mfumo wa elimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mulokozi GG

    JamiiForums Tanzania Akadi, genius aliyeubadilisha mfumo wa elimu Tanzania

    Katikati ya kipindi ambacho ukosefu wa ajira ulikuwa wimbo uliozoeleka na ulioumiza sana kwa kila aliye kuwa na uwezo wa kuona vijana walivyo kuwa wanazidi kukosa mwelekeo ndani ya Taifa la Tanzania. Hatua ambayo wale wenye moyo wa kuhudumu wengine na walio majasiri pekee ndo wangeweza kusaidia...
  2. MRAMIRA

    JamiiForums Tanzania SoC01 Athari za mfumo wa elimu na ongezeko la wasomi wasio na ajira, nini kifanyike

    UTANGULIZI Kwa muda mrefu tumekuwa tunajiuliza nini hasa muarobaini wa ajira kwa wahitimu nchini? Kwanini wasomi hawaajiriwi au kuajirika? Upatikanaji wa ajira ni suala mtambuka ambalo watanzania wanajiuliza bila kupata majibu ya maswali haya: Je suala ni wasomi wenyewe je ni ukosefu wa stadi...
  3. D

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mfumo wa elimu tunaotumia ni wa kikoloni, unatuandaa kutawaliwa zaidi kuliko kujitawala

    Elimu tuliyopata mashuleni imeshindwa kutusaidia kutatua changamoto zetu. Mfumo wetu wa elimu umetufanya tuwe ndio mzee Kwa Kila kitu. Na kutokana elimu hii tumeshindwa kujitetea hata pale tunapo ona tunaonewa na watawala. Jaribu kutazama mambo yanavyokwenda katika nnchi yetu serekali...
  4. R

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tatizo si Mfumo wa Elimu bali ufinyu wa fursa za ajira

    TATIZO SI MFUMO WA ELIMU Kumekuwapo na mjadala kuhusu mfumo wetu wa elimu.Tuliowengi tunasema mfumo wetu wa elimu ni mbovu na kwamba ndiyo maana vijana wengi wanamaliza vyuo vikuu lakini hawawezi kujiajiri. Kelele ziko kila kona ya nchi. Malalamishi haya hayatoki kwa wananchi wa kawaida tu...
  5. inosgram

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini masomo yasipunguzwe mapema ili kuwaondolea Watoto mzigo?

    “Tunasema vijana wajiajiri wakati sisi wenyewe wametuajiri wao, kwanini sisi tusujiajiri kwanza alafu tuone kama kujiajiri ni rahisi ndio tuwaambie nao wajiajiri?”,maneno haya yalisemwa na mbunge mmoja akiwa bungeni wakati wa kuchangia hoja iliyohusu Ukosefu wa ajira. Ni ukweli usiopingika...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu ubadilishwe

    Moja ya jambo ambalo linatakiwa kutiliwa mkazo kwa sasa ni namma ambavyo mfumo wetu wa utoaji elimu unavyoathiri vizazi vyetu hasa vijana. Ni mfumo ambao unalenga sana kuwaandaa wanafunzi kuwa tegemezi na kuwa wavivu wa kujituma na kupambania ndoto zao. Wanafunzi wanafundishwa tu wakazane na...
  7. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tunaweza kuwa Taifa imara kama tutaamua kubadilisha Mfumo wa Elimu yetu

    Wadau, hakika ili taifa liwe imara mfumo wa elimu yake lazima ubadilike, tuko hivi tulivyo kutokana na aina ya elimu yetu tunavyoitoa ikiwemo mitaala yetu! wakati nimeona hili shindano nikadhani ni bora nilete mjadala huu mpana katika nchi yetu namna ya kuleta elimu yenye tija! na yafuatayo ni...
  8. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania haimkomboi kijana zaidi ya kuendeleza ujinga

    HIZI NDIZO SABABU KUU MBILI ZINAZO SABABISHA UMASIKINI TANZANIA NA AFRIKA KWA UJUMLA 1: UDHAIFU WA ELIMU YETU Elimu yetu haijitosherezi wala haiendani na dunia tuliyo nayo leo tofauti na mataifa mengine kama Uingereza, Marekani, Canada n.k Mfano mwanafunzi Alie Soma kombi ya HGK/HGL/HKL kwa...
  9. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Mzizi mkuu wa changamoto za mfumo wa Elimu Tanzania

    Mzizi mkuu wa changamoto za mfumo wa Elimu Tanzania ni kwamba RoteLearning ndio injini, moyo na roho ya elimu rasmi. Rote Learning ni mfumo wa kujifunza ambao mwanafunzi hutakiwa kukariri na kukumbuka. Mbadala wake ni pamoja na mbinu za kujifunza zinazozingatia fikra tunduizi, majaribio ya...
  10. wazanaki

    JamiiForums Tanzania Tusipojua tunataka nini kwenye elimu yetu, tutakuja kupangiwa na watu wa nje

    Naona kama kwenye education system bado tumelala sana. Hivi huwa najiuliza. Wananchi wa tanzania wanataka watoto wao waelimishwe kuhusu nn. Elimu bora imefafanuliwa vipi kwa wazazi. Tuna mpango endelevu kweli wa kujua watoto wetu wanahitaji kujua nn mashuleni utakao husisha kubadilishwa kwa...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Darasa la 8 lilifutwa katika mfumo wa elimu?

    Habari wadau? Hivi Kwani Mwanafunzi anakaa miaka Mingi anasoma tuu mwisho anamaliza hana ujuzi? Kama zamani iliwezekana Kupunguza Madarasa kwanini Sasa hivi ishindikane? Elimu yetu Primary 7years,Secondary 6years,Chuo 3/4 yrars Total 18 year Mtu anasoma Tuu Mwisho anakosa Ajira anakuwa Tegemezi...
Back
Top Bottom