Ni bwana Oezeama kama sikosei.
Mwamba huyo ni Mchungaji lakini 2019 alikamatwa kwa tuhuma za kukutwa na zaidi ya kilo 20 za unga wa cocaine na pamoja naye pia walikamatwa wazungu wawili aliokutwa nao.
Inasemekana bwana yule kafia Gerezani Segerea kwa shinikizo la damu.
Duru za eneo lile...
Mchungaji na mfanyabiashara raia wa Nigeria, Henry Ozoemena, anayekabiliwa na kesi ya kusafirisha kilo 20 za dawa za kulevya aina ya Heroine, amefariki dunia baada ya kupata shambulio la moyo akiwa mahabusu katika gereza la Segerea, jijini Dar es Salaam.
Wakili Yasin ameieleza Mahakama ya...
Katika wimbo wa Dulla Makabila wa Pita huku, kaelelezea hukumu ya adhabu ya moto wa milele. Kwamba hukumu hii inaweza kumpata yeyote kutegemea na matendo yake maovu aliyoyafanya hapa Duniani.
Haidhalilishi wadhifa aliokuwa nao hapa Duniani. Kaonesha daktari, mchungaji na watu wengine mbali...
Mimi sijazama sana kwenye biblia na neno la Mungu.
Nina jirani yangu hapa mdogo wake anaumwa masuala ya uzazi na vidonda vya tumbo. Ana hali ngumu sana kiafya na safari za Bugando haziishi. Pamoja na madaktari Dada jirani amekuwa na option ya kwenda mchungaji kuombewa na kukabidhi swala lake...
Jeshi la Polisi linawashikilia watu 3 akiwemo Mchungaji Julius Mwasimba baba mzazi wa marehemu na watoto wake Elia na Emmanuel Mwansimba kufuatia kifo cha Anna Mwansimba.
Kamanda wa Polisi, Alex Mkama amesema ndugu hao walimfungia mgonjwa na kuanza maombi kwa siku 3 lakini baadaye waligundua...
Habari wakuu...Katika hali ambayo kwa upande wangu nimeiona siyo ya kawaida Askofu mstaafu wa kanisa la Tanzania assemblies of God(TAG) Mch.Glorious shoo ameiomba serikali kuwazuia wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro kutoendelea na uzalishaji wa pombe za asili na badala yake mazao yanayotumika...
Nurdin Abdallah
Shahidi namba moja ambaye ni mtoto wa miaka 6 anayedaiwa kubakwa na baba yake mzazi Mchungaji Nurdin Abdallah (54) na Muinjilisti wa kanisa la waadventista wasabato Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza, amekiri mbele ya Mahakama kufanyiwa kitendo hicho kwa nyakati tofauti na baba...
MCHUNGAJI wa Kanisa la Anglikana Yombo Kiwalani jijini Dar es Salaam Edwin Taji, amesimamishwa kutoa huduma ya kichungaji baada ya kudaiwa kumtorosha mke wa muumini wake na kumpangishia nyumba maeneo ya Pugu Kajiungeni.
Madai hayo yametolewa na muumini wa kanisa hilo ambaye ni Mume wa mwanamke...
Mchungaji wa kanisa la kilokole Nurdin Abdallah, amefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya Magu mkoani Mwanza kwa kosa la kumbaka kwa nyakati tofauti mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka sita.
Chanzo: EA Radio
====
Mchungaji Nurdin Mahakamani kwa kumbaka mtoto wake
Mchungaji wa kanisa la...
Huyu mwamba anahubiri kila asubuhi ananibariki saaana yaani mafunzo yake hata kama sio mfuasi kama mimi ila unajisikia kijifunza jambo flani la maisha nimemfuatilia wiki hii, najisikia kubarikiwa sana. Nimeona niwashirikishe, anaanza sa 12.hadi sa moja kama sijakosea.
Muwe na siku njema...
Mchungaji huyu akitoa maoni yake juu ya watoto wa marehemu kugombea mali ameponda vikali.
Amesema watoto ni mifugo/ mali ya marehemu hivyo hawana chao kabisa kwenye mali za marehemu. Mifugo inadai urithi wa mifugo wenzie? Amehoji mchungaji huyo
Wapeni salaam watoto wa Mrema na mzee Mengi
Palitokea mtu mmoja afahamikaye kwa jina la Marco Marcusio, kijana huyu mwenye asili ya kinyamwezi akiwa ni chotara wa kimakabila Babaye mnyamwezi mama yake mnyakyusa, kijana huyu alizaliwa Tabora liliko chimbuko la kabila la Baba yake. Na kwa kuwa Baba yake alipata kisomo cha...
Harold Gamalieli Mkaro ambaye ni Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Makedonia Lubaga Manispaa ya Shinyanga amesomewa shtaka la kujaribu kulawiti mtoto wa miaka 6 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Shinyanga.
Agosti 24, 2022 Mchungaji huyo alifutiwa kesi namba 107 na...
Story: MCHUNGAJI MCHAWI.
Mtunzi: Nellove😎
Episode: 01
WhatsApp: 0759941164
"Naitwa Juliana. Napenda kumshukuru sana Mungu mwenyezi kwa kunitendea muujiza mkubwa maishani mwangu. Sikuwahi kutegemea kama Mama yangu ataweza kutembea tena lakini kwa uwezo wa Mungu anatembea sasa" ilikuwa sauti ya...
Japo kutishia kuua ni kosa, ila alilofanya huyu dada ni ujinga na upumbavu kwa wakati mmoja. Hatukatai mtu kumtolea Bwana sadaka ila aina hizi za sadaka ni dhambi si sadaka tena.
---
Joseph Moses dereva wa ‘bodaboda’ mkazi wa Mbeya anayekabiliwa na shtaka la kutishia kumuua mkewe kwa maneno...
KUOSHWA KWA NYOTA ILIYOCHAFUKA..!
Ayubu 25:5-6
Tazama, hata mwezi hauangazi, Wala nyota si safi machoni pake;Siuze mtu, aliye mdudu! Na mwanadamu, ambaye ni buu!
Andiko hili linatuonesha nyota ya Mtu inaweza Ikachafuliwa na kuonekana si safi machoni Pake katika Ulimwengu wa roho!! Hapa biblia...
Masanja Mkandamizaji ameulizwa anahisi kwa nini watu wengi hawamuelewi kwa namna yake ya mahubiri amesema kuwa sababu kubwa ni kuwa kuna watu wengi wanatamani awe kama Mtumishi wao yaani afanane nao mpaka mavazi.
Amesema “Msinifananishe na mtumishi wenu bali mwambieni mtumishi wenu afanane na...
Naomba kama kuna mtu anafahamu mchungaji huyu jina lake, mkoa anaopatikana, kanisa analo hudumu au hata mawasiliano yake anisaidie. Natanguliza shukrani
Msikie kidogo hapa 👇
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.