mengi

Mengi is a common masculine Turkish given name. It means "eternal", "without a beginning", "having no beginning". It is an Oghuz accented version of Mengü which is also a Turkish given name. Compared to Mengü, Mengi has an additional meaning: "happy".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maana yake ni nini: Nimepita klm 300 Matawi ya Simba na Yanga Barabarani ni Mengi kuliko ya CCM na CHADEMA.

    Nimesafiri kuvuka mikoa mitatu na Wilaya zaidi ya 5 kanda ya ziwa. Nilikuwa nimekaa mbele nikitathmini hali ya kisiasa na kiburudani njiani. Nilichogundua mawe ya msingi ya kuonyesha uwepo wa matawi ya Simba au Yanga ni mengi kuliko Ya Vyama vya siasa. Najiuliza Watu wamehamia kwenye burudani...
  2. JamiiForums Tanzania Makala mengi kuhusu Freemason yanatofautiana sana. Naamini hakuna mwenye concrete info juu yao. Hii ni ishara jinsi gani FM walivyo na weledi mkubwa.

    Tena unaweza kuta hata hawajiiti Freemason 😂 Yani sisi tuendelee na wale freemason wetu wa "kujiunga freemason 5000" 😂 Anyway, Kujua info ya mtu ni kummudu, namaanisha kama hawa jamaa wangejulikana kwa kina kuhusu utendaji wao basi ingekuwa rahisi wao kuwa infiltrated na kuwa dis-organized...
  3. JamiiForums Tanzania Watanzania huwa hawanunui gari inayotumia mafuta mengi hata kama ina ubora wa hali ya juu

    Watanzania huwa hawanunuzi gari inayokula mafuta mengi hata kama ina ubora wa kiwango cha juu Watanzania wanapotazama gari huwa hawazingatii sana ubora au brand wanachozingatia ni ulaji wa mafuta tu Hata uuze gari yako sh laki tano kama inatumia kiasi kikubwa cha mafuta hakuna mteja...
  4. JamiiForums Tanzania Kampuni za condoms kutoa taarifa ya kudorora Kwa soko, hii inaniacha na maswali mengi

    Makampuni ya condoms yamelalamikia soko la condoms kudorora 1. Watu wanajikinga vip dhidi ya Ukimwi? 2. Watu wamepunguza kufanya ngono? 3.Dhana ya kuamini mtu anaishi vyema hata akiwa anatumia ARV? 4. Ukimwi wa Sasa umepungua nguvu? 5. Viongozi wa dini wamefanya kazi Yao vyema? Kwa uzoefu wangu...
  5. JamiiForums Tanzania Mechi ukitolea pesa lazima ushinde kwa magoli mengi mwisho ya siku mnaweza kuwa sawa na mpinzani wako kwa point!

    Haishangazi kufunga goli nyingi zote ni hesabu za mwisho wa mwaka hizo goli nyingi kwa kipindi ndio wakati wake ukipewa hela ya watu lazima ufungwe 6 mpaka 7 ili mwisho wa ligi watu wahesabu magoli!......biashara wazi wazi!
  6. JamiiForums Tanzania Maziko ya Ahmed Rajab London Nimekumbuka Mengi

    KUMBUKUMBU YANGU NIKIANGALIA MAZIKO YA AHMED RAJAB Allah ana shani yake. Naangalia hii clip ya maziko ya Ahmed Rajab na imenirejesha nyuma na kunikumbusha mengi. Namuona hapo Talal mwanae marehemu sasa kijana. Nakumbuka siku moja asubuhi nimetoka kwangu Finsbury Park hadi Oakwood nyumbani kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Chanzo cha Magonjwa Mengi.

    Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu chanzo cha magonjwa mbalimbali yanayoathiri binadamu duniani. Wakati baadhi ya magonjwa yanatokana na mabadiliko ya mazingira, bacteria, na virusi 🦠, kuna madai kwamba magonjwa mengine hutengenezwa maabara kwa malengo maalum, kama vile udhibiti wa idadi ya watu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nimeamini ukiwa mwanamke umetulia huna mambo mengi ndio unapata wanaume wasioleweka na matapeli

    Basi mimi nimeamua nibadilike tu hii Roho ya kuwa mwema kwa kila mahusiano niachane nayo Unaingia kwa mahusiano unampenda mtu kumbe yeye ana kutamani wala hana upendo na wewe Imagine unakuta kwenye simu ya mpenzi wako amekusave Annastazia Dodoma Na wewe umemsave majina mazuri Mimi huwa sina...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha shida na matatizo mengi ya sasa yamesababishwa na huruma zetu wanaume kutaka sifa kwa wanawake walioshindikana

    Zamani mwanamke aliyeachika au kutalikiana na mmewe alikuwa hatakiwi kabisa kupewa nafasi yoyote ya uongozi katika jamii. Jamii ilifanya hivyo ili kupeleka meseji kwa wengine kuepuka kuishi maisha ya kisingle maza pasipo sababu ya msingi. Wanaume ambao hawakutimiza majukumu yao ya kulisha...
  10. JamiiForums Tanzania Trump akazia, Jordan na Misri watawachukua wapalestina wa Gaza, mana US imewafanyia mengi

    Alipokua akiulizwa kuhusu kauli yake alioitoa kuhusu kuhamishwa kwa wapalestina walioko Gaza, aliendelea kisisitiza msimamo huo. Muda utatuambia kua huyu mzee hamnazo kabisa, kama lengo lake ni kushirikiana na wazayuni awatoe wapalestina gaza, amechelewa sana na haiwezekani. Haiwezekani mtu...
  11. JamiiForums Tanzania Bei ya kilo ya Prickly pears tunda ni sh 31,000/ wale wa kule kwetu haya ni mengi sana karibuni.

