mengi

Mengi is a common masculine Turkish given name. It means "eternal", "without a beginning", "having no beginning". It is an Oghuz accented version of Mengü which is also a Turkish given name. Compared to Mengü, Mengi has an additional meaning: "happy".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi ipp media Bw. Abdiel Mengi okoa jahazi

    For Promo only. https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=WFtATkgwuApVX0J3 Kwa Mara ya kwanza Abdiel Mengi kukutana na Civilian-Coin ilikuwa mwaka 2003 katika studio za Backyard record zilizokuwa namanga Kona(DSM) ambapo Bw. Abdiel Mengi alikuwa mmiliki wa studio na Civilian-Coin aligongewa beat na...
  2. JamiiForums Tanzania Binadamu wana tatizo moja ndio maana Yesu alikataa kuwapa nafasi japo walijifunza mengi.

    Nyerere kuna nukuu yake alisema " Yesu kuna mda hakutoa majibu ya maswali sababu Wanafunzi wake walikuwa kama marofa" Neno Rofa tumeliona mfano hapo bungeni angalia walivyokuwa wakimsifu magufuri baada ya kufa hata hawa elewi wanaanza kusifia samia. Kesho hakija mtu mwengine hata kwa mapinduzi...
  3. JamiiForums Tanzania Mbona makasiriko mengi! Mkiongeza makasiriko nawakera zaidi, MMU

    Hapa makasiriko ni mengi sana sijui Tatizo nini 1. Ni maisha magumu ? 2. ARVs 3. Mitaji kukosa 4. Kukimbiwa na mademu au Tatizo ninii? Au njaaa ? Mtu unakuwa idle Kidogo Unasema ngoja nifanye kutoa ka story fulan ni shee na wenzangu 😀 Hujamaliza hata story unasikia weka passport na muhuri...
  4. JamiiForums Tanzania Ukisafiri mamtoni unajifunza mengi

    kuna nchi za ulaya ukisafiri kama haujafanya booking ya hotel na hauna kiwango cha pesa cha kutosha wana ku deport back . Hivi kuna nchi ya Afrika wapo strictly hivoo
  5. JamiiForums Tanzania Bongo mambo mengi sana

  6. B

    JamiiForums Tanzania Maendeleo yametatua mengi, lakini hayajaondoa kiu ya moyo

    Full text: Ticha Mashamba: Sawa, Leo tuna sayansi na teknolojia kubwa sana tofauti na zama zako. Yesu: Na bado Kuna vita, njaa, hofu, Mashaka, upweke, magonjwa na matatizo chungu nzima. Ticha Mashamba: Kwa hiyo maendeleo hayajatatua Kila kitu? Yesu: Maendeleo yametatua mengi, lakini...
  7. JamiiForums Tanzania Nina maswali mengi sana yasiyo na majibu ,nisaidieni

    Habari ndugu wana jukwaa nahitaji majibu mazuri ya kisomi. 1. Waziri mkuu amesema kuna mtu analipwa milioni tano kila mwezi ili awaandikishe watanzania vijana wakaandamane na wameandaliwa watu wa kuwapiga waandamanaji ili kuchafua sura ya nchi yetu na mtu huyu amekamatwa na ametoa siri nyingi...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya kupotea miaka kadhaa sasa nimerudi, nilikua kwa kina smigo 😂😂,Nina madini mengi kutoka huko, huku Duniani Kuna mpya gani tuanze nalo

    Baada ya kupotea miaka kadhaa sasa nimelud, nilikua kwa kina smigo 😂😂,Nina madini mengi kutoka huko, huku Duniani Kuna mpya gani tuanze nalo.
  9. JamiiForums Tanzania RITA Nkasi(Namanyere) KWANINI MNA MAMBO MENGI HIVI?

    Habari za mida hii? Nina mtoto ana miaka miwili na nusu. Sasa,j'nne niliingia mtandaoni ili nifanyie mchakato wa kupata cheti chake Cha kuzaliwa. Niliambatanisha viambata viwili kama ilivyoekekezwa kwenye mtandao wao(eRITA) Niliambatanisha kitambulisho Cha kwangu Cha NIDA kama baba na kadi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Majanga ya asili yamekuwa mengi sana 2026, hadi naogopa

    Mvua zilizopitiliza, Radi kali, earthquakes za kutosha na ni kubwa sana, kama haitoshi, wataalam wanasema El nino inakuja ambayo ni kubwa sana na haijawahi tokea tangu miaka ya 18s. Nadhan kuna jambo kubwa zaidi tutalishuhudia huu mwaka, watakaopita salam, Good on them, watakao athirika...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Yericko Nyerere ni nabii? Mengi aliyotahadharisha ndo yanawakumba CHADEMA kwa sasa

