mechi

Mechi (Nepali: मेची अञ्चल Listen was one of the fourteen zones of Nepal until the restructuring of zones to provinces, comprising four districts; namely Ilam, Jhapa, Panchthar and Taplejung. Its headquarters are at Ilam. It comes under the Eastern Development Region of Nepal. The Indian state of Bihar is to the south, West Bengal and Sikkim in the east and Tibet to the north. The largest town is Damak in the Terai. The majority of the population in Mechi are Limbu, Chettri, Bharmin, or Meche.
Mechi is divided into four districts:

Among the four districts, Jhapa is in the Terai and it is more developed than the other three districts. Ilam and Panchthar are in the hilly region. Ilam is also in a developing stage, with many tourists visiting annually. Kanyam is popular for its tea garden. At Antu the rising sun can be viewed. Taplejung is the least developed of the four districts. Taplejung is in the mountainous zone.There are two airports within Mechi: one in Bhadrapur and one in Taplejung.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Akacha mechi kwasababu hataki kuunga mkono vitendo vya kishoga

    Kiungo wa Kimataifa wa Senegal anayecheza PSG ya Ufaransa Idrissa Gana Gueye (32) imebainika kuwa alikosa game ya PSG dhidi ya Montpellier Jumamosi iliyopita sababu hakutaka kuvaa jezi zenye namba zenye rangi za upinde (rainbow flag). Idrissa inaeleza kuwa hakutaka kucheza mechi hiyo sababu...
  2. N

    JamiiForums Tanzania VIDEO: YANGA WALIENDA STAREHE LIVE BAND HUKO KIGOMA KABLA YA MECHI VS RUVU

    Kazi na dawa, mabingwa watarajiwa wa kombe la klabu bingwa afrika mwaka huu ambalo litawapa tiketi ya kwenda kuwakilisha bara hili la giza kwenye FIFA club world cup , Yanga sc walikula bata la kutosha na bendi ya malaika music band huko kigoma kabla ya mechi yao na Ruvu shooting iliyoisha kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mheshimiwa mbunge acha mara moja "kuuza" mechi ya Dodoma Jiji Vs Yanga

    Mheshimiwa Mbunge tunajua wewe ni mfia Yanga. Iache Yanga ipambane yenyewe badala ya wewe na uongozi wa Yanga kulazimisha mechi ichezwe nje ya uwanja. Unahangaika sana kutafuta connection ili Dodoma Jiji isiwafanye vibaya Utopolo wenzio. Tunajua hatuwezi kukufanya chochote ila huo sio...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa TFF kuipa TBC haki miliki ya kutangaza live mechi zote za NBC premier league ni wa kishenzi

    Kwanza mkataba huu ni wa kifisadi na unazinyima haki ya kibiashara radio za jamii. TBC ni redio ya umma na ina vyanzo vingi vya mapato ikiwa na pamoja na kodi zetu hivyo kuipa hati miliki hiyo siyo haki kabisa kwa radio binafsi ambazo pia zingependa kuwapa uzoefu watangazaji wake na kuongeza...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mechi za Usiku Uwanja wa Mkapa mwanga ni mdogo

    Uwanja wa Benjamin Mkapa ndio uwanja Mkuu wa mashindano mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa ya Mchezo wa Soka kwa timu za Vilabu na Timu Ya Taifa Hapa Tanzania. Kutokana na sababu mbalimbali, baadhi ya me hi zimekuwa zikichezwa nyakati za usiku. Hata hivyo ukiangalia hali ilivyo ya mwanga...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mechi ya leo waliyoikaba Yanga ni Refa na Fei Toto

    Refa kaikaba Yanga kwa kukataa lile bao halali la Ruvu shooting kwani kona au winga akikimbia na kumaliza uwanja na kutoa cross kwa vyovyote vile bao lile ni halali, vile vile ni kwenye kona, ikipigwa kona haiwezi kuwa offside mbona mpigaji yoko kwenye kibendela ? Refa iliikaba Yanga kwa sababu...
  7. JamiiForums Tanzania Man United Yamaliza Mechi Za Old Trafford Kwa Ushindi Wa Mabao 3-0

    Licha ya kuwa na msimu mbaya, Manchester United imekamilisha mchezo wake wa mwisho kwenye Uwanja wa Old Trafford msimu huu wa 2021/22 kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Brentford. Katika mchezo huo wa Premier League mabao yamefungwa na Bruno Fernandes ambaye amefunga bao lake la 50 tangu atue...
  8. JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba SC na Yanga SC ushirikina ndio ulitawala

    Najua mlioangalia game kwa TV kuna matukio hamkuoneshwa acha niwaibie kidogo; Inonga na Ntiba, ndio walikua waamuzi wa game (wazee wa hesabu na namba). Kwanza wote hawakupiga picha za pamoja (picha ya kikosi) sababu kila mtu alikua anamtegea mwenzie nani awe wa mwisho kuingia Pili Inonga...
  9. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu mechi ya Simba na Yanga 29.04.2022

    Hello soka lovers JF Defence: Mafulbeki kwenye crosses &covering speed, na macho kwenye pasi mpenyezo kwa mabeki wa kati, na aerial duels kwenye through balls Midfield: Macho, kukaa kwenye nafasi, kuona hatari, physicality, upotezaji mpira na uhamishaji mpira na uchezeshaji wao, macho mepesi...
  10. JamiiForums Tanzania Hali Ya Usalama Kuelekea Mechi Ya Klabu Ya Simba Vs Yanga

