Mengi is a common masculine Turkish given name. It means "eternal", "without a beginning", "having no beginning". It is an Oghuz accented version of Mengü which is also a Turkish given name. Compared to Mengü, Mengi has an additional meaning: "happy".
Kwanza kabisa sikubaliani na watu wanaosambaza uzushi wa aina yoyote ikiwemo kuwalisha watu maneno kwa njia yoyote ile, ila pia nadhani Gwajima alitakiwa kukanusha uzushi kwa maneno mafupi sana kuwa, Sijawahi kutoa kauli hiyo na pia si sahihi kusambaza taarifa za uzushi iwapo kulikuwa na ulazima...
Kutoa msaada kunaweza kukupa fursa kubwa maishani mwako soma hapa chini
Kutoa msaada kama vile pesa, mali , ushauri n.k kwa ndugu, jamaa na marafiki au mtu yoyote mwenye uhitaji ni sadaka pia,
Unapokuwa mtu wa kusaidia unajijengea baraka au fursa kuzipata bila kutegemea kutoka kwa Mungu...
Masaa 72 ya Ulaya na masaa 72 ya Tanzania ni tofauti kabisa. Think globally Act locally.
Masaa 72 ya kucheza baina ya mechi yamezingatia vitu mbalimbali ambavyo Tanzania havipo. Baadhi ya vitu hivyo ni pamoja na:
1. Ubora wa viwanja vyao: Wachezaji hawaumii sana mara kwa mara kwasababu za...
Naweka summary/reviews za mada nyingi nilizoandika na kushauriana na watu mbali mbali ndani na nje ya JF.. Sina ruhusa yao hivyo siwezi kumtaja yoyote
Nitakaribisha na maswali pia
1. Tiba ya kiroho yenye nguvu iliyobaki ni tiba ya chumvi ya mawe maana mpaka sasa haijanajisiwa wala...
Kuna tatizo kubwa sana huwa linafichwa kwa kujaziwa full tank
Gari inaweza kuwa na tatizo la kubugia mafuta kupitiliza kiwango cha kawaida, matatizo haya ukafichwa kwa kujaziwa mafuta mengi
ni mpaka siku za mbele kabisa utakuja gundua uliuziwa mbuzi kwenye gunia
Nimejaribu kutafakari kwa kina juu ya mienendo ya baadhi yetu ndani ya jukwaa hili nikaishia kuwaza;
Ndani ya hili jukwaa Kuna watu wamejipa ukuu ila ni hakika yangu ukikutana nao lazma utapigwa na butwaa.
Kuna watu Wana tabia fulan ndani ya hili jukwaa ila naamin tungepata nafasi ya kujuana...
Hata ukienda na fundi ni ngumu kukagua matatizo yote.
Gari inaweza kukazwa vizuri unapoenda kuinunua na ukaitesti ukajisifu umevuta chuma ila kuna matatizo hutaweza kuyaona kwa muda huo, utayajua baadae
Gari kunywa sana mafuta
Enhine kumaliza oili haraka kila miezi mitatu unabadili
Gari...
Sijapata bahat ya kutoka nchi za watu, inshallah kikubwa uzima naweza fanikiwa fika siku moja, ila mara nyingi napenda sana kuingia YouTube na kutazama miji mkuu au majiji ya nchi husika.
Mfano kama muda huu naiangalia GABORONE _🇧🇼 yaani unaona jinsi majengo yanavyovutia, unaona majengo...
Jana ilikuwa siku ya wandwanao maandalizi yalikuwa mengi huko magetoni.. Hasa usafi kwa ajili ya maandalizi
Shughuli ya usiku wa jana imewaacha wengi wakiwa hoi na uchovu mwingi na wengine muda huu wanaperuzi mitandaoni wakiwa bado vitandani
Waliopata wageni wa kulala muda huu ndio wanapata...
Mimi ni mtumishi, Nilipata ruhusa ya kwenda masomoni lakini sikwenda kwasababu ya ukiritimba uliopo halmashauri kwamba ukienda masomoni basi uwezi kupanda daraja, na Mimi napanda daraja Mwakani, nimetimiza miaka mitatu ya ajira Sasa, naona nikasome kitu kingine, passion yangu ni Mambo ya...
Kuna msiba uliotokea ila umeibua maswali mengi ya chinichini. Kwa jicho langu la kijasusi najiuliza maswali hapa ambayo bado yanakosa majibu.
Kwanza, huyo dada mkwe anaitwa nani, mbona taarifa nyingi za huo msiba hazitaji jina lake?
Pili, mbona hatujaonyeshwa picha ya marehemu wakati wa uhai...
Niwaambie Mungu hakuna kitu anapanga hapa duniani
Mungu hapangi watawala wa kisiasa Wala kidini.
Dini zote nimeletwa na wanadamu na zinawatumikia wanadamu.
Nawaambia hata vifo vyote vinatokana tu na binadamu.
Mnamsubiri Mungu endeleeni lakini nnawaambia.
Duniania Ni shetani makini na...
Mfano sasa ivi kwenye tamthlia/filamu mmeziondoa au kushindwa kuzibakisha chaneli za muvi za Kinaijeria za AMC chanel na AMC series, Wakati wenzenu DStv wanazo mpaka chanel za tamthlia/muvi za Wasauzi,Ghana na Kenya na za Lugha zao za makabila...
Hivyo kwenye muvi machaguo ni machache, mteja...
Vyanzo vya kuminika vya kimataifa vinasema kulikuwa na makundi yasiyo rasmi yalionekana yakiua raia ovyo kwenye makazi ya watu, na yalionekana yana mfungamano na serikali je makundi hayo ni akina nani ? je, kwanini serikali itumie makundi hayo yasiyo fahamika kuzuia waandamanaji kwa kuwauwa ...
UOGA ndo kitu kinachoweza kuelezewa kwanini mpaka sasa hutaki kuacha kazi, lakini hio kazi utaiacha mwishowe kwa lazima ukifika umri flan. Kama ipo siku lazima utafukuzwa kwa lazima ama kustaafu kwanini usianze maandalizi mapema! Tushachoka kuskia taarifa za watu kujiua bila kua na sababu hivo...
Watu wamejikuta wakitapeliwa kwa singizio cha unafuu.
Hapa serikali ya wapaka mikorogo na ushungu wa FFU uwezi kuona wakisema ili.
Embu tupate Futuhi ya watoa mikopo
Binafsi nimekuzwa na kulelewa na mzazi mmoja ambaye ni mama, sijawahi pata hata mapenzi ya baba nilipokuwa mwana.
Kulea mtoto binafsi bila msaada wowote ilikua ngumu sana kwa mzazi wangu lakini alijifunga shuka kiunoni na kutosalimu amri ya uvivu.
Kwakweli malezi ya mzazi mmoja pekee yana...
Nimepokea ujumbe wenu WA kunitaka niwape USHAIDI kama kweli Nini najua kabla na baada ya uchaguzi kilichagiza machafuko?
Kwanza niwambie siji.
Pili niwambie nawajua nyinyi ni watii wake huyu RAIS.
TATU nawasaidia nendeni kwa chacha awaeleeze alivyokamatwa ndo mtajua yakuwa tarehe 29 nchi YETU...
Wakati Wakristo wanaitwa kuheshimu mamlaka kwa sababu mamlaka zinatoka kwa Mungu, tamko hilo halihusu kwa watawala wote, bali watawala wale wasiotenda kinyume na mapenzi ya Mungu. Yaani watawala wale ambao ma.laka yao yametoka kwa Mungu. Lakini ufahamu kuwa shetani naye anajitahidi wakati wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.