake ya awali akiwa na miaka 23 hadi 24 atakuwa ametumia takribani asilimia 34.85 (miaka 23) hadi asilimia 36.36 (miaka 24) ya ukomo wa umri wake wa kuishi katika sekta ya elimu. Pamoja na elimu kuwa nyenzo muhimu sana katika kupambana na ujinga lakini bado elimu ya Tanzania inachangia katika ukosefu wa ajira.

Taaluma ya uhandisi kwa ujumla wake ni nyeti sana katika kuwaandaa wahitimu wenye kuleta mabadiliko ya kisanyasi katika uhalisia wake ndani ya jamii kwa kuleta njia bora na mbadala katika kurahisisha maisha ya binadamu. Lakini cha kusikitisha na kushangaza taaluma ya uhandisi hapa nchini ni miongoni mwa taaluma inayotoa wahandisi wengi wasiokuwa na uelewa mpana haswa katika upande wa ujuzi wa taaluma zao.

Kwa mfano mhandisi aliyesomea uhandisi wa viwanda katika chuo kikuu cha Dar es salaam anatunukiwa shahada yake aliyosomea kwa miaka 4 lakini asiwe na uelewa na ujuzi wa namna gani uzalishaji wa bidhaa unafanyika viwandani kwa teknolojia ya kisasa lakini ukimuuliza kwenye karatasi namna gani shughuli za viwandani zinafanyika atakusimulia hadithi nzuri inayovutia lakini kuweka huo ukweli katika uhalisia wake ni hadithi nyingine inayosikitisha.

Ni ukweli usiopingika kuna hitaji la mabadiliko katika mfumo mzima wa elimu yetu, kuanzia elimu ya awali hadi chuo kikuu lakini tunaweza tukaanza na mabadiliko katika elimu ya chuo kikuu haswa katika taaluma ya uhandisi ili wanafunzi wanaofanikiwa kutunukiwa shahada ya awali ya uhandisi wawe na ujuzi katika shahada zao ili iwe chachu ya kuleta ubunifu utakao kuwa na manufaa na tija kwa jamii na taifa kwa ujumla, ujuzi na ubunifu katika taaluma ya uhandisi ni nyenzo muhimu sana kwa wahitimu katika soko la ajira.

Suala zima la mitihani ya kuandika linatakiwa kutolewa katika ngazi ya chuo kikuu, inasikitisha kuona elimu ya chuo kikuu asilimia kubwa hupima uelewa wa mwanafunzi katika kuandika kwenye karatasi kuliko vitendo, unakuta mwanafunzi wa chuo kikuu anaulizwa eleza au taja maana ya vitu fulani tena “kama ulivyofundishwa darasani”, ni rai yangu kuona mitihani ya kuandika kwenye karatasi haipewi kipaumbele katika upimaji wa uelewa wa mwanafunzi vyuoni, badala yake msisitizo uwekwe katika mahudhurio darasani na elimu kwa vitendo kulingana na taaluma ya uhandisi anayosomea.

Inasikitisha sana kwa baadhi ya wanafunzi wanaosomea uhandisi wa viwanda mfano katika chuo kikuu cha Dar es salaam asipate nafasi ya kwenda kujifunza elimu kwa vitendo katika kiwanda kinachotumia angalau teknolojia ya kisasa katika uzalishaji, hii inapelekea wanafunzi wengi wa uhandisi kutokuwa na ujuzi na maarifa katika taaluma zao badala yake wanayaandika vizuri kwenye karatasi tu lakini ukweli unasimulia hadithi tofauti, vyuo lazima vichukue jukumu la kuhakikisha kila idara ya ndaki ya uhandisi zinakuwa na sehemu bora na zinazotosheleza idadi ya wanafunzi kwa kila taaluma katika kutoa elimu ya vitendo na ziweke kwenye tovuti ya vyuo ili ngazi ya ndaki kupitia idara ya kila taaluma ziwape nafasi wanafunzi kuchagua hizo sehemu kwenye tovuti, kinachositisha ni kwamba sehemu zilizopo kwenye tovuti ni chache au hazina ubora unaohitajika katika kutoa elimu kwa vitendo hivyo hupelekea wanafunzi kujitafutia sehemu zingine.

