mfanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Chato: Mfanyabiashara maarufu Suleiman Rwaikondo amenusurika kifo baada ya kushushiwa kipigo na wananchi huko Muleba

    Inasadikiwa aliibiwa ng'ombe zake huko Muleba. Akaenda kwenye mmoja ya minada ya kuuza ng'ombe na akaziona baadhi ya ng'ombe zake. Ilikuwa siku kama chache kipindi cha sikukuu ya Iddi. Alipoziona ng'ombe zake pale mnadani akaanza kufyatua risasi juu ili kuwatawanya wananchi. Risasi...
  2. H

    KWA BIASHARA YA TIPPER TRUCKS (KUBEBA MCHANGA NA VIFUSI , KATI YA FAW NA HOWO IPI NI GARI BORA KWA MFANYABIASHARA MPYA ANAYETAKA KUANZA HIYO BIASHARA

    Habari wadau? Naomba ushauri kwa wale wenye ufahamu n uzoefu wa hii biashara ya ma-tipper kati ya Howo na Faw zote zikiwa mpya 0km ni ipi bora kuanza nayo kwa mfanyabiashara mpya na ipi pia ukitaka kuuza baada ya kuitumia kwa mwaka mmoja au miwili inakuwa na demand kubwa toka kwa wanunuzi?
  3. Roving Journalist

    LHRC yalaani tukio la Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha kutekwa na kuuawa

    Pia soma ~ Jeshi la Polisi lasema linafanya uchunguzi kifo cha Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha
  4. N

    Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

    Abdilah Musa alimaaruf kama Banjoo alitikisa Arusha kwa ubabe wake na ujuzi wa kuishika na kuitumia bereta kwa ufanisi wa hali ya juu sana. Alikuwa mwizi wa madini na magari na mbabe haswa. Soma Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani Aliwahi kwenda magereza kwa vipindi tofauti lakini kesi yake...
  5. O

    DP World imemfukuza kazi Sultan Ahmed bin Sulayem kutokana na madai ya mfanyabiashara huyo kuwa na uhusiano na Epstein

    DP World, kampuni ya kimataifa ya usafirishaji na usimamizi wa mizigo inayomilikiwa na Falme za Kiarabu (UAE), imemwondoa Sultan Ahmed bin Sulayem katika nafasi ya mwenyekiti na mtendaji mkuu kufuatia uchunguzi mkali kuhusu urafiki wake na marehemu Jeffrey Epstein. Kampuni hiyo Ijumaa ilimteua...
  6. Amicable Group

    Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, usipite bila kusoma.

    Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, kuanzia sasa usijitese. Wasiliana na kampuni yetu yenye wataalamu waliobobea na wenye uzoefu wa kutosha katika Sheria na mifumo ya kodi. Kumbuka kuwa kuanzia tarehe...
  7. Amicable Group

    Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, usipite bila kusoma.

    Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, kuanzia sasa usijitese. Wasiliana na kampuni yetu yenye wataalamu waliobobea na wenye uzoefu wa kutosha katika Sheria na mifumo ya kodi. Kumbuka kuwa kuanzia tarehe...
  8. Carlos The Jackal

    Utata waibuka alipo mfanyabiashara aliyemkosoa DC Arusha - wenzake wadai yupo polisi -wapanga kugoma

    Hata DC naye ukimkosoa, Anakutumia Watu wasojulikana, Wanakuteka, Wanakuua, unabaki Stori, Alafu DC kesho yake anatumbuliwa Tayari keshakuua Haya ni Matokeo ya kua na Rais Haramu, alojiweka hapo juu kwa Uharamu, Utekaji, mauaji na Kila aina ya baya. Sasa huyo ni DC, anamteka mtu...
  9. P

    Mfanyabiashara Mwanza agoma kutoa risiti ya EFD na kujibu anavyotaka

    Mfanyabiasha huyu baada ya kufanya malipo. Nimempa TIN ya ofisi atoe risiti alianza kufoka na kuonesha ubabe.
  10. X

    Huwa mnafanyaje wenzetu? Kuna namna mfanyabiashara anakubali punguzo mpaka unashtuka

    Kuna ile unaenda dukani kununua bidhaa fulani mfano unaambiwa bei yake ni 100k halafu wewe unasema nina 70k tu, mwenye duka bila kusita anakwambia "Sawa Lipia" Hivi huwa unahisi vipi, umepigwa au umempiga mwenye duka? Huwa inauma inakata sana unajiona leo mtoto wa mjini naelekea kupigwa nini...
  11. O

    KUMBUKIZI (2019): Magufuli alipompokonya Ardhi ya Ekari 1,000 Mohamed Kiluwa hadharani kwa udanganyifu

