Dereva wa bodaboda aliyefahamika kwa jina la Ally Kambi (24), mkazi wa Kingolwira Manispaa ya Morogoro, anadaiwa ameuawa kisha kuporwa pikipiki na watu ambao bado hawajajulikana waliomkodi eneo la Mkono wa Mara, Wilaya ya Morogoro.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Andrew Kantimbo...