Mda wa kusoma darasani kwa mihula katika ngazi ya chuo kikuu upunguzwe na upelekwe katika mda wa elimu kwa vitendo, kwa kawaida elimu ya vitendo ngazi ya uhandisi ni wiki 8 katika muhula wa masomo kwa mwaka. Ili tupate wahandisi wenye ujuzi na waledi katika taaluma zao lazima juhudi nyingi zielekezwe katika msisitizo wa elimu kwa vitendo vyuoni, ukijaribu kuchunguza kuna utoro mwingi kwa wanafunzi katika kipindi cha elimu kwa vitendo hii inatokana na elimu kwa vitendo kutotiliwa mkazo wa kutosha na ufuatiliaji duni wa mahudhurio ya wanafunzi wao katika maeneo husika.

Karakana za kufundishia elimu kwa vitendo ziboreshwe ili ziendane na teknolojia, inasikitisha na kuhuzunisha kuona mashine na vifaa mbalimbali katika karakana ya vyuo vikuu zimepitwa na wakati na hata zilizopo sio zote zinafanya kazi hii ni mojawapo ya changamoto zinazowanyima wahandisi kupata ujuzi na uelewa mpana wa taaluma zao. Uhalisia upo katika karakana za chuo kikuu cha Dar es salaam ambapo baadhi ya mashine katika karakana zimepitwa na wakati na baadhi hazifanyi kazi hiki ndo miongoni wa chuo kinachoaminika kuwa bora katika kutoa elimu ya ngazi ya juu nchi je hivyo vingine hali ikoje? Elimu siku zote ni gharama, hivyo basi serikali inatakiwa kuwekeza katika vifaa vya kufundishia elimu kwa vitendo ili viendane na teknolojia.

Ni rai yangu kwa serikali iweke mpango maalumu wa ulazima wa mafunzo kazini kwa wahitimu wapya wa taaluma ya uhandisi ili kuwapatia uzoefu wa mafunzo kazini angalau kwa mwaka mmoja tu, hii inawezekana kama serikali itafanya juhudi za kuingia ubia na mashirika na viwanda mbalimbali ndani na nje ya nchi katika kusaidia kutoa mafunzo kazini kwa wahitimu na sio huu mfumo wa sasa ambapo mhitimu wa uhandisi anarudi mtaani na kukosa hata hio fursa kwa wakati, pia serikali iweke mkakati wa kuyataka mashirika na viwanda uzoefu wa kila ajira kwa taaluma ya uhandisi iwe ni mwaka mmoja tu na sio mfumo unaobagua.

Lazima tuthamini na tuamini katika kile tulichokiwekeza ndani ya wanafunzi wa uhandisi na taaluma zingine lakini, hili linawezekana kama tutaanza na maboresho katika elimu ya chuo kikuu katika taaluma ya uhandisi. Maboresho katika elimu ya chuo kikuu inawezekana Tanzania, tuanze na taaluma ya uhandisi tukifanikiwa pia taaluma zingine kwa ujumla wake ziangaliwe kwa upana katika mabadiliko.
 
Andiko zuri sana ndugu, naamini mambo uliyoeleza yanaweza kuleta mabadiliko
 
Hongera kwa chapisho lenye mawazo chanya katika jamii.

