mdogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ufahamu mdogo Magonjwa ya Akili kuhusishwa na Ushirikina

    Na Joshua Deus Miongoni mwa watanzania walio wengi wame athiriwa na Mila za makabila yao,imani za dini au madhehebu wanayo amini Hadi Mambo ya kiafya wanayahusianisha na Mila zao. Ugonjwa wa Akili (mental disorder) umekua ni ugonjwa unao aminika kuwa hupatikana kwa kurogwa kwa Imani za jamii...
  2. JamiiForums Tanzania Visa vya Bima: Wenye magari wanayachoma moto ili walipwe

    Watanzania wengi wamekuwa na uelewa mdogo kuhusu masuala ya Bima na wengi wao wamekuwa wakitafsiri Bima kama kujiongezea gharama za maisha kwa kukatia Bima.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti mdogo nilio ufanya juu ya chaguzi za viongozi na uelewa wa wanainchi juu ya haki zao za kikatiba zinavo takiwa kutekelezwa

    Ndugu zangu habalini za wakati huu, poleni na majukum ya kulijenga taifa. Niende moja kwa moja ktk mada tajwa hapo juu Watanzania wengi hususani wa vijijini hawana uelewa wa haki ya kuwawajibisha viongozi wao ktk maswara ya haki zao za kikatiba zinapo shindwa kutekelezwa na viongozi walio...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Katiba nzuri katika nchi za Afrika haina au ina msaada mdogo sana wa kuleta ustawi wa wananchi

    Kwa yaliyotokea Africa Kusini wananchi kutoka barabarani na kuzua vurugu kubwa dhidi ya uamuzi wa kisheria na kikatiba wa kumuweka ndani Rais Mstaafu, ni dhahiri kwamba bado hatujakomaa kidemokrasia. Jambo lingine limetokea kule Kenya siku chache zilizopita ambapo Rais wa nchi hiyo aliongoza...
  5. JamiiForums Tanzania Ndoa katika umri mdogo/utotoni

    Makala haya mafupi yanaletwa kwenu na mwaandishi wenu Orkipirie lenaiterru kopp. Ndoa za utotoni au katika umri mdogo ni pale ambapo msichana au mvulana wanapoingia katika ndoa wakiwa katika umri mdogo sana chini ya miaka 18.kwani umri mdogo huanzia 0-17miaka watoto ambao wapo katika umri huo...
  6. JamiiForums Tanzania Uwezo wetu wa akili ni mdogo mno, teknolojia yetu inaenda kama konokono, binadamu anachekwa kila kona

    Binadamu kafeli, tunaenda kwa speed ndogo sana ya maendeleo hasa kwenye suala la technologia, speed yetu ipo limited mno, kuanzia anga, majini hata nchi kavu. Tunajisifu ujinga tu, tukigundua kitu kidogo tu makelele miaka mitano au sita,akitokea mmoja wetu na wazo la ujinga tu(mf:elon musk)...
  7. JamiiForums Tanzania Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila siku za Jumatatu, huwaletea makala za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambayo huchapishwa na gazeti la Nipashe la Jumapili, ambazo ziko kwa mtindo wa maswali, majibu ya maswali hayo, utayapata wewe mwenyewe, na kisha tutawatafuta wahusika, ku balance hii mada, hivyo...
  8. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa na uelewa mdogo wa masuala ya dini, asilaumiwe

    HAYATTI MAGUFULI ALIKUWA NA UELEWA MDOGO WA MASUALA YA DINI, ASILAUMIWE. Na, Robert Heriel. Leo kijiweni kuna mada Moto ilikuwa ikiendelea inayohusu masuala ya UVAAJI WA BARAKOA, baadhi ya wachangiaji wa mada walimtumia zaidi Hayati Magufuli katika kutetea hoja zao kuwa hakuna ulazima wa kuvaa...
  9. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Lissu ni Mshindi

    TUNDU LISU NI MSHINDI Na, Robert Heriel Moja ya sifa ya Mtumishi wa Mungu ni kumshuhudia Mungu kwa Matendo makuu aliyoyafanya. Tumezoea watumishi wa Mungu tuendapo kwenye nyumba za ibada wakituhadithia simulizi za kwenye misahafu kwa habari ya mambo yaliyopita miaka ya kale. Wote...
  10. JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Metacha 'Poti' Mnata, Meneja wako Jemedari Said atakuponza na Yanga SC 'watakuua' sasa!

