mfugaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RMK Freelancers Agency

    Kama wewe ni mfugaji wa kuku wa nyama au mayai, njoo tukuongeze mauzo.

    Kama wewe ni chicken farmer unayefuga kuku wa mayai au nyama, au unafanya biashara ya kuuza mayai au kuku wa nyama kwa jumla, na unachangamoto ya mauzo au unataka kuongeza mauzo kwenye biashara yako. Ninaweza kukusaidia kupata buyers wa uhakika kama restaurants, hotels, supermarkets, catering...
  2. M

    baruti zinazopigwa usiku huu wa mwaka mpya zingepigwa marufuku, zinaleta kumbukumbu mbaya za milio ya risasi ya 29 Oktoba 2025

    Sikutegemea kama usiku huu wa kuamkua 2026 mwaka mpya utanivuruga kisaikolojia Nilizoea kufurahia baruti za mwaka mpya lakini kwa mara ya kwanza nimehuzunika kila ninaposikia milio ya baruti, akili inarudi kwenye milio ya 29 Oktoba mwaka jana
  3. Brayan_Jk

    Unamfahamu Mfugaji wa Kuku ambae anapata changamoto kusimamia Shamba lake la Kuku?

    🌞 Heri ya wiki mpya mfugaji! 🐔 Anza wiki hii kwa ubora zaidi ukitumia toleo jipya la Fuga App sasa ni rahisi zaidi kusimamia shamba lako, kufuatilia matumizi, uzito wa kuku na faida zako! 📲 Pakua sasa Fuga App kupitia Playstore: [Fuga - Apps on Google Play]
  4. Brayan_Jk

    Toleo jipya na Kali mno,kama wewe ni Mfugaji wa Kuku,hii sio yakukosa,zaidi ya Wafugaji 1,000 wa Kuku wanaitumia, wewe unasubiri nini?

    🚀 Tulianza kutengeneza Fuga App tukiwa na lengo moja,kufanya ufugaji wa kuku kuwa rahisi,wa kisasa na wenye faida zaidi. Leo, tunafurahi kusema tupo hatua moja karibu zaidi na ndoto hiyo ila kuwasaiddia wafugaji wa Kuku💚 Tunawatambulisha Fuga App toleo la 2.0! Toleo jipya lililotengenezwa na...
  5. Brayan_Jk

    Kama wewe ni Mfugaji wa Kuku,Fuga App ni Muhimu Shambani kwako

    Kama wewe ni Mfugaji Kuku ,Fuga App inakusaidia Kufuga kwa Uhakika kwa Kuepuka hasara zinzazotokana na Kulisha zaidi au kuwapunja Kuku,kwa kukupa ratiba ya Chakula kila siku. Simamia Shamba lako kisasa ,Achana na Stress za kuibiwa chakula lini chakula Kinaisha,Uza bidhaa zako kwa Faida kwa Kujua...
  6. Imani rubaba

    Unahitaji kuwa mfugaji wa nguruwe kibiashara!?

    🌍 Rubaba Media – Tukiinua Ufugaji na Kilimo Tanzania 🌱🐖 Kwa muda mrefu, Rubaba Media tumekuwa tukipokea jumbe kutoka kwa watu wa aina mbalimbali – wanafunzi, wafanyakazi, wafugaji wapya na hata wale wa muda mrefu. Wengi wao wanatamani kuingia kwenye ufugaji wa nguruwe kibiashara, lakini...
  7. britanicca

    Nguruwe si mchafu Bali mfugaji ndo mchafu

    Unavyoliweka zizi ndivyo mdudu ucheza! Nguruwe ni msafi sana isipokuwa mfugaji ndo mjinga, unaweza sema ngoja niachane na nguruwe ni mchafu, kumbe uchafu wa nguruwe uko kwako Britanicca
  8. Brayan_Jk

    🚨Fuga App sasa ipo live playstore !! Usiikose wewe mfugaji wa kuku

    Baada ya muda wa kuzungumza na wafugaji, kusikiliza changamoto zao na kujifunza kutoka kwao hatimaye Fuga App ipo hewani kwenye Play Store! 🐔📱 Tunashukuru kwa moyo mmoja kwa usaidizi wenu kwa wafugaji wote mliochangia maoni, timu yetu kwa juhudi kubwa, na kila mmoja aliyeamini kuwa jambo hili...
  9. Brayan_Jk

    Kama wewe ni mfugaji wa kuku app hii itakusaidia kusimamia shamba kiurahisi mno

    Kabla hatujaanza kutengeneza Fuga, tulizungumza sana na wateja wetu, tukijitahidi kuelewa changamoto zao na kujibu maswali ya kila siku wanayokutana nayo katika shughuli zao za ufugaji wa kuku. Moja ya maswali yaliyoulizwa sana na ambalo tunafurahia kulitatua kupitia app yetu ni hili hapa : ⏳ Ni...
  10. JanguKamaJangu

    Askari wanne wa TANAPA washikiliwa kwa tuhuma za kumuua mfugaji aliyengiza mifugo katika hifadhi

    Askari wanne wa Hifadhi ya Taifa (TANAPA) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya Kurwa Igembe anayedaiwa kuingiza mifugo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha wilayani Mbarali.
  11. Imani rubaba