Ningependa kupata mawazo yako kwenye chapisho la kesho ya Africa.
SoC 2022 - Kesho ya Afrika ipo katika mtandao

Ikikupendeza tupe kura yako na comment kwenye wazo hili. Je africa ya kesho inawezekana?
Tupo pamoja mkuu mawazo chanya ya elimu yetu yahitajika sana kilio changu nikuona chuoni tunaondokana na mitihan ya kwenye karatasi mana toka chekechea hadi unafika chuoni umeyaandika sana chuoni waweke mkazo kwenye uhalisia wa taaluma hzo kwa vitendo mitihan ya andika au taja maana ya vitu fulani inasikitisha sana
 
Kwa mujibu wa tovuti ya tathimini ya idadi ya watu duniani ya mwaka 2022, makadirio ya umri wa ukomo wa kuishi kwa mtanzania ni miaka 66. Kwa mtanzania aliye bahatika kuhitimu shahada yake ya awali akiwa na miaka 23 hadi 24 atakuwa ametumia takribani asilimia 34.85 (miaka 23) hadi asilimia 36.36 (miaka 24) ya ukomo wa umri wake wa kuishi katika sekta ya elimu. Pamoja na elimu kuwa nyenzo muhimu sana katika kupambana na ujinga lakini bado elimu ya Tanzania inachangia katika ukosefu wa ajira.

Taaluma ya uhandisi kwa ujumla wake ni nyeti sana katika kuwaandaa wahitimu wenye kuleta mabadiliko ya kisanyasi katika uhalisia wake ndani ya jamii kwa kuleta njia bora na mbadala katika kurahisisha maisha ya binadamu. Lakini cha kusikitisha na kushangaza taaluma ya uhandisi hapa nchini ni miongoni mwa taaluma inayotoa wahandisi wengi wasiokuwa na uelewa mpana haswa katika upande wa ujuzi wa taaluma zao.

Kwa mfano mhandisi aliyesomea uhandisi wa viwanda katika chuo kikuu cha Dar es salaam anatunukiwa shahada yake aliyosomea kwa miaka 4 lakini asiwe na uelewa na ujuzi wa namna gani uzalishaji wa bidhaa unafanyika viwandani kwa teknolojia ya kisasa lakini ukimuuliza kwenye karatasi namna gani shughuli za viwandani zinafanyika atakusimulia hadithi nzuri inayovutia lakini kuweka huo ukweli katika uhalisia wake ni hadithi nyingine inayosikitisha.

Ni ukweli usiopingika kuna hitaji la mabadiliko katika mfumo mzima wa elimu yetu, kuanzia elimu ya awali hadi chuo kikuu lakini tunaweza tukaanza na mabadiliko katika elimu ya chuo kikuu haswa katika taaluma ya uhandisi ili wanafunzi wanaofanikiwa kutunukiwa shahada ya awali ya uhandisi wawe na ujuzi katika shahada zao ili iwe chachu ya kuleta ubunifu utakao kuwa na manufaa na tija kwa jamii na taifa kwa ujumla, ujuzi na ubunifu katika taaluma ya uhandisi ni nyenzo muhimu sana kwa wahitimu katika soko la ajira.

Suala zima la mitihani ya kuandika linatakiwa kutolewa katika ngazi ya chuo kikuu, inasikitisha kuona elimu ya chuo kikuu asilimia kubwa hupima uelewa wa mwanafunzi katika kuandika kwenye karatasi kuliko vitendo, unakuta mwanafunzi wa chuo kikuu anaulizwa eleza au taja maana ya vitu fulani tena “kama ulivyofundishwa darasani”, ni rai yangu kuona mitihani ya kuandika kwenye makaratasi haipewi kipaumbele katika upimaji wa uelewa wa mwanafunzi vyuoni, badala yake msisitizo uwekwe katika mahudhurio darasani na elimu kwa vitendo kulingana na taaluma ya uhandisi anayosomea.

Inasikitisha sana kwa baadhi ya wanafunzi wanaosomea uhandisi wa viwanda mfano katika chuo kikuu cha Dar es salaam asipate nafasi ya kwenda kujifunza elimu kwa vitendo katika kiwanda kinachotumia angalau teknolojia ya kisasa katika uzalishaji, hii inapelekea wanafunzi wengi wa uhandisi kutokuwa na ujuzi na maarifa katika taaluma zao badala yake wanayaandika vizuri kwenye karatasi tu lakini ukweli unasimulia hadithi tofauti, vyuo lazima vichukue jukumu la kuhakikisha kila idara ya ndaki ya uhandisi zinakuwa na sehemu bora na zinazotosheleza idadi ya wanafunzi kwa kila taaluma katika kutoa elimu ya vitendo na ziweke kwenye tovuti ya vyuo ili ngazi ya ndaki kupitia idara ya kila taaluma ziwape nafasi wanafunzi kuchagua hizo sehemu kwenye tovuti, kinachositisha ni kwamba sehemu zilizopo kwenye tovuti ni chache au hazina ubora unaohitajika katika kutoa elimu kwa vitendo hivyo hupelekea wanafunzi kujitafutia sehemu zingine.

