Habari.
Nitaanza kwa kusema kwamba Mm sio mgeni humu JF, ni member wa muda mrefu kidogo nina kama miaka 6, sema nimepoteza account yangu, maybe imefutwa kwa sababu kuna kipindi nilikuwa less active, nimejaribu ku-log in imekataa.
Kilichonifanya nianzishe hii thread ni kukereka, sijajua labda...