Habari za muda huu,
Nimeanza kufuga kuku wa kienyeji ila changamoto ilionileta hapa ni kuwa....
Kuna jike moja wapo lilianza kutaga mpaka sasa ana mayai zaidi ya kumi ila kila akitaka kutaga haendi sehemu niliomuandalia ila anatanga tanga mpaka nimkate nimuweke sehemu hiyo.
Je, nifanyaje?
Salaam wana JF,
Naombeni connection ya mfugaji wa kuku wa mayai (layers) aliyepo DODOMA au Morogoro anayeweza kuniuzia trey 50 hadi 100 kwa wiki moja tufanye kazi. Nipatieni tu mawasiliano, nitampigia na kumfata popote alipo anipe mzigo kwa gharama zangu. Ahsante
Hello wana JF
Wale wafugaji wazoefu wa kuku wa kienyeji, mliowahi kufuga kuku hawa na wewe unaeendelea kufuga;
najua wewe ni mbunifu sana!
Hebu naomba tushirikishane namna/mbinu ya kutotolesha mayai kwa njia tofauti na incubators na kuku wenyewe!
Kizuri kula na mwenzio
Hilo wazo lako liweke...
Ndugu zanguni wazima?
Kwa kweli nimehamasishwa sana na huyu mfugaji wa kuku wa mayai 120,000. Ningependa kujifunza mambo machache kwake kama ukubwa wa shamba analomiliki, uwezo na ukubwa wa mabanda manne ambayo anatumia kufugia kuku 120,000 (kuku elfu 30 kwa kila banda).
Tafadhali mwenye...
Mfugaji mmoja huko New Zealannd amaetozwa fine ya $50,000 kwa kpsa la kutunza ng'ombe katika mazingira yaasiyofaa na kusababisha vifa. Ilionekana kuwa ng'ombe walitunzwa katika mazingira yasiyo n hewa ya kutosha, joto kali kitu kilichosababisha vifo. Ndma walioonekana kuwa na hali mbaya waliuawa...
Nianze kwa kumpongeza Bw. mdogo (Ali Kamwe) kwa kazi nzuri ya uchambuzi wa soka hasa ligi ya ndani ambayo amakekuwa akiifanya kwa usanifu wa hali ya juu kupitia kituo cha AZAM TV. Pamoja na umri wake kuwa mdogo, Bw mdogo ameonyesha sio tu ukomavu mkubwa wa akili anapochambua soka letu bali pia...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia askari wa jeshi la wananchi Tanzania, (JWTZ), wilayani Monduli kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga risasi mfugaji, Laisi Lemomo(26)Mkazi wa Kijiji Cha Lashaine wilayani Humo.
Akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake kamanda wa jeshi la polisi Mkoani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.