    Hili jasusi la bamia ni nabii? Ninashangazwa karibu kila kitu alichotahadharisha kuhusu CHADEMA ndo kinatokea kwa wakati huu. CHADEMA wakampigie magoti ili awavushe. Jamaa ana kipawa kikubwa cha kiroho. Nitakumbushia machache aliyotahadharisha. Yeriko alikitahadharisha chama chake cha zamani...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Aliemsaliti Abood jumbe alikuwa mtanganyika!!?je aliemchapa risasi Abeid karume nae!!?State capture is impossible!!kitunguu kina magamba mengi!!

    Akili kumkichwa,Hakuna mwenyekiti aliemaliza MDA wake akajua vyote na Wala hakuna mwenyekiti aliewahi dhibiti kila kitu akaweza!! Kama Kuna watu umewakosea omba radhi!chutama!tafakari Anza upya!usishupaze shingo! Bado sisi tuna upendo tuna uwezo wa kupozwa na uwajibikaji wa watendaji wakuu...
  13. JamiiForums Tanzania Binadamu wanapitia mengi usiwe sababu ya kuwakwaza watu

    Usiwe sababu ya kuwakwaza watu / mtu , mioyo ya watu imebeba mengi. Kuna watu wanakesi nzito mahakamani , kuna watu wanamagonjwa mazito , kuna watu wamepoteza wapendwa wao . Jitahidi ufanyike faraja na baraka katika maisha ya wengine
  14. JamiiForums Tanzania Kwa kupenda kwangu Chini nimefanikiwa kwenye mambo mengi sana

    jamaa zangu mara nyingi huwa wananiambia "Chidy unapenda sana chini we jamaa" kwa kweli siwakatalii mimi napenda sana chini na huko kumenisaidia katika mambo mengi sana kwa kuwa nilipoanza kuwa napenda chini nikagundua ukipawezea huko chini kuna utajiri mwingi sana sema watu hawajui tu au...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tukubali tu, Zanzibar wametufundisha mengi

    1. Mpaka leo wangalikiwa chama kimoja kwani vuguvugu la siasa la vyama vingi ilianzia Zanzibar 2. Biashara: Rais mwinyi ndie aliefungua biashara kwani zamani kuuza sabuni na dawa ya mswaki ilikua kosa 3. Kujiuzulu uwaziri: Mheshimiwa Mwinyi ndio kiongozi pekee aliejiuzulu kwa hiari bila ya...
  16. JamiiForums Tanzania Sasa shule zimefungwa, tutegemee kuona mengi humu

    Mwenye kuishikilia roho yake mkononi na aishikilie, kwa maana tunajua vile wanafunzi hufanya humu kipindi cha holiday. Nasanzuka 😎.
  17. JamiiForums Tanzania Tusamehe Phares Magesa, ulivumilia mengi kwa miaka 21 kwenye ndoa

    Mimi ni mmoja ga watu waliokubeza baada ya talaka. Nikidhani tamaa zako zimekufanya kuachana na ndoa ya zamani na kuingia ndoa mpya na Dr. Tusamehe tulikuhukumu bila kujua upande wa pili. Kumbe ulipitia mengi. #SorryPhares# Soma Haika Lawere wa 'Mbezi Garden' apewa Talaka Video: Bi Haika...
  18. JamiiForums Tanzania Mambo ni mengi sana..tatizo muda

    Uzi umekamilika wakuu....
  19. T

    JamiiForums Tanzania Mwigulu anatumia matatizo ya wananchi kujijenga kibinafsi ingawa mbinu hii ni zilipendwa! Anatamani matatizo ya watu yawe mengi!

    Nilimsikia juzi anadai eti baada ya simba na yanga mtu anayeongoza kwa kutajwa ni yeye. Niwaombe watanzania tukatae huu uzamani na mbinu za kienyeji kutatua matatizo ya watu. Huyu mheshimiwa ni mzito wa kusoma alama za nyakati. Hii mbinu aliitumia na kuipatia sana magufuli lkn hata hivyo...
  20. JamiiForums Tanzania Ukiwa na Emotional intelligence utayashinda mambo mengi

    Ukiwa unauwezo wa kudhibiti hisia zako utakuwa mtu hatari sana na pia utaweza kuyashinda mambo mengi , hata choko choko ndogo ndogo unazipotezea mtu anaweza akakutafuta kishari anashangaa haujai kwenye mfumo unampotezea. Watu mlioajiriwa maofisini jitahidini muwe na Emotional intelligence...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…