Ndio ivo uzi wangu asilimia 90% unajieleza kupitia kichwa Cha habari. Ilikuwa mwaka juzi tumeenda kwenye harusi ya kaka wa rafiki yangu kule Meru. Nianze kwa kusema Meru ni pazuri Sanaa kwa mazingira yake Migomba na miti pia ukijani uliotawala ulionifanya nifurahie kwa mda wa siku 5 nilizo kuwa...