mfano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC01 Kuboresha kijiji kimoja nchini kuwa na Makazi bora na mfano wa Tanzania ya siku zijazo

    Ninaamini nyumba bora huboresha afya ya mwili na akili. Mahitaji ya msingi ya binadamu ni hewa safi na kuishi sehemu isiyosababisha maradhi mfano baridi na unyevu unyevu. Nyumba bora huleta fahari kwa mwenye nyumba hata kukaribisha wageni na humjengea heshima katika jamii. Watanzania wengi...
  2. Rwanda awa mfano wa kuigwa kwa kupeleka wanajeshi 1,000 Msumbiji, huku waoga wakiendelea kusuasua

    Ni dhahiri hawa magaidi hawapaswi kuachiwa wachukue uongozi wa Msumbiji maana tumeshuhudia unyama wao, wamekua wakichinja wanavijiji kule Msumbiji na hata Tanzania tena bila huruma, wanachinja binadmu kama mbuzi, huku majirani wa Msumbiji wakiendelea kuingiza mikia katikati ya miguu kwa uwoga...
  3. B

    James Mbatia ni mfano wa kuigwa

    James Mbatia alichaguliwa na JK kuwa mbunge na baada ya kula kiapo kuwa mbunge hakubadili chama chake napale alipoona JK na serikali yake wanakosea alikosoa vikali, alikua akiongea mpaka spika za bunge zinatetemeka. Sikiliza nondo zake. Ni mwana siasa alieweka historia ya pekee japo hatuna...
  4. Viongozi wa juu wawe Mfano wa Uzalendo

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Niende kwenye mada husika hapo juu. Viongozi kama wabunge na mawaziri mpaka sijui nani huko juu. Wangeonesha mfano mzuri wa kukupenda taifa lao kwa kukubali nusu ya mshahara wao na marupurupu yao yote yakatwe yaelekezwe kuajiri walimu...
  5. D

    Mfano siku ikibainika kula bila kumenya kunaongeza umri wa kuishi hadi miaka 200, tutajiona wajinga sana

    Hivi kwa mfano; Ikabainika kwamba kula vyakula bila kumenya ndiyo chanzo cha umri mrefu duniani itakuwaje! Ujue ukitafakari sayansi ya watu wa zamani kuishi miaka mia 600 au mia 400! Unashindwa kabisa kuelewa siri imefichwa wapi hadi sahivi watu waitafte 100 kwa mbinde! Mi nazani siri hii...
  6. Rais Samia, usipoteze dhumuni la kuifanya Dodoma kuwa jiji la mfano kimpangilio

    Amani iwe nawe Mama yetu Mpendwa! Leo naomba nikuandikie ushauri wangu juu ya suala la mipango miji hasa kwenye mikoa yetu / majiji yetu, ikiongozwa na Jiji la Mfano Dodoma! Kusema kweli nilitembelea Dodoma kipindi Kunambi akiwa Mkurugenzi wa Jiji na wiki hii iliyopita nilikuwa tena Dodoma kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…