Tarehe 09.08.2022 taifa la Kenya lilifanya uchaguzi mkuu ili kupata viongozi mbalimbali wa taifa hilo.
Upigaji kura ulifanyika vizuri kwa amani kwa mujibu wa waangalizi wa Kimataifa, kwa muktadha huo naipongeza IEBC yenyewe, serikali na police wa Kenya kwa kutekeleza majukumu yao vizuri.
Jambo...
Vyuo vyetu bado viko hoi sana hata kwa miundombinu tukilinganisha na waliotuacha kama South Africa.
Bila ushabiki, kupitia mitandaoni SUA imekuwa ikisikika kama mfano wa chuo bora kwa uwezo wa wahitimu wake. Ni mfano wa wahitimu wavumilivu na wabunifu ktk taaluma zao. Hata hivyo, adui mkubwa...
Sakata la Manara tuwaachie TFF!
Walichokiamua wao sisi kama watazamaji tunatakiwa kuheshimu!
Kama kuna rufaa mwacheni mhusika mwenyewe!
Kuilaumu TFF ni ishara ya kupungukiwa hekima; Watu kama ZITTO sikutegemea kabisa waoneshe ujinga hadharani!
Kuna yule pia anajiita Prof. MKUMBO, huyu naye...
"ALEXANDER MNYETI" sio jina geni katika siasa ya Tanzania. Wengi wanakumbuka ugomvi wake mkubwa na waandishi wa habari mkoa wa Arusha wakati akiwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru ambapo chanzo kinaelezwa kuwa ni Mnyeti kumuweka ndani mwandishi wa ITV (Arusha) Halfan Liundi kwa kile kilichoelezwa kuwa...
Baada ya kuhitimu sekondari, Sitta alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na kusomea Shahada ya Sheria (LLB) mwaka 1964.
Sitta alisoma shahada hiyo kwa miaka saba kati ya mwaka 1964 na 1971, baada ya kufukuzwa chuoni hapo mwaka 1966 alipokuwa mwaka wa pili; akiwa kiongozi wa wanafunzi...
Salaam Wakuu,
Baba wa Taifa aliacha Viwanda Vingi sana kiasi kwamba Nchi ilishindwa kuviendeleza hadi Vikabinafsishwa.
Wakati wa Kampeni ya 2015. Mwenda zake alisema "TANZANIA YA MAGUFULI NI TANZANIA YA VIWANDA". Lakini hata baada ya kuongoza awamu tano, alishindwa kujenga kiwanda hata cha...
Wakuu,
Kabla huzuni na majonzi hayajatutoka kufuatia mauaji ya mwanamke mrembo na wa kisasa kuuwawa na mumewe huko Mwanza, mtajwa hapo juu bibie Joyce Kiria anazidi kupigilia 'msumali' na kuwashauri ujinga mabinti zetu na wanawake walio katika unyoofu wa maadili.
Nashauri wanaume mnaojielewa...
Nilishawahi kusema kuwa mwisho wa siku Zelensky na Ukraine yake watajakuwa maadui wakubwa sana wa Marekani na NATO kwa ujumla.
Kisa ni kwamba haiwezekani kuipatia Ukraine kila inachokitaka bila kuangalia athari yake kwa usalama wa dunia! Kwa mfano Zelensky alikuwa anataka NATO waweke NO FLY...
Huwa nawashangaa sana baadhi ya watanzania kutanuka mishipa ya shingo kwa kutaka CCM ipigwe chini na kikae chama kingine madarakani.
Ni upuuzi, ujinga na ukosefu wa akili.
Watu ni walewale, nchi ni hiihii kama ulikuwa hujui!
Acha kupoteza muda na kushabikia ulaji wa wenzako. Hao wote ni kitu...
Kila taifa lina tunu zake ambazo kimsingi ndio kimsingi ndio nguzo na uhai wa taifa husika. Logically speaking, najivunia kuwa mtanzania kwani tumebarikiwa kuwa na tunu ya amani na upendo miongoni mwetu.
Kutokana na uwepo wa propaganda nyingi watu wengi wamekuwa blinded na aggressive traits za...
Rosemary ni Binti mkubwa wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mhesh Raila Odinga
Ni mfano wa kuigwa kwa namna anavyojishughulisha kiuchumi bila kujali nafasi kubwa ya Babake anayeongoza kwa kura za maoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Kenya Agosti 2022.
Hongera Kwake
Mfano wa jengo la Chadema makao makuu linalotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
Hoja ilipitishwa na Baraza Kuu.
Jengo hili litakuwa na kumbi za mikutano, ofisi za kurugenzi, ofisi za viongozi wakuu, swimming pool, Heliport (kutua helcopter), lactation room (chumba cha kunyonyeshea) na mengine...
Canossa kwa wanaoifahamu ni mojawapo ya shule zinazofanya vizuri kitaifa, mwaka 2018 walishika nafasi no 5 kwenye mtihani wa fomu IV. Leo hii ni kati ya shule zinazoongoza kwenye matumizi ya teknolojia ya ufundishaji Tanzania. Kama umeangalia hio video utagundua wanatumia mfumo unaitwa...
MODS naomba heading isibadilishwe hata kidogo sababu hawa makanjanja nilidhani ni bahasha za khaki tu na ushabiki kumbe maskini ya Mungu wengi wao ni upeo mdogo wamekimbilia hiyo kazi sababu inazoa takataka za kila aina bila kuchuja
Eti huyu ni mmojawapo ya wachambuzi wa nchi hii anakumbaia hii...
Fadhili Mpunji
Wiki hii Rais Xi Jinping wa China aliendelea na desturi yake ya miaka 10 ya kushiriki kwenye harakati ya kupanda miti inayofanyika kila majira ya spring yanapoanza mjini Beijing. Rais Xi Jinping aliambatana na viongozi wengine waandamizi wa China katika shughuli hiyo, na...
Nimekaa tu na kujiuliza kama raia wa kawaida kwamba serikali yetu inakopa na inaendelea kukopa, na inaonekana kila inapotokea uhitaji au upungufu wa aina yoyote, ufumbuzi unaowajia viongozi wetu vichwani ni kutafuta mahali pa kwenda kukopa.
Huenda wako sahihi kwa sababu wao Wana wataalam na...
“Waraka mkuu Nambari 1” wa China kuhusu kuhimiza kwa kina maendeleo ya sehemu za vijijini ulitolewa hivi karibuni, na kuamsha shauku kubwa kutoka kwa watunga sera wa Afrika, haswa wadau wa sekta ya kilimo na vijiji. Mnamo Desemba 2020, China ilitangaza ushindi katika kupunguza umaskini, na watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.