A member of parliament (MP) is the representative of the people who live in their constituency. In many countries with bicameral parliaments, this category includes specifically members of the lower house, as upper houses often have a different title. Member of Congress or Deputy is an equivalent term in other jurisdictions. Another term is Parliamentarian.
Members of parliament seem to tend to form parliamentary groups (also called parliamentary parties) with members of the same political party.
Nataka nijue nani anamakombora mazito humu ili nichukue tahadhari nyingi kabla sijamquote.
namfahamu mmoja tu ambaye ni GENTAMYCINE
Natanguliza shukrani.
Wakuu habari za wakati huu
Kuna member fulani tulifahamiana kupitia JF, Bahati mbaya Mimi ndo niliweka namba yangu kwenye moja ya thread ya member wa humu JF aliyowahi kupost...
Wasifu wake yeye ni daktari (kulingana na ukaribu na maelezo tuliyowahi kushare kipindi tunawasiliana) tulishauriana...
Kwani hii kada imelaaniwa?
Yan waliopo kwenye ajira wanaafadhali ya akil kidogo kuliko hawa jobless, wengi ni wapumbavu grade A.
Hawa watu kujifunza mambo mapya kwao ni kama kula nguruwe kwa ndugu zetu kobaz, hawa watu hawana walijualo lolote kuhusu mustakabali wao hasa kwenye kusaka ajira...
Februari 14 sio mbali sana, kama ungepata nafasi ya kumchagua mtu wa kuwa naye hiyo siku ya valentine ila kwa sharti awe member wa Jamii Forums, je?
Ungemchagua nani na ungependa kwenda naye wapi kurelax.
The National Resistance Movement(NRM) has demonstrated strong support among Uganda’s youth in the recent regional youth member of parliament elections for the term 2026-2031.
NRM flag bearers all emerged as victors across all four regions of Uganda Eastern, Central, Western and Northern region...
Wa kuitwa Tumia akili kapotelea wapi!? au alitandikwa ya kwenye masaburi wakati wa maandamano? Mbona utabiri wake umeenda alijojo? naambiwa jamaa uko alipo haamini kabisa kilichotokea, tofauti na mikwala yake, wajanja wamepindua meza!
mambo ya elimu ya faraqi
Asilimia kubwa ya hawa watu kwanza ni watu wazima inaweza umri wao ni kuanzia miaka arobaini au kuanzia miaka hamsini kuendelea,
Tangu yatokee mauaji ya maelfu ya watanzania kuanzia Octoba 29 na kuendelea nimeona ID za platinum member nyingi zikitoa michango hapa JF kuliko wakati wowote ule...
Kuna huyu member mwenzetu Erythrocyte toka JF imefunguliwa sijamuona kabisa akikoment popote na si kawaida yake.
Si vibaya kulizana maana shetani ameshika hatam
Kwakweli wakuu niseme ukweli tu Jukwaa la Jamiiforum umenisaidia sana ni zaidi ya GT CHAT nimepata mawazo huku misaada huku kupitia nyie ndugu zangu lakini kuingilies kwake inatupa wakati mngumu sana hasa ata ukiwa unaomb shida na changamoto inakuwa tatizo.
Nyie ni ndugu na marafiki pamoja na...
hamis77 ni baadhi ya great thinkers wachache waliobaki JF
Endelea kushusha nondo ndugu
Kama vile hapo chini naona comments za "unajipongeza mwenyewe"😂😂😂
Habari wakuu,
Naomba kuuliza kwa sheria za kampuni hapa tanzania kuna uwezekano wa kusajili kampuni ambayo ni single member company, kwa maana ya kuwa Director ndo huyo huyo share holder?
Kuna tafiti zinaonyesha kuwa kulingana na mabadiliko ya sheria hili swala linawezekana, ila nimeona...
Ni kijana aliyejitambulisha kama Tajiri asiye na baya lakini ghafla akapotea katika mazingira ya kutatanisha.
Mimi nikiwa kama Kijana Masikini nilipenda sana kuchukua nondo kutoka kwake, Tajiri Sina Baya.
Popote alipo Kipenzi chake Marry Diana anamsalimia.
Wakuu naomba mwongozo.
Kwa mfano upo zako uko kitaa unamuona jamaa amechill sehemu anaperuziperuzi kurasa za jeieFu huku anachekacheka.
Unatakiwa ufanyaje yani kwa fellow member kama huyu?
Je ni busara kula buyu tu kama vile huijui hata iyo jeiefu yenyewe na ukaendelea na yako?
Je sio...
Jamani wanajamvi kuna jamaa alinialika kwenye group niseme la maombi amenialika siku nyingi niende leo nikaamua kwenda katika mambo aliyonihubiiria ni kama yafuatayo:
1.Ulazimishwaji wa kuwa wakristo wakipagani.
Jamaa amenieleza kwamba kulingana na ufunuo kwamba Marekani wakiungana na kanisa...
Anaitwa Tajiri sina baya.
Mbali na wengi kuniita Malaya na kunitafsiri vibaya,sikuchukulia serious sana,niliona ni kawaida tu kwani hata mtaani watu huniambia nimekaa kimalaya yaani , wanaume wengi hujaribu bahati zao.mpaka pale mtu anapokata tamaa.
Ila nahitaji kuonana na tajiri huyu,
Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.