Mheshimiwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo, wananchi wa Wilaya ya Maswa wamepokea kwa masikitiko taarifa ya kuahirishwa kwa ziara yako. Wengi walikuwa na matumaini makubwa kuwa ujio wako ungekuwa mwanzo wa kupata ufumbuzi wa migogoro ya ardhi inayowatesa kwa...