Mda wa kusoma darasani kwa mihula katika ngazi ya chuo kikuu upunguzwe na upelekwe katika mda wa elimu kwa vitendo, kwa kawaida elimu ya vitendo ngazi ya uhandisi ni wiki 8 katika muhula wa masomo kwa mwaka. Ili tupate wahandisi wenye ujuzi na waledi katika taaluma zao lazima juhudi nyingi zielekezwe katika msisitizo wa elimu kwa vitendo vyuoni, ukijaribu kuchunguza kuna utoro mwingi kwa wanafunzi katika kipindi cha elimu kwa vitendo hii inatokana na elimu kwa vitendo kutotiliwa mkazo wa kutosha na ufuatiliaji duni wa mahudhurio ya wanafunzi wao katika maeneo husika.

Karakana za kufundishia elimu kwa vitendo ziboreshwe ili ziendane na teknolojia, inasikitisha na kuhuzunisha kuona mashine na vifaa mbalimbali katika karakana ya vyuo vikuu zimepitwa na wakati na hata zilizopo sio zote zinafanya kazi hii ni mojawapo ya changamoto zinazowanyima wahandisi kupata ujuzi na uelewa mpana wa taaluma zao. Uhalisia upo katika karakana za chuo kikuu cha Dar es salaam ambapo baadhi ya mashine katika karakana zimepitwa na wakati na baadhi hazifanyi kazi hiki ndo miongoni wa chuo kinachoaminika kuwa bora katika kutoa elimu ya ngazi ya juu nchi je hivyo vingine hali ikoje? Elimu siku zote ni gharama, hivyo basi serikali inatakiwa kuwekeza katika vifaa vya kufundishia elimu kwa vitendo ili viendane na teknolojia.

Ni rai yangu kwa serikali iweke mpango maalumu wa ulazima wa mafunzo kazini kwa wahitimu wapya wa taaluma ya uhandisi ili kuwapatia uzoefu wa mafunzo kazini angalau kwa mwaka mmoja tu, hii inawezekana kama serikali itafanya juhudi za kuingia ubia na mashirika na viwanda mbalimbali ndani na nje ya nchi katika kusaidia kutoa mafunzo kazini kwa wahitimu na sio huu mfumo wa sasa ambapo mhitimu wa uhandisi anarudi mtaani na kukosa hata hio fursa kwa wakati, pia serikali iweke mkakati wa kuyataka mashirika na viwanda uzoefu wa kila ajira kwa taaluma ya uhandisi iwe ni mwaka mmoja tu na sio mfumo unaobagua.

Lazima tuthamini na tuamini katika kile tulichokiwekeza ndani ya wanafunzi wa uhandisi na taaluma zingine lakini, hili linawezekana kama tutaanza na maboresho katika elimu ya chuo kikuu katika taaluma ya uhandisi. Maboresho katika elimu ya chuo kikuu inawezekana Tanzania, tuanze na taaluma ya uhandisi tukifanikiwa pia taaluma zingine kwa ujumla wake ziangaliwe kwa upana katika mabadiliko.

