mechi

Mechi (Nepali: मेची अञ्चल Listen was one of the fourteen zones of Nepal until the restructuring of zones to provinces, comprising four districts; namely Ilam, Jhapa, Panchthar and Taplejung. Its headquarters are at Ilam. It comes under the Eastern Development Region of Nepal. The Indian state of Bihar is to the south, West Bengal and Sikkim in the east and Tibet to the north. The largest town is Damak in the Terai. The majority of the population in Mechi are Limbu, Chettri, Bharmin, or Meche.
Mechi is divided into four districts:

Among the four districts, Jhapa is in the Terai and it is more developed than the other three districts. Ilam and Panchthar are in the hilly region. Ilam is also in a developing stage, with many tourists visiting annually. Kanyam is popular for its tea garden. At Antu the rising sun can be viewed. Taplejung is the least developed of the four districts. Taplejung is in the mountainous zone.There are two airports within Mechi: one in Bhadrapur and one in Taplejung.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kilichoiponza Simba mechi dhidi ya Yanga kuwania Ngao ya Hisani

    Mechi imekwisha, Simba imekufa 1-2 dhidi ya Yanga, Kiukweli inàuma mechi tano mfululizo za derby Simba hajashinda hata moja, huku akipokea vipigo vitatu na droo mbili(tena zilizokua na faida kwa Yanga) Turudi kwenye mada. Simba ilikosa Wachezaji wa kuamua mechi. Kiukweli mechi ya jana ndio...
  2. T

    Bodi ya Ligi yaondoa ukomo wa kutumia wachezaji 8 wa kigeni, sasa ruksa wote kutumika

    Bodi ya ligi Leo tarehe 12/8/2022 imefanya marekebisho ya kanuni ambayo ilikuwa inazitaka club za ligi kuu kutumia wachezaji nane wa kigeni kwenye mechi moja, Ivyo kuanzia Sasa wachezaji 11 wa kigeni wataruhusiwa kuanza kwenye mechi moja. Wachezaji wazawa wapambane la sivyo wataishia kusugua...
  3. Stephen Ngalya Chelu

    Utabiri wangu mechi ya ngao ya jamii kati ya Yanga na Simba

    Yanga 🐸 2 - Simba 🐏 1 🐸 dakika ya 19 🐏 dakika ya 52 🐸 dakika ya 81 (Majina ya wafungaji nitaweka siku ya mechi baada line up kutoka)
  4. GENTAMYCINE

    Leo Simba SC 'Wamenivuruga' naombeni kujua 'Kick Off' ya Mechi ya Yanga SC na Vipers FC ni Saa ngapi?

    GENTAMYCINE leo nataka niiangalie Klabu inayojua Kusajili Wachezaji wa maana, wenye Afya, wanaojitambua, wenye Uwezo na Mafundi Watupu wa Yanga SC na siyo wa Timu zingine ambazo Wachezaji wao Afya hawana, hawajui Mpira na hata Mechi zao zote za Pre Season wamecheza na Wapishi na Wachezaji wa...
  5. Hussein Massanza

    Mechi ya Singida Big Stars vs Zanaco FC mmeionaje?

    Watu wa Soka, Jana Agosti 4 katika Siku yetu maalum ya BIG DAY tulicheza mechi ya kirafiki na klabu ya Zanaco FC kutoka Zambia na tukaibuka na ushindi wa goli moja kwa sifuri (1-0) katika dimba letu la nyumbani la LITI (zamani Namfua). Tumelinda heshima ya nchi lakini pia tumeisitiri sherehe...
  6. Hussein Massanza

    CONFIRMED: Mechi ya Singida Big Stars vs Zanaco FC itarushwa LIVE kupitia Azam TV

    Watu wa Soka, Sisi ni wasikivu. Tumeamua tukio la BIG DAY lirushwe LIVE kupitia @azamtvtz ili wadau wote na mashabiki wetu watakaoshindwa kufika uwanjani, waweze kushuhudia burudani zote popote walipo! Hivyo, matukio yote ya BIG DAY ikiwemo mechi yetu ya kirafiki dhidi ya Zanaco FC itarushwa...
  7. JanguKamaJangu

    Ten Hag akasirika Ronaldo kuondoka uwanjani mechi ikiendelea

    Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag amemjia juu Cristiano Ronaldo kwa kitendo cha kuondoka uwanjani wakati mchezo dhidi ya Rayo Vallecano ikiendelea, Jumapili iliyopita Julai 31, 2022 “Sikubaliani na kitendo alichofanya, hii ni kwa mtu yeyote, sisi ni timu na unatakiwa kukaa hadi mwisho,”...
  8. Hussein Massanza

    Singida Big Stars tumerejea nyumbani Singida

    Watu wa Soka, Tunapenda kuwataarifu wapenzi na mashabiki wetu kwamba Jumatatu ya Agosti 01, 2022 timu yetu iliwasili salama Makao Makuu mkoani Singida, ikitokea jijini Arusha ilikoweka kambi kwa ajili ya maandalizi kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu 2022/23. Ratiba ya mazoezi ya kuinoa timu...
  9. GENTAMYCINE

    Kama kawaida yetu 'tumewaokota" wengine leo tumewapiga 9-0 katika Mechi Mazoezi nao

