media

  1. AZAM MEDIA mnaweka camera mita 500 kutoka uwanjani mnatuonyesha video replay wachezaji wanaonekana wadogo kama sisimizi, hivi hamuoni makosa yenu?

    Habari wakuu, Wale wapenzi wa mpira kuna wakati unatizama mechi za NBCPL unashangaa wachezaji wanashangilia goli, unajiuliza wamefunga saa ngapi na wwmefungaje fungaje! Unasubiri replay, napo unaona video nzuri lakini wachezaji wanaonekana kama sisimizi huwatambui vizuri licha ya kuwa...
  2. Business Performance and Analytics Manager at Azam Media

    WE ARE HIRING! Position: Business Performance and Analytics Manager Education: BSc in Actuarial Sciences, BSc in Mathematics, or a related field. Key Areas: Design Customer Value Management (CVM) and Customer Experience strategies. Increase revenue and customer satisfaction. Develop...
  3. Hivi Uongozi Wa Taji Media, Hua Unasikiliza Kipindi Chao Cha Michezo Cha Asubuhi...???

    Wakuu Habarini... Wakati Hii Redio Inakuja, Ilianza Kwa Kishindo Sana Na Wengi Tukafurahi Kwamba Sasa Tunapata Uwanda Mpana Wa Kupata Habari Toka Vyanzo Na Redio Mbalimbali. Ila Kuna Mbinu Ambayo Waliitumia Kwa Kushawishi Na Kuiba Wafanyakazi Wenye Uzoefu Toka Redio Zingine. Ni swala zuri...
  4. Ni nani ameikalia CHADEMA MEDIA TV mbona inamuhujumu TUNDU LISSU ?

    Toka Jana Mwenyekiti yuko kwenye Harakati zake za kichama. Online TVs zimepigwa Pini, hiii CHADEMA MEDIA mbona Iko nyuma sana ?. Tundu LISSU Kwa Sasa anahitaji kutazamwa LIVE Masaa yote. LISSU TIMUA HAO JAMAA WA CHADEMA MEDIA ,SAJILI VIJANA WAPYA.
  5. B

    Digital marketing and social media manager nipo hapa

    Mambo vp wadau Leo nmekuja km digital market. Ni sekta muhimu sana wa wafanya biashara na watoa huduma. Km unakampuni au biashara yoyote ile lazma utahitaji kuwafikia wateja wengi. Na njia rahisi ya kufikia watu ni kwa njia ya mtandao( website au social media) Basi ukisha hitaji soko la...
  6. Procurement Associate at Crown Media February 2025

    Summary: Crown Media is a leading media company committed to delivering high-quality content and innovative solutions to its audience. As a growing organization, we strive to create an environment that fosters creativity, teamwork, and professional growth. We are excited to announce an...
  7. Media za Tanzania zijifunze kutoka Kenya

    Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa maudhui kutoka media mbalimbali utakubaliana nami kuwa media nyingi za Tanzania zimekuwa za kikasuku na burudani kuliko kazi nyingine za media nawashauri medias, wadau wa media na watangazaji kujifunza kutoka kwa ndugu zetu kenya, kuazia mpangilio wa vipindi...
  8. Kwanini media nyingi duniani zinaeneza uongo dhidi ya M23?

    Kimekuwa na media nyingi zinazowasema vibaya M23 huko congo ila kwa background hali ni tofauti, raia wa Goma na wengine wanafurahia mapinduzi ya M23. Hapa ndio naanza kuelewa kuwa haya mapigano yanafadhiriwa pakubwa na nchi za Ulaya na kupotosha kuwa hao jamaa ni waasi ikiwa serikali kuu ndio...
  9. Azam TV Max Kuna utapeli mwingi watu wanasajili kupitia decoder za watu wengine Free of Charge kuangalia vipindi bure azam Media wanahusika.?

    Habari ndio hiyo. Mjumbe hauwawi azam Media. Kuna malalamiko watu wanasajili azam max kupitia namba za visimbuzi ambavyo si vya kwao. Je taarifa hizi wanazipata wapi kama si kwa Wafanyakazi wenu? Naomba hili suala lichukuliwe siriazi huu ni wizi kama wizi mwingine wa kimtandao. Serikali naomba...
  10. Anahitajika social media and content manager wa kike

    =========UPDATE======== NAFASI ZIMEKWISHA JAA, NA HILI TANGAZO LIMEFUNGWA, ASANTE. ================ Hello bosses and roses... Anahitajika binti wa kufanya majukumu yafuatayo kwenye kampuni inayojihusisha na utengenezaji wa software. Ataanza majukumu hayo remotely (kufanyia kazi popote alipo)...
  11. Crown Media zingatieni umakini wa maudhui, sio kukurupuka kuwa wa kwanza

  12. Je, unahitaji content kwa ajili ya blog, website, au social media posts? Tuko hapa kukusaidia!

    Unahitaji content(maudhui) inayovutia, yenye uhalisia, na inayobadilisha wasomaji kuwa wateja? Iwe kwa ajili ya blog/ website yako, product descriptions, email marketing, business documents, video scripts, au social media posts! Tuna uzoefu wa kuandika makala, blog posts, SEO content, na hata...
  13. DOKEZO DAR: Wachina wanakiuka Sheria ya Matangazo ya Biashara (Mass and Mid Media Banners) na hakuna anayewachukulia hatua?