    Japo ni 'Poti' wangu kabisa kutoka Mkoani Mara (Musoma) ila kwa hili na haya yanayokutokea sasa hapo Yanga SC Kipa Metacha Mnata wala sikuonei 'Huruma' kabisa kwani umeyataka Mwenyewe na tunaokupenda na Wanaokupenda tumekushauri vya kutosha na unatuona Mangumbaru (Wajinga) na Mapopoma...
  11. JamiiForums Tanzania Kama mama mwenyewe amekiri msuli wake ulikuwa mdogo, Tusimuonee Gambo

    Tumeshuhudia hii miezi miwili kukiwa na kauli kadha wa kadha zenye kukinzana na matendo mbalimbali yaliyofanywa na awamu ya 5 chini ya Shujaa toka kwa wateule wake wa kipindi hicho. Moja ya wateule hao ni aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha, ambaye kwa sasa ni mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh...
  12. JamiiForums Tanzania Simba SC wala msipoteze muda kumpima akili Mkude; matatizo yake makuu ni haya...

    1. Uvutaji Bange (Bangi) uliopitiliza na yupo Mtu hapo hapo Simba SC (namhifadhi) ambaye alimzoesha Kuvuta na mpaka akawa anamnunulia. 2. Umalaya uliopitiliza kiasi kwamba mpaka hivi sasa ana Mahawara Watano ila kuna Mmoja kampangia Kawe (jirani na Ukuta wa Lugalo) ndiyo amemuharibu kabisa...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi yapuliza kipenga uchaguzi mdogo jimbo la Konde na kata 6 Tanzania bara

    TUME ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza ratiba ya Uchaguzi Jimbo la Konde, Micheweni, Kaskazini Pemba na Kata sita za Tanzania Bara.
  14. JamiiForums Tanzania Kwa tunaoona nje ya box, Ole Sabaya ni fagio la Wanaharakati uchwara mitandaoni na anguko la Mbowe

    Yaani hata darasani mwalimu hata ungefundishaji kuna wabafunzi vilaza ambao ukisema tisa wanasema sita yaani hawa huwa ni wanafunzi mbumbumbu wasiojielewa. Kuna kikundi kimeibuka kutunga uongo ambao ni vichaa tu wanaweza kuwaamini dhidi ya Sabaya. Yaani hawa watu wanashindwa kuelewa kabisa...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Ninaomba msaada wa kimawazo au ushauri wa kutatua changamoto ya usikivu mdogo (Hearing loss) au kupunguza adha zake

    Habari za humu ndugu zangu. Poleni kwa majukumu. Changamoto inayonirudisha nyuma sana: Ninachangamoto ya usikivu mdogo(Hard hearing, Hearing loss), kushindwa kuelewa kinachozungumzwa kwa kiasi fulani (Word deafness) hasa kwa sauti za besi sana sometime ninaweza nisikuelewe maneno utamkayo...
  16. JamiiForums Tanzania Huyu mdogo wangu anakipaji cha Muziki wa Kimarekani afenyeje ili aingie U.S?

    Wakuu huyu mdogo wangu anakipaji cha Kimarekani afanyeje aweze kuingia U.S. kuimba Muziki wa namna hii. Kama una marafiki ni producers huko US, au American Got Talent, au Wasanii wakubwa US, nisaidieni contacts zao wakuu. Najua kuna wengine wapo US uko saivi.
  17. JamiiForums Tanzania Napenda kuishi sehemu yenye mji mdogo ila sio jiji kubwa au bush

    Yani hata nikiendaga Dar basi nakaa siku 3 tu, siku ya kwanza nafika, ya pili nafanya kilichonipeleka, ya tatu ndukii, kasoro labda kama kuna uhitaji wa kukaa zaidi. Napenda kuishi miji midogo ama kama ni jiji basi iwe miji midogo nje ya jiji, Napenda sehem iwe nimezungukwa na mimea zaidi...
  18. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ''awashukia'' vikali wanaozodoa ACT-Wazalendo kwa kushiriki Uchaguzi mdogo Kigoma

    Zitto Kabwe amewaambia wanaoizodoa Act-Wazalendo kwa kushiriki Uchaguzi Mdogo kuwa wanasumbuliwa na ushamba. Haya ameyaandika baada ya baadhi ya watu ambao anawaita ''wenzetu'' kuanza kumzodoa wakati walisusia uchaguzi na chama chake kikaheshimu uamuzi wao wa kususia uchaguzi. Maelezo haya...
  19. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hongereni kwa kuweka mpira kwapani mdogo wenu Zitto Kabwe analialia huko Muhambwe!

    Heri nusu shari kuliko shari kamili. Mbowe alisema Chadema haitashiriki uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi. Zitto Kabwe akasema kwa sababu hii ni awamu ya 6 hawana shaka yoyote na tume ya uchaguzi Leo wakati wananchi wanapiga kura kwa utulivu na amani Zitto Kabwe anaturejesha kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Kabwe avamiwa kwenye Uchaguzi mdogo Muhambwe

    Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe,akiwa na mgombea ubunge wa Jimbo la Muhambwe Julius Masabo wamevamiwa na watu waliokuwa kwenye magari matatu yanayosadikiwa kuwa ya CCM yakiwa na namba za Usajili T281BFG, T195JV na T148DFA. Katika uvamizi huo gari yenye namba DFA inasadikiwa kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…