mdada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama hujawahi kuwambiwa na mdada anaomba "mbegu" Basi unasura personal

    Wadada wengi wanapenda kuzaa watoto wazuri, nadhani wote, wawe wanaosha kwa watu. Yani wadada wengi nikikutana nao, wanakwambia we kaka mzuri, unipe mbegu. Hapo ushaelewa wanamaanisha nini. Sasa wanaume wenye sura ngumu na personal ndio wananishambulia sana na kusema mi shoga, kumbe wanafisha...
  2. JamiiForums Tanzania Naamini watu kama godlove na huyu mdada aliepata kesi ya utapeli ni watu wa waina ya "project maalum" inayoandaliwa na watu kwa ajili ya kazi maalum

    Yani over sudden unashangaa mara pap mtu amekuwa MAARUFU. alipotokea hatujui, alipopitia hatujui, ila mnakuwa overwhelmed na umaarufu wake unaokuwa engineered labda na urembo wake, pesa zake, scandal, etc Watu hawa wanachukuliwa kwa ajili ya kutimiza matakwa fulani mfano kuzubaisha watu dhidi...
  3. JamiiForums Tanzania Mdada unaogaje?!

    Mwanamke unakuwaje na kiharufu Osha hizo nywele zisinuke,usikae na nywele miezii hadi zianze kutoa harufu Safisha uso huo usiwe kama umemwagiwa pumba, ukiweza tafuta face wash uso uwe na nuru Shingo hiyo isugue vizuri isiwe nyeusi kama ya mbuzi Shuka kwenye manyonyo hayo sugua chini ya ziwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanaume mdada akikuita "Boss" Kimbia mbio nyingi saanaa

    Hapo umeelekezwa kibra. Ni tumsalie sala ya mwisho tu. Uzi tayari.
  5. JamiiForums Tanzania Huyu mdada kaifanya bongo movie irudi DUNIANI

    Nadhani sijaeleweka!! ila ukimtoa kanumba (ME),gabo(ME),monalisa(KE) na riyama(KE) huyu ndio actor wangu wa bongo movie kwa sasa mpaka 2030....."DUNIA Anaitwa hellena aka cindy kakolanya(ke)
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mdada, ukiachwa achika!!

    Wadada wengine aibu hawana. Umemuacha mwanaume wakati amepoteza kipato na haitoshi ukamsaliti tena wazi wazi kila mtu anaona! Kaka wa watu amejipiga ameinuka tena, unarudi na blah blah eti nakupenda sijawahi kukutana na mtu mwenye mapenzi ya kweli mvumilivu mpole kama wewe. Wakati unamsaliti...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume, ushawahi pewa sharti la "no sex hadi ndoa" na mdada? Uli-deal nalo vipi, na matokeo yalikuaje?

    Habarini, Wanaume, katika harakati za kutongoza unakutana na mdada, unamtongoza, anaonesha kuwa kakubali, ila mkiwa kwenye story ukigusia swala la mzigo anakwambia sex ni hadi ndoa..au atakuuliza unaonaje swala la no sex till marriage (aki hint kwamba ukitaka u-sex nae ni hadi umuoe).. wadada...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume anaemuoa mdada golddigger, anaheshimika kwenye jamii, ilhali mwanaume anaenunua dada poa wanaojiuza barabarani, jamii inamdharau?

    Habarini, Kuna social construct nimeiona kwenye jamii Mimi binafsi na great thinkers wengine tunaamini kuwa hamna tofauti kati ya golddigger (mdada anaekupendea hela) na mdada anaejiuza barabarani, sababu wote wawili wana-sex na wewe sababu unawapa hela, usingekua na hela wasingekupa...
  9. JamiiForums Tanzania Mdada umekuwa na rangi tatu

    Mdada umekuwa na rangi tatu😀, macho brown yameungua kream, una mabaka ya kream mpaka unamfanya mwanaume ahisi afya yako si salama. Mishipa ya damu inaonekana
  10. D

    JamiiForums Tanzania Wadau, kufeli vibaya kwa ile movie mnafikiri tatizo lilikuwa wapi na limesababishwa na nani?