    Tarehe 7 Juni 2019 aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayatui Magufuli alikutana na wafanyabiashara kutoka Kila Mkoa Ikulu ya jijini Dar es Salaam. Ref: Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka kila Wilaya nchini. Ataja changamoto za...
  12. H

    Mfanyabiashara ukifunga camera na hata ukitaka ushinde hapo 24/7 mfanyakazi akiamua kuiba ataiba tu

    Kwa wafanyabiashara ambao hamjui vile mnaibiwa na wafanyakazi hata kama mmefunga camera. Iko hivi, mteja akifika dukani atachagua vitu anataka, wakati wa kufanya malipo mfanyakazi asiyekuwa mwaminifu atamwambia gharama yake halisi mfano 200K kisha atamwambia anaweza kulipia 20K na risiti...
  13. K

    Mfanyabiashara chipukizi PEDIMA aendelea kung’ara katika ubunifu na uongozi Tanzania

    Mfanyabiashara chipukizi, Peter Didas Mallya maarufu kama PEDIMA, ameendelea kuibua mvuto mkubwa katika tasnia ya biashara nchini kutokana na ukuaji wa kasi wa kampuni zake pamoja na mchango wake katika sekta za kifedha, teknolojia, afya na ajira kwa vijana. Kupitia kampuni zake Pedima...
  14. Heparin

    GE2025 Niffer na wengine 97 wafunguliwa mashtaka, yakiwemo ya UHAINI kufuatia maandamano ya Oktoba 29, 2025

    Jamhuri yawapiga kesi ya Uhaini watanzania 97l8 kufuatilia Maandamano ya Oktoba 29, 2025. Katika Orodha hii, yupo Mfanyabiashara maafuru Jennifer Jovin, Maarufu kama Niffer. Kesi hizi zimepangwa kusikilizwa kwa hatua za awali kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. ====...
  15. Waufukweni

    Faiza Ally: Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na ‘watu wasiojulikana’

    Faiza Ally amedai kuwa mfanyabiashara Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na watu wasiojulikana, Niffer ambaye kwa siku za ivi karibuni amekuwa akionekana kucheza Challenge Nywinywi katika kurasa zake za mitindao ya kijamii.
  16. Mkalukungone Mwamba

    Gari la mfanyabiashara muarabu lazui gari la kubeba taka la kiwanda cha Aone cha kampuni ya Mohammed Enterprises kupitia

    Hii nchi sasa ishakuwa ngumu kila mtu anatumia nguvu yake aliyokuwa nao. Sasa hii gari unayoiona kwenye video ni gari inadaiwa ni ya mfanyabiashara Muarabu amezua gari ya taka ya kiwanda cha AI kinachomilikiwa na kampuni ya Mohammed Enterprises lisipite na gari hilo limezuiwa mbele na nyuma...
  17. comrade_kipepe

    NIFFER: Binti Mfanyabiashara mkubwa mwenye kipaji kikubwa cha kudance

    Sio biashara tuu, Niffer pia anaujuzi mkubwa sana wa kudance midundo mbali mbali! Tazama hapa katika video akionyesha umahiri wake katika nyanja ya kudance akiserebuka mdundo wa amapiano kutoka kusini mwa Africa.
  18. M

    Hivi kuna stage ngumu kwa mfanyabiashara kuzidi kujikubali umefirisika au biashara imeshuka inabidi urudi chini kuanza upya badala ya kufosi?

    Kuna hatua katika mzunguko wa biashara ambapo hali ya mauzo hushuka kwa kiasi kikubwa, huenda kutokana na ushindani mkali sokoni, mabadiliko ya mahitaji ya wateja au hata kushuka kwa nguvu ya soko kwa ujumla. Katika baadhi ya matukio, hali hii inaweza kupelekea kufilisika kabisa, hasa pale...
  19. L

    Hizi ni Compliances unazotakiwa kuzifanya kama mfanyabiashara TZ

    Wafanya biashara wengi hawajui compliances wanatakiwa kuzifuata kila mwaka ili biashara zao zisipigwe fine. Nimekuandalia e-book inaitwa "Compliances unazotakiwa kuzifanya kama mfanyabiashara TZ kila mwaka" Ni FREE e-book. Nitumie neno e-book kupitia Whatsapp kwa namba hizi 0678131068...
  20. Half american

    Mfanyabiashara wa utalii ajinyonga Moshi

    Mfanyabiashara wa utalii ajinyonga Moshi Azizi Msuya (39), mkazi wa Sambarai, Moshi, amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake Alhamisi, Oktoba 2, 2025, akidaiwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya katani. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limethibitisha tukio hilo na kueleza kuwa uchunguzi wa...
Back
Top Bottom