John Mrema kahama na accounts za social media za CHADEMA na kuzibadili jina kuwa CHAUMA,siku akiondoka CHAUMA atazibadili tena majina,kuweni makini na huyu tapeli.
Nimekuwa nikifuatilia vyombo vya habari hapa Tanzania nimegundua ndo mipango mikakati wa kuwapumbaza Watanzania na kuwa Fanya masikio na akili zao yasikie mambo madogo ya kipuuzi
Media za Tanzania
Haiwezekani media zinatumia saa nzaidi ya 8 kuchambua Simba na Yanga kila siku, hivi mpira wenyewe...
https://youtu.be/tHAAFLufHDw?si=l5sS0QYnVPjadanB
Sikiza hiyo:
Kuna mpambano mkali sana kati ya Wakenya na Watanzania kwenye mitandao baada ya sekeseke la Wanasheria na Wanaharakati wa Kenya kukamatwa, kuteswa na kufurushwa kwenda makwao.
Wabunge wa Tanzania kina msukuma darasa la 7 anadai...
For us intelligentsia community we are very happy to see how a disgrased people of certain nation swallowed a bait.
Her excellency President of URT Dr Samia Suluhu Hassan has in a carefully calculated manner has proveked a wake up call to.. not one but all of East African Nations on how...
Inasemekana wameandaa barua kuidai fidia bodi ya ligi kwa hasara waliyopata tarehe 8 na endapo bodi itashindwa kulipa fidia ndani ya siku 7 basi mechi namba 184 kati ya Yanga na Simba haitarushwa.
Sijui ni mimi tu ila hili jambo limekuwa linanikwaza sana. Unakuta unaangalia moja ya channel za Azam wanasema ikifika muda fulani kuna kipindi fulani kinakuja.
Muda huo unafika na kupita ila kipindi hiko hakionyeshwi. Nini kinawakwamisha kufuata ratiba zenu?
Nimekaa hapa lisaa zima...
Hizi ni mbinu za kuficha ID yako:
1. Tumia VPN (Virtual Private Network) kila mara
Inaficha IP address yako halisi.
Inaifanya shughuli zako zisifuatiliwe kirahisi.
VPN nzuri: NordVPN, ProtonVPN, ExpressVPN.
2. Tumia Browser ya TOR
Huficha utambulisho wako kwa kuzungusha mawasiliano yako...
Sasa Hivi SAJENTI anaomba kukutanishwa Na PATENI, Hata kama walikuwa na kutoelewana ila kwa namna moja ama nyingine Media zinachochea ugomvi wa hawa madogo.
Hawana experience ya kuhojiwa kila watakachoulizwa hata kma ni chonganishi wanajibu bila kufikiria swali lina maanisha nini.
Ndugu zangu katika Kristo YESU.
Zama zimebadilika, Kwa Sasa ni zama za Kuwawajibisha wote wanaojaribu kupandikizia watu Maneno.
Ninawaomba TEC kama mtasoma Uzi Huu, kabla ya WASAFI HAWAJAFUTA HABARI HII.
Muwachukulie Hatua Mara Moja, WASAFI KWA MAKUSUDI NA KWA KUJUA , Wametumia Maneno ya...
Tukiendelea na masokwe watawala kupoteza watu na kubaki kujifanya kama hawa fahamu ila sasa kinacho washinda kuwa Lissu ni GPS ambayo wakigusa kila jambo tutajua.
Naona mmepania kweli, kila dakika 10 salamu za Pasaka :). Heko kwa kusikia malalamiko/ushauri wa watazamaji. Sasa bado tu suala la Tamthilia zisizofaa kwa nchi yetu isiyo na dini, natumaini season zake zikiisha mtaachana nazo. Asanteni tumeona burudani kwa wote.
Ukraine akirusha drone na kuleta madhara hawatangazi ila Russia akijibu mapigo wanatangaza juzi Kuna kitu kizito pale sumy Ukraine kimerushwa hahaha huko kelele TU sasa hivi
Wapenda haki popote mlipo tunapaswa kuperurusha #tag yetu ya free TAL kwa page za mitandao ya kijamii ya media kubwa duniani kama CNN, Aljazeera, BBC sio BBC swahili, Newyork times hii campaign isiwe na mwisho mpaka dunia nzima ijue yanayoendelea Tanganyika huku tukiwa na Quotation yetu pendwa...
Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa.
Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria yenye Title "ITS COMPLICATED" ya RAY EMODI, CHINONSO ARUBAYI na PATIENCE UJAH (2022); nilikuwa...
Kwa heshima kubwa, ningependa kuelezea malalamiko yangu kuhusu jinsi baadhi ya vyombo vya habari vinavyotoa taarifa zinazopotosha hadhi ya wauguzi, huku mabaraza ya uuguzi na ukunga yakiwa kimya bila kuchukua hatua za kutetea kada hii muhimu ya afya.
Mfano halisi ni taarifa iliyochapishwa na...
Elon Musk said on Friday that his startup xAI has merged with X, his social network, in an all-stock transaction that values the artificial intelligence company at $80 billion and the social media company at $33 billion.
More...
Hizo Media nyingine unazosema zimechafuka ndio hizo hizo huzitumia kuhamasisha football ya Nchi hii,na ndizo zilizokutambulisha ww kwa jamii.
Unachofanya ni Ubaguzi wa Wazi Wazi kama kiongozi Mkuu wa football nchini na kwa hili ushapoteza 'UHALALI'wa kuendelea kuongoza TFF.
Sioni tena kama...
Mnavyoona wateja wamewakimbia wanaenda kwa wachina wala hakuna ndumba bali ni bei zao zinavutia, Ili mpambane na wachina punguzeni tamaa ya ganji (faida) kubwa.
Kila leo wachina wanazungumziwa kwenye vyombo vya habari, TUMESHAWASTUKIA !! acheni kuwalipa watangazaji kuwasagia kunguni wachina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.