    Hatuwazuii kuwa na biashara hapa Tanzania ila lugha kwenye mabango yao kwa nini wanaweka kichina wakati lugha za taifa ambazo zinaruhusiwa kwenye mass media, mid media na banners ni mbili tu. Sheria ipo ila inakanyagwa na hakuna anayesema kitu.
  14. Clouds Media waliwaza nini kuwapeleka Sam Sasali, PJ & Kijah kumhoji Lissu?

    Kwa akili kubwa kama za Lissu unapelekaje aina hii ya waendesha vipindi vya burudani (sio Waandishi wa Habari) kumhoji? Mtu kahojiwa BBC Hard Talk tena kwa lugha ya Kiingereza utamuweza wewe Kanjanja?? https://www.youtube.com/watch?v=h9cHr7NLIBA
  15. Watangazaji wa Clouds Media, Wampiga Stop Tundu Lissu kutaja jina la Abdul kwamba alimpelekea Rushwa. Idrissa Rubibi na Daniel Naftari wadakwa na Pesa

    Maelezo ya Tundu Lissu *Mimi wanasema sina pesa. Na kama sina pesa sina pesa za kugawa. *Mimi sitoi Rushwa na Sipokei Rushwa. Nililetewa hapa kwenye Sebule hii na Abdul Mtangazaji: Mheshimiwa tunaomba tusitaje Majina. Tundu Lissu: Kwanini nisitaje kama vinaweza vikathibitika? Mtangazaji...
  16. Jinsi ya Kupata Pesa Online kwa Kutumia Social Media kama Instagram, X, na Facebook

    Katika dunia ya sasa, social media imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku, na kwa wale wanaojua kuitumia vizuri, ni chanzo kizuri cha kipato. Hapa nitakuelezea njia rahisi na za uhakika za kupata pesa online kupitia majukwaa kama Instagram, X (zamani Twitter), na Facebook. 1. Kuanzisha...
  17. Tech & media convergency (TMC) yashirikiana na Ubalozi wa Marekani dar, katika kutekeleza mradi wa kuimarisha ushirikiano katika ajenda ya kidijitali

    Dar es Salaam, 16 Januari, 2025 - Tech & Media Convergency (TMC) Inapenda kuwatangazia ushirikiano wake na Idara ya Serikali ya Marekani (Ubalozi wa Marekani, Dar es Salaam) katika kuzindua Mradi wa kimapinduzi ya Tanzania Digital Collaboration." Programu hii ya kibunifu unalenga kuimarisha...
  18. M

    Team Lissu inanadiwa na social media

    Kwa wenzetu nchi za Uarabuni hii imetumika sana na imeleta mabadiko makubwa ktk kisiasa, sababu kubwa mwamko wa elimu kwa vijana upo juu Tanzania bado kabisa, wengi wanaona kama sehemu ya burudani, matusi, propaganda na sio sehemu sahihi za mabadiliko. Hili team Lissu mumedanganyika. Lema, Heche...
  19. Legacy Media ya Tanzania imekipuuza kitabu cha Kabendera?

    Wiki jana kitabu cha mwandishi Erick Kabendera kinachomhusu Rais Magufuli ndo kilikuwa habari ya mujini, at least humu kwenye viuchochoro vya kwenye mtandao. Kitabu chake hicho kina madai makubwa sana ambayo hayakuambatana na ushahidi/ ithibati madhubuti. Ni madai ambayo mtu unategemea...
  20. J

    Hivi Yeriko Nyerere kwenye Mijadala ya Kwenye Media anamwakilisha Mbowe kama mgombea au anawakilisha Chadema kama chama?

    Nimemuona mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Yeriko Nyerere akifanya mahojiano Star tv na Clouds media zote zikiwa ni media za CCM Ningependa tu kujua Mh Yeriko Nyerere huwa anatumiwa na Chama Kwa nafasi yake ya mjumbe wa CC au huwa anamwakilisha Mh Freeman Mbowe kama mgombea wa nafasi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…