mfumo dume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hakuna kuwa katikati, ni aidha ufuate mfumo jike au Mfumo Dume

    Kwema Wakuu! Hapa Duniani ipo mifumo miwili tuu inayoongoza dunia. Hakuna mfumo wa kati. Ni aidha uchague Mfumo dume au uwe WA mfumo Dume. Ni fahari Kwa mwanamke kuchagua mfumo wowote, aidha achague mfumo jike au dume kwake vyote ni Faida. Tena akichagua mfumo dume ndio hupewa heshima na...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kelele za mfumo dume hazisikiki tena

    Ni kama vile zimekufa kifo cha asili. Kelele za Uwakilishi wa 50/50 kwenye nafasi mbalimbali za uongozi nazo zimetokomea kizani. Misemo maarufu ya wanawake wanaweza haisikiki tena! Huu ni wakati wao sasa. Na hakuna wakati mwingine zaidi ya huu. ITS NOW OR NEVER! No wakati wa kuthibitisha kwa...
  3. Mkulungwa01

    JamiiForums Tanzania Vijana wangu msiuache mfumo dume

    Vijana wangu, nawahurumia mno na dunia hii tuliyopo sasa. Mfumo dume si kupiga piga wala kunyanyasa wanawake au kutosomesha watoto wa kike, mfumo dume si kutoa maneno ya udhalilishaji kwa wanawake unapolewa. Mfumo dume ni pamoja na kuheshimu wanawake na kuwalinda. Mfumo dume ni nini? Ili...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Rais Samia amewanyima hoja wapinzani wake ndio maana wamekimbilia kwenye mfumo dume"Wapuuzeni"

  5. Gwajima

    JamiiForums Tanzania Mimi ni muumini wa mfumo Dume

    Habarini za leo ndugu zangu, nimetafakari sana na katika pitapita zangu kwenye maktaba mbalimbali nimejiridhisha bila shaka kuwa nafasi za uongozi wa juu ni lazima zishikwe na mwanaume ili mambo yaende. Na hakuna ushahidi duniani wa nchi yoyote iliyowahi kufanya revolution yoyote ya maana...
  6. Mseminary Robert

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi dhana ya mfumo dume inavyowatafuna Wanaume

    JINSI DHANA YA MFUMO DUME INAVYOWATAFUNA WANAUME Wahenga walipata kusema kikulacho kinguoni mwako na hivi ndivyo ninavyoweza kuamua na kuhawilisha tafakuri yangu katika maisha ya mfumo tunaoutamania kuishi kwa kuzingatia kuwa binadamu wote ni sawa na tunapoutafuta usawa wa kijinsia ni kwamba...
  7. Gwappo Mwakatobe

    JamiiForums Tanzania Athari za mfumo Dume katika mfumo Jike

    Mfumo dume unapoingia kwenye mfumo jike ndipo ambapo mwanamke hudhalilika zaidi na hata kujidhalilisha. Sikutegemea mtu yeyote kudhani kuwa ukubwa wa matiti ndio sifa ya kuolewa. Inaleta shaka zaidi na maumivu makubwa kwa wanawake anapotamka hayo kiongozi wa nchi, tena mwanamke! Aidha, ni vema...
  8. Memtata

    JamiiForums Tanzania SoC01 Naamka nikiwa na miaka 40, Mke wangu amekuwa msaada

    Nina miaka 40 sasa lakini ndio naamka nashtuka kuona kwamba nilipoteza sana muda, pesa na sikuutumia vizuri ujana wangu. Ningewaza haya mapema ningekuwa mbali sana kimaendeleo hata kama si kwa pesa nyingi lakini ningekuwa nimepiga hatua kubwa. NINI KILINIPONZA? 1. UVIVU NA NJIA MKATO Shule ya...
Back
Top Bottom