Bwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Watanzania wamejua familia yake,mke wake na watoto wake wa kike,
Hadi kwao kabisa...