Andiko zuri sana ndugu, naamini mambo uliyoeleza yanaweza kuleta mabadiliko

Andiko zuri sana ndugu, naamini mambo uliyoeleza yanaweza kuleta mabadiliko
Hakika tuanze na vyuoni mana ndio msingi unaotoa wataalamu wa taaluma mbalimbali hapa nchini
 
Naombeni kura zenu kwa ajili ya wazo hili lenye mtazamo chanya katika elimu yetu
 
Kwa mujibu wa tovuti ya tathimini ya idadi ya watu duniani ya mwaka 2022, makadirio ya umri wa ukomo wa kuishi kwa mtanzania ni miaka 66. Kwa mtanzania aliye bahatika kuhitimu shahada yake ya awali akiwa na miaka 23 hadi 24 atakuwa ametumia takribani asilimia 34.85 (miaka 23) hadi asilimia 36.36 (miaka 24) ya ukomo wa umri wake wa kuishi katika sekta ya elimu. Pamoja na elimu kuwa nyenzo muhimu sana katika kupambana na ujinga lakini bado elimu ya Tanzania inachangia katika ukosefu wa ajira.

Taaluma ya uhandisi kwa ujumla wake ni nyeti sana katika kuwaandaa wahitimu wenye kuleta mabadiliko ya kisanyasi katika uhalisia wake ndani ya jamii kwa kuleta njia bora na mbadala katika kurahisisha maisha ya binadamu. Lakini cha kusikitisha na kushangaza taaluma ya uhandisi hapa nchini ni miongoni mwa taaluma inayotoa wahandisi wengi wasiokuwa na uelewa mpana haswa katika upande wa ujuzi wa taaluma zao.

Kwa mfano mhandisi aliyesomea uhandisi wa viwanda katika chuo kikuu cha Dar es salaam anatunukiwa shahada yake aliyosomea kwa miaka 4 lakini asiwe na uelewa na ujuzi wa namna gani uzalishaji wa bidhaa unafanyika viwandani kwa teknolojia ya kisasa lakini ukimuuliza kwenye karatasi namna gani shughuli za viwandani zinafanyika atakusimulia hadithi nzuri inayovutia lakini kuweka huo ukweli katika uhalisia wake ni hadithi nyingine inayosikitisha.

Ni ukweli usiopingika kuna hitaji la mabadiliko katika mfumo mzima wa elimu yetu, kuanzia elimu ya awali hadi chuo kikuu lakini tunaweza tukaanza na mabadiliko katika elimu ya chuo kikuu haswa katika taaluma ya uhandisi ili wanafunzi wanaofanikiwa kutunukiwa shahada ya awali ya uhandisi wawe na ujuzi katika shahada zao ili iwe chachu ya kuleta ubunifu utakao kuwa na manufaa na tija kwa jamii na taifa kwa ujumla, ujuzi na ubunifu katika taaluma ya uhandisi ni nyenzo muhimu sana kwa wahitimu katika soko la ajira.

Suala zima la mitihani ya kuandika linatakiwa kutolewa katika ngazi ya chuo kikuu, inasikitisha kuona elimu ya chuo kikuu asilimia kubwa hupima uelewa wa mwanafunzi katika kuandika kwenye karatasi kuliko vitendo, unakuta mwanafunzi wa chuo kikuu anaulizwa eleza au taja maana ya vitu fulani tena “kama ulivyofundishwa darasani”, ni rai yangu kuona mitihani ya kuandika kwenye karatasi haipewi kipaumbele katika upimaji wa uelewa wa mwanafunzi vyuoni, badala yake msisitizo uwekwe katika mahudhurio darasani na elimu kwa vitendo kulingana na taaluma ya uhandisi anayosomea.

Inasikitisha sana kwa baadhi ya wanafunzi wanaosomea uhandisi wa viwanda mfano katika chuo kikuu cha Dar es salaam asipate nafasi ya kwenda kujifunza elimu kwa vitendo katika kiwanda kinachotumia angalau teknolojia ya kisasa katika uzalishaji, hii inapelekea wanafunzi wengi wa uhandisi kutokuwa na ujuzi na maarifa katika taaluma zao badala yake wanayaandika vizuri kwenye karatasi tu lakini ukweli unasimulia hadithi tofauti, vyuo lazima vichukue jukumu la kuhakikisha kila idara ya ndaki ya uhandisi zinakuwa na sehemu bora na zinazotosheleza idadi ya wanafunzi kwa kila taaluma katika kutoa elimu ya vitendo na ziweke kwenye tovuti ya vyuo ili ngazi ya ndaki kupitia idara ya kila taaluma ziwape nafasi wanafunzi kuchagua hizo sehemu kwenye tovuti, kinachositisha ni kwamba sehemu zilizopo kwenye tovuti ni chache au hazina ubora unaohitajika katika kutoa elimu kwa vitendo hivyo hupelekea wanafunzi kujitafutia sehemu zingine.