    Jumamosi ya tarehe 30 Aprili 2022 kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa kutakuwa na mpambano wa soka wa watani wa jadi baina ya klabu ya Simba na Yanga za Dar es salaam utakaochezwa saa 11 :00 jioni. Katika kuelekea mchezo huo, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam litahakikisha usalama...
  11. JamiiForums Tanzania Mwamuzi Ramadhani Kayoko kuwa 'Pilato' mechi ya Yanga vs Simba

    SIKU chache baada ya Mwanaspoti kufichua juu ya waamuzi waliokuwa wakipewa nafasi kubwa ya kuchezesha mchezo wa Kariakoo Derby utakaofanyika April 30, 2022 katika dimba la Benjamin Mkapa saa 11 jioni, huku kikao kizito kikifanyika, ukweli umebainika kwamba mwamuzi Ramadhan Kayoko amepewa kazi...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini mpaka leo mwamuzi wa mechi ya Yanga Vs Simba hajatangazwa?

    Yaani bado masaa 48 lakini mpaka sasa mwamuzi bado hajatangazwa! TFF amkeni acheni kuongoza soka kizamani. Tunaomba alhamisi mumtaje mwamuzi ili tumjue
  13. Y

    JamiiForums Tanzania MECHI ya kufa mtu MANCHESTER CITY vs REAL MADRID nani anaenda fainali

    Ligi ya mabingwa ulaya inaendelea usiku hatimaye imefikia hatua nusu fainali , usiku huu kuna mtanange wa kufa mtu ukikutanisha miamba kati ya real manchester city vs real madrid ni mechi kali yenye mvuto wa kipekee itakuwa mechi ya kimbinu zaidi . Mtazamo wangu...
  14. JamiiForums Tanzania Kama unapenda timu usiyoipenda isishinde mechi fanya hivi...

    Kwanza kabsa kila mtu ajue KIFO ni KIFO tu haijalishi umekufaje.Mimi sinywi pombe,siyo malaya,kiufupi raha zangu zote nazipata kwa kucheza na kutazama Soka. Huwa napata raha ya ajabu sana timu kama SIMBA SC pamoja na MAN U either zikifungwa ama zikipatwa na kitu chochote kibaya.Nafarijika zaidi...
  15. JamiiForums Tanzania Mwamuzi wa mechi ya Yanga na Geita Gold apelekwa kwenye kamati ya waamuzi ya TTF kwa ajili ya kuchukuliwa hatua

    Hizi kanuni zibadilishwe maana hazitendi haki. Mwamuzi anachukuliwa hatua lakini matokeo yanabaki yaleyale. Kuleta haki ni bora kanuni zibatilishe matokeo kutenda haki kwa upande ulioumizwa
  16. M

    JamiiForums Tanzania Simba ni moja ya timu mbili tu kati ya timu NANE (8), zilizofanikiwa kushinda mechi ya kwanza ya robofainal confederation cup.

    Wale wanaobeza ushindi wa goli moja wa Simba dhidi ya Orlando Pirates ya Afrika ya kusini, ni vizuri wakafahamu kuwa: 2. Kati ya timu NANE zilizoingia robo fainali ni timu MBILI tu zilizoibuka na ushindi kwenye mechi ya kwanza ya robo fainali, timu hizo ni SIMBA na Al Masry. Al Masry iliifunga...
  17. JamiiForums Tanzania Natabiri yatakayotokea kwenye mechi ya leo Kati ya simba na orlando pirates

    Mohammed hussein atang'ara sana Pia atahusika kwenye bao lao kwanza la Simba. Lwanga atapewa kadi mbili za njano Kapombe au sakho mmoja atapata injury Kennedy juma atachomesha goli 1 Mugalu atakosa magoli mengi ya wazi huku mechi ikiisha Simba 1 : 1 Orlando pirates
  18. JamiiForums Tanzania Kuelekea mechi ya kesho dhidi ya Simba Orlando pirates wamepata advantage kubwa ya match fitness kutoka kwa Mamelodi Sundowns.

    Save water drink beer. 🥃🥃 Pasaka njema mimi nimeshaanza kuzitwanga.
  19. I

    JamiiForums Tanzania Siombei lakini natarajia vimbwanga siku ya mechi ya Simba Jumapili

    Naam nawaza utaratibu gani utatumika kuhakikisha kila aliyeingia uwanjani kwa ajili ya mashindano ya quran aweze kutoka kupisha waliolipia viingilio vya mechi baada ya mashindano hayo kuisha. Kumbuka mashindano hayo ya quran kiingilio ni buure kabisa. Lakini bado nawaza, kweli nchi nzima yenye...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mechi ya Yanga SC na Namungo FC imelazimishwa ili Kocha Nabi atumikie Red Card yake na Mechi ya Derby awepo Benchini?

    TFF tambueni kuwa wakati nyie mkijifanya kuwa mna Akili tambueni kuwa kuna Watanzania wenye Akili kuwazidi halafu ni Wajanja kuliko nyie. Kwahiyo Matajiri wa Yanga SC wamewashawishi kwa kila namna huku wakiwapa chochote kitu ili muwapangie Mechi kabla ya kukutana na Simba SC ili Kocha wao Mkuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…