Tahadhari: KWA WANAUME TUU
Ukipata muda nawe jaribu kuchunguza
Yaani mdada pisi kali anaitwa mahali kustarehe, akale, akanywe afurahi... Kishapo!?[emoji848][emoji23]
Vuta ile picha anapoletewa ile menu achague chakula na jinsi jamaa anavyomcheki kiaina... Anachagua cha kula kwenye menu. ...