    Nisha wahi kuja na post kuhusu haya matunda. Haya matunda yanalimwa comercialy na watu wa mbele hawa wanayapenda sana, Ni matunda tiba, Niliwahi leta uzi wake humu, coment zikawa ni kule kwetu haya ni mengi sana. Hii ni Jana nilikutana nayo Shoppers. Prickly pears ingawa pia kuna highbrid yake...
  12. JamiiForums Tanzania Picha hii kuna mengi chini ya kapeti

    Ukiangalia vizuri kabisa katika picha hii jicho la kiroho ,utagundua kuwa kuna mengi sana yaliyojificha nyuma yake. Pengine ndio root ya kilichofanyika Dodoma.
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ina Mengi ya kujifunza kwa CHADEMA Kwenye Uchaguzi

    Wote mmeona namna huu uchaguzi ulivyo kuwa wa wazi, Tofauti na Ndio za CCm na Hapana zao
  14. B

    JamiiForums Tanzania Jahazi linapoelekea kuzama Mbowe na CCM waja na mkakati mpya. Tuona na kusikia mengi!

    Kwamba? Ila mdahalo wameukimbia? Kwani mahuku-taabu lini waliwahi kumpenda au kumtakia jema? Ukweli mchungu: "kunguru hategwi au kushawishiwa kwa maharage makavu!"
  15. JamiiForums Tanzania Maswali ni mengi Watanzania tunajiuliza kuhusu CHADEMA

    1.hiki chama hakina wazee wakutuliza hizi vurugu? 2.kuna kundi litasusa.je,hili kundi litaanzisha chama kipya au litasujudia vyama vingine ili wapokelewe? 3.Baada ya uchaguzi,kundi lililoshindwa kama hawatahama chama, kuna kuaminiana tena?...
  16. JamiiForums Tanzania Naichukia CCM, ila ukweli nausema kwa miaka 10 iliyopita. CCM wameifanyia mazuri mengi Tanzania. Magufuli na Mama samia wapewe maua yao

    Habari wadau Ukweli CCM siipendi kwa sababu nyingi. Ila nawapa maua yao kwamba wameijenga nchi sana kwenye miaka mitano ya awamu ya 5 iliyoongozwa na Magufuli na miaka mingine mitano ya awamu ya sita iliyoongozwa na Mama Samia. Leo hii Tanzania tunaongoza Africa mashariki kwa kuzalisha...
  17. JamiiForums Tanzania Ni vibaya kuwashukuru wakoloni wetu kwa mema mengi waliyotufanyia?

    Kabla ya Wakoloni hawajaanza kutawala Africa baada ya mkutano wa Berlin wa 1884/1885 Africa ilikuwa haijawahi kuwa na hospital, shule, reli, barabara, mfumo wa sheria, mahakama na umeme. Hivi vitu vilianza kuwepo Africa baada ya Wakoloni kuja. Hata hivyo historia ya ukoloni inayozungumzwa...
  18. JamiiForums Tanzania Nina maswali mengi mno juu ya 'Maelezo Tatanishi' haya kama Critical Thinker, ila naomba Kwanza nanyi muulize yenu ili atujibu mbashara

    Mwanaharakati na mhariri wa kujitegemea, Maria Sarungi, amesema baada ya kuachiwa jana usiku na watekaji, walimtaka asiongee na mtu yeyote na asizungumze chochote kuhusu tukio hilo. Maria amesema hayo leo, Jumatatu Januari 13, 2025, alipozungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi kuhusu...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Mbowe na wanasiasa wengine wana mengi ya kujifunza kutoka wa Dosa Azizi

    Nimeona mh Mbowe akitaja fadhila ambazo amemfadhili mh Tundu Lissu tangu walipokutana mwaka 1995 na kuamua kushirikiana naye katika harakati za kisiasa nchini. Wahenga wanasema, "tenda wema uende zako" na sio kusubiri fadhila. Mwl Nyerere aliwahi kupewa nyumba ya kuishi na marehemu Dosa Azizi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mnada wa Mifugo Bariadi - Simiyu, mapato mengi yanaishia mifukoni mwa Wakusanya Mapato

    Kama kuna sehemu uongozi wa Mkoa wa Simiyu, Wilaya ya Bariadi na vyombo vya kiuchunguzi wanatakiwa kutupia macho sana ni hili eneo la mnada wa mifugo Bariadi, unaopatikana kwenye eneo la Halmashauri ya Mji wa Bariadi, Mtaa unaitwa KIDINDA. Kwenye huu mnada wetu ambao kwa wiki unafanyika mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…