    Shuhuda ya Mzee Sharif Kwezi: Mfugaji wa Ng'ombe Anayetengeneza Zaidi ya Laki 3 kila Siku na Milioni 9 Kila Mwezi! 🐄💰

    Mzee Sharif Kwezi kutoka Mwanza ni mmoja wa wafugaji wa ng'ombe wa maziwa walionufaika na mafunzo bora kutoka kwetu. Kwa sasa, anafuga ng'ombe 10 na hukamua mara 3 kwa siku, akipata takribani lita 214 za maziwa. Kwa bei ya 1,500 TZS kwa lita, anaingiza 321,000 TZS kila siku—zaidi ya milioni 9...
  12. KING MIDAS

    Kupe, mdudu anayeweza kumfilisi mfugaji ndani ya muda mfupi

    Kupe ni wadudu wanaoonekana kuwa ni wadogo lakini wanaweza kusababisha kushuka kwa uchumi wa wafugaji kwa kiwango cha juu endapo hawatadhibitiwa kwa wakati. Pamoja na kuwepo kwa aina mbalimbali za kupe, kupe wa rangi ya kahawia ni wabaya zaidi. Hii ni kwa sababu kupe wanabeba vimelea...
  13. Just Pray

    Katavi: Askari wa TANAPA adaiwa kumuua mfugaji kwa risasi

    Polisi mkoani Katavi inawashikilia askari wawili wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA) kwa kosa la kumuua kwa risasi mfugaji aliyetambulika kwa jina la Gimbagu Mandagu mwenye umri wa miaka 25. Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Kaster Ngonyani amesema tukio hilo limetokea katika kijiji cha...
  14. H

    Mbolea madawa na mbegu ni tatizo Kwa mfugaji na mkulima

    Ni kweli serikali inataka kupiga hatua Kwa wananchi wake? Kama ni kweli ushauri wangu Kwa serikali yangu ijitazame katika mambo haya ya yafuatayo. Mbolea Kwa mkulima:ni wakati Sasa wa sekta ya kilimo kuwa wakali Kwa kuhakikisha mwananchi anapata mbolea ZeNye virutubisho sahihi na sio mbolea...
  15. G-Mdadisi

    Kamwe Mfugaji hawezi kuishi pamoja na Mkulima. Maisha hayawaruhusu

    ✍#GMdadisi Sijui ni lini WAFUGAJI na WAKULIMA watakuja kuelewana na waishi pamoja bila kuwa na migogoro wala chuki. Nadhani hii yaweza kuwa ni ndoto nzuri ambayo haitakuja kushudiwa katika kizazi hiki. Bahati mbaya sana ukimsikiliza mfugaji analalamika kuonewa na mkulima. Vivo hivyo mkulima...
  16. BARD AI

    Shinyanga: Mkulima, Mfugaji wafariki kwa Kupigwa na Radi wakati wakisuluhishwa

    WATU wawili wakazi wa Kitongoji cha Salawe A, Kijiji cha Salawe, Kata ya Ubagwe, Halmashauri ya Ushetu, Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga, wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi nyumbani kwa mwenyekiti akiwasuluhisha mgogoro uliokuwa ukiwakabili. Tukio hilo limetokea nyumbani kwa Mwenyekiti...
  17. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Sagini - Mkono wa Dola Utawashukia Wahalifu Awe Mkulima Au Mfugaji

    NAIBU WAZIRI SAGINI - MKONO WA DOLA UTAWASHUKIA WAHALIFU AWE MKULIMA AU MFUGAJI Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Jumanne Sagini amesema kuwa Serikali kupitia Jeshi la Polisi haitakuwa na uvumilivu juu ya Mwananchi yeyote awaye Mkulima au Mfugaji ambaye analengo la kuvuruga...
  18. Bueno

    Siku huyu jamaa akigundua anasalitiwa itakuaje?

    Habari, wana jukwaa Ambao hamjaoa msije mkaogopa Kuna dada mmoja ambae ni best friend wangu na hanifichi kitu na Miongoni mwa watu wangu wa karibu na ni msaada mkubwa kwangu. Sasa huyu dada ana mumewe ambae yuko nje ya mkoa kikazi, huwa anachukua muda mwingi kazini nyumbani anakuja mara...
  19. The Father of All

    Salamu kwa chawa na mfugaji wao je wewe unawashauri nini?

    Nimeichota sehemu kwenye forum ya wakongwe fulani na jamaa mmoja katoa hii kali. Uchawa ni uchawa na ni mbaya hata kama unavaliwa na profesa au ombaomba. Hatuwezi kuendekeza uchawa kwa kuuza nchi yetu, mali zake, na watu wake. Never. It can't be us. Japo ni chaguo la mtu kuwa chawa na kuacha...
  20. Josephat Masanja Jerry

    SoC03 Chozi la mkulima na mfugaji ni laana kwa vizazi vijavyo

    Picha; The chanzo. UTANGULIZI Nchi zote duniani ikiwemo Tanzania, hofu ya ustawi wa maliasili inazidi kuongezeka kutokana na wimbi la ongezeko la watu duniani na changamoto ya mabadiliko ya tabia nchi. Inakadiliwa kuwa ifikapo mwaka 2050, Tanzania itakuwa nchi ya tatu kwa wingi wa watu Afrika...
Back
Top Bottom