mchungaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Firmino afungua kanisa lake huko Maceio, Brazil na yeye atakuwa Mchungaji

    Nyota wa zamani wa Roberto Firmino kwa kushirikiana na mkewe, wameanzisha kanisa huko Maceio, Brazil ambalo yeye atakuwa miongoni mwa wachungaji. Kufunguliwa kwa kanisa hilo ni kutimia kuwa ndoto ya muda mrefu kwa Firmino kufanya huduma ya uchungaji yeye pamoja na mkewe Larissa Pereira. Eneo...
  2. JamiiForums Tanzania Karibu Mchungaji Peter Msigwa

    KARIBU MHE BABA MCHUNGAJI PETER MSIGWA CCM. Na Elius Ndabila 0768239284 Nimeona mjadala mkubwa juu ya ujio wa Mhe Baba Mchungaji Peter Msigwa CCM. Wapo wanaofurahia ujio huo na wapo wanaoponda. Wote wapo sawa. Mimi kabla sijatoa hoja zangu ninaunga mkono ujio wa Mhe Baba Mchungaji Peter Msigwa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake washauriwa na mchungaji Christina shusho kuzaa watoto wachache na kupanga uzazi binafsi bila kumshirikisha mwanaume

    Ameshauri wawe wajanja kuzaa kuijaza dunia Mungu hakumaanisha Kuwa na watoto wengi Bali kufanya vitu vingi..pia amedai alikataa Dola za kimarekani elfu 20 kutoka Kwa kigogo alietaka kulala nae..hivi ndo anatangaza dau lake kijanja au anajisafisha mbele ya jamii Ione Kuwa Huwa hadangi
  4. JamiiForums Tanzania Mchungaji anayefahamika kama 'Bling Bishop' ahukumiwa Miaka 9 kwa Udanganyifu na Ulaghai

    Lamor Whitehead, mchungaji maarufu wa Brooklyn nchini Marekani anayejulikana kama "Bling Bishop," amehukumiwa kifungo cha miaka tisa jela baada ya kupatikana na hatia ya kutumia akiba ya kustaafu ya mshirika wake na kujaribu kumlaghai mfanyabiashara mmoja. Whitehead alipatikana na hatia mwezi...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mchungaji Christina shusho avishwa Pete ya uchumba

    Mtoto wa mchungaji Christina shusho avishwa Pete ya uchumba
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mchungaji Christina shusho avishwa Pete ya uchumba

    Mpenzi nilienae Kila siku ana matatizo jamani Kila siku yeye hasara yeye , kikosa ajira yeye ...Kila siku ananipa hbr mbaya nahisi ana mikosi
  7. JamiiForums Tanzania Una shida, utamchagua Mchungaji yupi akuombee kati ya hawa?

    Mchungaji Masanja au Mchungaji Irene?
  8. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Hayati Magufuli alitaka kunipa uwaziri na pesa lakini nilikataa

    Katika muendelezo wa kutupa makombora, vijembe, hasira na kuonyesha namna CHADEMA ilivyojaa ubabaishaji na uhuni uhuni pamoja na kukosa viongozi wenye kuheshimika na kutoa muongozo. Mchungaji Peter Msigwa aliyekuwa mbunge wa Iringa mjini na mwenyekiti wa kanda ya Nyasa na mjumbe wa kamati kuu...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Mliodhani nahama CHADEMA Mnajidanganya

    Ujumbe wake huu hapa --- Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kanda ya Nyasa ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini mchungaji Peter Msingwa amesema hana mpango wa kukihama Chama cha CHADEMA baada ya kutoshinda uchaguzi wa Kanda ya Nyasa. Msigwa...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa apendekeza kuwe na Midahalo ya Wazi hadi katika ngazi ya Kitaifa ili kupata Wagombea wa kupambana na CCM

    DEMOKRASIA: Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa amesema ili kupata Viongozi wanaoweza kukabiliana na CCM, chama hicho kinapaswa kutumia njia ya Midahalo ya Wazi kupima uwezo wa Wagombea Msigwa ameeleza hayo wakati akizungumza na Wanahabari na kusema "Napendekeza katika ngazi...
  11. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mchungaji anaomba ushauri

  12. T

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Shusho kumburuza Mahakamani Mchungaji Mbarikiwa

    Mchungaji shusho kumburuza mahakamani mchungaji mbarikiwa
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mdahalo kati ya Mchungaji Msigwa Vs Joseph Mbilinyi(Sugu)

    https://www.youtube.com/live/8Qy6COBTVsM?si=598xTNalrbWCq9IJ Mdahalo ni utamaduni mzuri
  14. O

    JamiiForums Tanzania Peleka mshahara wako wa Kwanza kwa Baba yako sio mchungaji wako ubebe bataka zako

    https://www.instagram.com/reel/C6wky19Nd4U/?igsh=MXg1dDR5bWhzNno5bg==
  15. JamiiForums Tanzania Ni mchungaji yupi alikusaidia kutatua changamoto zako ana kwa ana zilizokuwa zimekushinda kabisa?

    Karibuni wakuu
  16. R

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezakana Mchungaji au Askofu kujinyonga?

    Salaam, Shalom!! Kuna wimbi linaendelea kujitokeza la vifo tata kuhusu viongozi wa kiroho. Miezi kadhaa iliyopita, yaliripotiwa matukio ya Padri kukutwa ameuwawa na kutupwa, wengine wakiuwawa, Jambo lililonishtua zaidi ni tukio la kujinyonga Askofu Dodoma, tena ndani ya nyumba ya Ibada,kama...
  17. JamiiForums Tanzania Mavazi ya Mchungaji Tony Kapola yachunguzwe

    Nilipohoji kuhusu uvaaji wa mchungaji Tony Kapola kuna watu hususan wanawake walinivaa kwa ukali kwamba nina wivu niwaachie mchungaji wao, kwamba uvaaji wake ni wa kawaida, kwamba uvaaji wa kisasa kwa Watumishi wa Mungu sio tatizo. Binafsi niwaambie UTUMISHI WA MUNGU ni mgumu na unahitaji...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Kwa utetezi huu naona ni wakati wa Mungu anaenda kumuinua mchungaji John shusho baada ya miaka mingi ya kupuuzwa na bibie tina licha ya alivyopambana

    Kwa utetezi huu naona ni wakati wa Mungu anaenda kumuinua mchungaji John shusho baada ya miaka mingi ya kupuuzwa na bibie tina licha ya alivyopambana kumpeleka studio na Kuwa star kisha akamwacha
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kwa utetezi huu naona ni wakati wa Mungu anaenda kumuinua mchungaji John shusho baada ya miaka mingi ya kupuuzwa na bibie tina licha ya alivyopambana

    Kwa utetezi huu naona ni wakati wa Mungu anaenda kumuinua mchungaji John shusho baada ya miaka mingi ya kupuuzwa na bibie tina licha ya alivyopambana kumpeleka studio na Kuwa star kisha akamwacha
  20. JamiiForums Tanzania Mungu wa Wayahudi "Yehova" hawezi hatambui Mwanamke kama Mchungaji, Nabii au mtume. Wanawake wanajiita wachungaji au manabii wana mungu mwingine.

    MUNGU WA WAYAHUDI "YEHOVA" hawezi HATAMBUI MWANAMKE KAMA MCHUNGAJI, NABII AU MTUME. WANAWAKE WANAOJIITA WACHUNGAJI au MANABII WANA mungu MWINGINE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli YEHOVA kama Mungu wa wayahudi hatambui cheo cha mwanamke kuwa mchungaji, Nabii, au Mtume. Unapozungumzia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…