Mda wa kusoma darasani kwa mihula katika ngazi ya chuo kikuu upunguzwe na upelekwe katika mda wa elimu kwa vitendo, kwa kawaida elimu ya vitendo ngazi ya uhandisi ni wiki 8 katika muhula wa masomo kwa mwaka. Ili tupate wahandisi wenye ujuzi na waledi katika taaluma zao lazima juhudi nyingi zielekezwe katika msisitizo wa elimu kwa vitendo vyuoni, ukijaribu kuchunguza kuna utoro mwingi kwa wanafunzi katika kipindi cha elimu kwa vitendo hii inatokana na elimu kwa vitendo kutotiliwa mkazo wa kutosha na ufuatiliaji duni wa mahudhurio ya wanafunzi wao katika maeneo husika.

Karakana za kufundishia elimu kwa vitendo ziboreshwe ili ziendane na teknolojia, inasikitisha na kuhuzunisha kuona mashine na vifaa mbalimbali katika karakana ya vyuo vikuu zimepitwa na wakati na hata zilizopo sio zote zinafanya kazi hii ni mojawapo ya changamoto zinazowanyima wahandisi kupata ujuzi na uelewa mpana wa taaluma zao. Uhalisia upo katika karakana za chuo kikuu cha Dar es salaam ambapo baadhi ya mashine katika karakana zimepitwa na wakati na baadhi hazifanyi kazi hiki ndo miongoni wa chuo kinachoaminika kuwa bora katika kutoa elimu ya ngazi ya juu nchi je hivyo vingine hali ikoje? Elimu siku zote ni gharama, hivyo basi serikali inatakiwa kuwekeza katika vifaa vya kufundishia elimu kwa vitendo ili viendane na teknolojia.

Ni rai yangu kwa serikali iweke mpango maalumu wa ulazima wa mafunzo kazini kwa wahitimu wapya wa taaluma ya uhandisi ili kuwapatia uzoefu wa mafunzo kazini angalau kwa mwaka mmoja tu, hii inawezekana kama serikali itafanya juhudi za kuingia ubia na mashirika na viwanda mbalimbali ndani na nje ya nchi katika kusaidia kutoa mafunzo kazini kwa wahitimu na sio huu mfumo wa sasa ambapo mhitimu wa uhandisi anarudi mtaani na kukosa hata hio fursa kwa wakati, pia serikali iweke mkakati wa kuyataka mashirika na viwanda uzoefu wa kila ajira kwa taaluma ya uhandisi iwe ni mwaka mmoja tu na sio mfumo unaobagua.

Lazima tuthamini na tuamini katika kile tulichokiwekeza ndani ya wanafunzi wa uhandisi na taaluma zingine lakini, hili linawezekana kama tutaanza na maboresho katika elimu ya chuo kikuu katika taaluma ya uhandisi. Maboresho katika elimu ya chuo kikuu inawezekana Tanzania, tuanze na taaluma ya uhandisi tukifanikiwa pia taaluma zingine kwa ujumla wake ziangaliwe kwa upana katika mabadiliko.
Optimistic bro!
Nakubali, great ideas.
 
Andiko zuri na kama litawafika walengwa na kufanyiwa kazi litaleta mabadiliko makubwa kwa jamii na taifa!
Naomba upitie andiko langu uchangie mjadala pamoja na kunipigia kura Soc2022-MABORESHO YA MFUMO WA ELIMU TANZANIA
 
👍
 
Back
Top Bottom