    Nashangaa naona ni siku Moja tu imepita tangu movie itoke lakini naona kimya kabisaaaa. Hata wale haters wa Mama yetu ambao mara tu baada ya bi mdada kutangaza kutoka kwa movie yake walikimbilia mitandaoni fasta ambako walianza kushusha mamia ya viapo kwamba movie ni true kabisa. Aidha, haters...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mdada anaanzisha mazoea na mtu kisha anayakata ghafla ukianza kumpa attention

    Hii imenitokea mara kadhaa. Inakatisha sana tamaa, unakuta mdada mrembo tu mwanzo ulikuwa humjali sana. Mara anaanza mazoea , ukimpa tu attention anaondoka inakuwa kama zamani tena. Unaweza dhani labda umeokota dodo, unasema ngoja uifanyie kazi hii green light mara inakuwa ngumu kuliko...
  12. JamiiForums Tanzania Yani unakimbia usiku kufukuzana na Castle Lite na Savanna huku umeacha mtoto wako mdogo eti mtu akuangalizie

    Endeleeni kuzaa na maslay queens. Dogo ndio kashafariki hivyo kwa uzembe wa starehe na akili za ku-slay slay
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini kila mtu anamchukia huyu mdada!?

    Au ni sababu ya ujuaji wake harafu kaja kufa Nyumbani kwa Mweshimiwa kizembe vile au season 2 anaweza kurudi waseme hakufa, Wadau wa series jina na cover ni hilo hapo 👇 series nzuri sana
  14. JamiiForums Tanzania Huyu mdada anaomba ushauri wenu

    Iko hivi huyu ni binti miaka 23, anajikuta kwenye dimbwi la mawazo katika kufanya maamuzi Amekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mbaba(40 yrs) yaani mume wa mtu kwa zaidi ya miaka miwili na amemuahidi kumuoa na amejitambulisha mpaka kwa Wazazi wake hata alipokuwa chuo cha maendeleo huyo mbaba...
  15. JamiiForums Tanzania Hakuna mantiki yoyote itakayojibu swali la mwanamke la "Kwanini wanaume wanapenda kucheat sana?". Maelezo haya yanaweza kurelate na swali lao

    Mwanaume anacheat kwa sababu ana uwezo wa kucheat. Sio kwa sababu eti mfuska , hapana, hata wale normal familiy loving men wana cheat. Mwanaume ana cheat sio kwa sababu ya mke wake amridhishi au labda mke wake ni pasua kichwa, ila anacheat kwa sababu technically mwanaume ni sex machine...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Si ajitokeze mdada mmoja anipikie pikie

    Si ajitokeze mdada mmoja wa dar aje anipikie pikie
  17. J

    JamiiForums Tanzania Sadat & Hussein Mumbarak-Egypt na Clinton wanafichua kuwa Amani kati ya Israel na Wapalestina inakwamishwa na chuki ya Wapalestina

    Video ya Hayati Anwar Sadat anasema Siwezi kamwe kuhatarisha hatima ya Egypt kwa sababu ya tabia yao ya kitoto. Anawalaumu viongozi wa Palestina kwa kukutaaa makubaliano ya Camp David. Anasema makubaliano hayo yalilenga Wapalestina wawe na Serikali yao baada ya Miaka 5 ya utekelezaji wake...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kemi Badenock Mdada wa Kiingereza ambaye Wazazi wake walitokea Nigeria aweka Historia kuwa Mwafrika wa Kwanza Kuongoza Chama cha Conservatives UK

    Jina lake kamili ni Olukemi Olufunto Adegoke; alizaliwa Uingereza (Jan 2, 1980)na Wazazi wake ambao ni Wanaigeria wakiwa Uingereza walikoishi kwa muda mfupi. Jina la Badenock ni la Ukoo wa Mumewe. Maisha yake mpaka anafikia miaka 16 yalikuwa nchini Nigeria. na baada ya miaka 16 Kemi alirudi...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kemi Badenock Mdada wa Kiingereza ambaye Wazazi wake walitokea Nigeria aweka Historia kuwa Mwafrika wa Kwanza Kuongoza Chama cha Conservatives UK

    Jina lake kamili ni Olukemi Olufunto Adegoke; alizaliwa Uingereza (Jan 2, 1980)na Wazazi wake ambao ni Wanaigeria wakiwa Uingereza walikoishi kwa muda mfupi. Jina la Badenock ni la Ukoo wa Mumewe. Maisha yake mpaka anafikia miaka 16 yalikuwa nchini Nigeria. na baada ya miaka 16 Kemi alirudi...
  20. JamiiForums Tanzania Muangalie huyu mdada sniper risasi ilivyomkosa kosa kwa sentimita chache sana.

    https://youtube.com/shorts/DpPJZGaVFcs?si=XCZWQgMv64KBOJOR
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…