    Na ninavyowajua hao mliowafunga hizo Goli 9 kwa 0 leo ni kwamba 95% ya Wachezaji wao ni Wabwia Unga, Bangi na Mateja na nimeshangaa kuona mmewafunga Goli hizo 9. Tarehe 13 August,2023 mtatukoma!!!!
  10. JanguKamaJangu

    Tanzania yaichapa Somalia 1-0 mechi ya kwanza kufuzu CHAN 2023

    Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Somalia katika mchezo wa kuwania Kufuzu Kombe la Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN 2023) kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, leo Julai 23, 2022. Goli limefungwa na Abdul Hamis Sopu dakika ya 47, ukiwa...
  11. S

    Databade/Dataset ya mechi zote za ligi kuu bata

    Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri, Kwa mwenye uelewa kido ni wapi naweza pata mechi zote zilizochezwa toka liki kuu ya Tanzania bara toka imeanza hadi sasa. Iwe kivyovyote vile au katika mfumo wowote ule, Nimejaribu kuangalia kwenye tovuti ya TFF sijapata muongozo wa moja kwa moja.
  12. kavulata

    Kwenda Preseason kwenye viwanja vya Ulaya wakati mechi zitachezewa viwanja vya manungu ni kudhoofisha timu

    Timu zimesajilli wachezaji wapya wa kigeni ni Bora preseason Yao ikawa kwenye hali ya hewa na viwanja ambavyo mashindano yatafanyika. Aziz Ki kumpekeka preseason Egypt wakati mechi yake ya kwanza ya ngao ya jamii atachezea uwanja wa kigoma sio weledi. Wachezaji wageni wazoee viwanja vyetu hivi...
  13. Gordian Anduru

    Timu ya Taifa Ghana, mchezaji Okrah kacheza mechi gani?

    Nasikia ni mchezaji wa timu ya taifa. Nimefuatilia mechi za kufuzu world cup sijamuona. Hata zile game mbili za play off ghana vs nigeria hakwepo kwenye line up. Je, ni wale wachezaji wanaoitwa timu ya taifa inapocheza CHAN? Au Je ni wale ambao kambi inapoanza wanaitwa 40 kisha kwenye...
  14. Kipenzi Changu

    Katika michezo 32 aliyocheza Bigirimana akiwa Newcastle alifunga goli 1

    Kwa uchache saana
  15. Tango73

    USHAURI: Yanga andaa mechi nne za kirafiki na timu za nje

    Mechi za kirafiki za kimataifa kwa timu ya Yanga ni muhimu kama ilivyo chumvi katika pilau. mechi hizo zitampatia kocha kujua mapungufu ya ufundi na vile vile mashabiki kujenga imani na timu katika mechi za mtoano ambazo haziko mbali na pwani ya bahari. Naomba sana yanga ialike timu...
  16. JanguKamaJangu

    Kocha Yanga anataka kumaliza msimu bila kupoteza mechi

    Baada ya Yanga kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2021/22, Kocha wa timu hiyo, Mohamed Nabi amesema kuwa wataendelea kupambana ili wamalize ligi bila kupoteza mchezo hata mmoja “Nafurahi tumetwaa ubingwa, haikuwa kazi rahisi, lengo letu ni kuhakikisha hatupotezi mchezo hata kama...
  17. Tango73

    Kocha wa Taifa Stars ni mzuri sana, bado tuna nafasi ya kushinda mechi zijazo

    Taifa Stars inaelekea kukua vizuri na ufundi wake unaridhisha ingawa tumefungwa na Algeria nyumbani. Wachezaji wanajua kujiapanga uwanjani wakienda mbele na nyuma ki team work, wanaanzisha mashambulizi kuanzia golini na midfiled inapanda na kushuka na kutanua uwanja kwa pasi za uhakika. Kama...
  18. Tz boy 4tino

    Ethiopia 2 Vs Egypt 0; Tanzania tuna safari ndefu sana kwenye soka

    Kwa wasiofahamu mechi za kufuzu AFCON zinaendelea , na kwa leo mechi kubwa ni Ethiopia dhidi ya Egypt. Hii mechi ina uhusiano gani na Tanzania? Ethiopia kama ilivyo Tanzania siyo taifa kubwa kisoka. Lakini katika mechi hii ukiangalia unaona namna wachezaji wanavyojituma pamoja na kukutana na...
  19. Championship

    Naiona timu ya Taifa ya Ukraine inacheza mechi hapa, imekuwaje? Urusi si walisema wameigeuza Ukraine magofu?

    Naona wanacheza na Wales mechi kali kabisa. Taarifa kwamba ndani ya siku tatu wanaiteka zimefikia wapi? Na zile kwamba nchi imekuwa magofu nazo niaje?
  20. Moshi25

    TFF iwaandikie barua CAF kupinga kuchezeshwa mechi zetu za Afcon qualifier na waamuzi wabovu

    Kitendo cha mpira wa adhabu ndogo waliopata Niger kupigwa juu sana na bila kuguswa na mchezaji yoyote na ukatoka nje na kwa maajabu ya kila alietazama mechi ya Niger na Tanzania na Niger kupewa kona kimetia aibu mno waamuzi wapumbavu wa kiafrika wanaobeba timu zao bila aibu. Leo kila mchezaji...
Back
Top Bottom