mchezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania 'Directors' wa 'Wakatoliki Feki' wameamua waingie wenyewe kwenye mchezo

    Kila script wanayotoa waigizaji wanakosea. Script ya kwanza ni ile ya maandamano ya kwenda ubalozi wa Vatican Tanzania, kuna makosa mengi ya kiufundi yalifanyika ikakosa mvuto. Script ya pili ni ile ya kuvamiwa kwa main character (steringi), ikajulikana hakuvamiwa wala kuumizwa bali alipaka...
  2. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Mchezo wa Kirafiki au Jaribio la Kusafisha Taswira?

    Leo tarehe 11 Januari 2026, Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limetangaza mechi ya kirafiki itakayochezwa majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wa Manispaa ya Kinondoni (KMC), Mwenge. Mchezo huo unawakutanisha timu ya Tanzania Sport Influencer—iliyoundwa na mashabiki wa Azam, Simba na...
  3. JamiiForums Tanzania Ishu ya iran ilikuwa mchakato, yalianza mauaji ya binti aliekataa kuvaa hijabu, ikaja vijana wengi kukimbilia ukristo na US kuongeza vikwazo

  4. JamiiForums Tanzania Mchezo haujauelewa

    Ukija kichwa kichwa, utaona team ya wasanii kama hawajui kucheza mpira, kama hawaelewani, wanapishana, ila bado inabaki kuwa team moja. Wana mbinu nyingi za kushinda hii game. Moja ya mbinu yao ni katikati ya mchezo wanacheza chenga na madoido maana lengo lao sio kushinda tu hii game yao, bali...
  5. JamiiForums Tanzania Hakuna umeme, hakuna maji na joto kali. Hii mande si mchezo

    TANESCO NA DAWASCO SIJUI DAWASA MTAUA WATU. Kama bi shosti kaamua kutesa watanganyika basi hii yenyewe.
  6. JamiiForums Tanzania Nyota wa mchezo wa MO29 na D9

    Maji ni kitu chenye nguvu sana! Kamwe usijaribu kuyazuia yanapochagua njia yake, maana hutayaweza. Ukijaribu, yatakusababishia madhara makubwa! Ni wakati wa mabadiliko… Hayazuiliki! Na kujaribu kufanya hivyo ni kujitafutia shida za kujitakia. Nyota waliohamasisha na kufanikisha maandamano ya...
  7. JamiiForums Tanzania Mapokezi waliopewa Yanga Zanzibar yatawatoa mchezoni na kupoteza mchezo dhidi ya Far Rabat

    Nimeshangaa wale watu wa bandarini pale Zanzibar wakiwafanyia harassment wachezaji wa Yanga na kuwaweka juani muda mrefu Wale walinzinwamegoma kuwaruhusu kupita ati hawana vitambulisho Yaani hapo Zanzibar napo wachezaji wagonge passport Zanzibar mnajikuta nani awamu hii? Yaani mnamgomea...
  8. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Ardhi House: ‘Mtandao unasumbua’ ni kificho — Nilijaribu kuingia kwenye mfumo, na mchezo ulianza!”

    Ukweli wa Ardhi House: ‘Mtandao unasumbua’ ni kificho — Nilijaribu kuingia kwenye mfumo, na mchezo ulianza!” UZI: Nimekuwa nikitoka HADI hapa na nikakutana na kitu ambacho siwezi kuziba mol. Huyu ni story ya jinsi ‘mtandao’ unavyotumika kama kificho ili watu wafanye ujanja katika ofisi za umma...
  9. JamiiForums Tanzania Sijui mwamba alifeli wapi hii vita sio mchezo

    Nimeingalia mara mbili mbili hatari sana
  10. JamiiForums Tanzania Beki wa Simba Rushine De Reuck alibabuliwa na mpira usoni akawa anagalagala chini, alipoona hatari golini kwake akasimama kuendelea na mchezo

    Wachezaji wanaojitambua wanastahili heshima ya kipekee. Wachezaji wengi wa Tanzania hawafiki mbali maana hawajitambui. Wanalipwa mshahara, halafu wanageuka tena wanapokea hongo kukwamisha timu zinazowalipa mshahara. Wakifungwa hawajali, yaani kwao kucheza kwa bidii na maarifa siyo shida zao...
  11. JamiiForums Tanzania Haiishi mpaka iishe. Dakika 5' tu za Nyongeza zinaweza kubadirisha matokeo ya mchezo

    Hapa nilikua naangalia mpira Swansea City alikua anacheza na Nottingham Forest, mpaka dakika 90 Nottingham alikua anaongoza goli 2 kwa 1, zikaongezwa dakika 5 tu zilizopelekea Swansea City kubadirisha matokeo ya mchezo ndani ya dakika 5 tu Swaswea City akafunga goli 2 chap kwa haraka na ubao...
  12. JamiiForums Tanzania Captain ya Yanga Dickson Job akimtambia Captain wa Simba Shomari Kapombe kabla ya kuanza mchezo

    Ukiwa unajiamini bwana, raha sana. Unajua kabisa matokeo yatakayokuwa, unaweza kutamba utakavyo. Kabla mechi haijaanza, wakati macaptain wa Simba na Yanga, Shomari Kapombe na Dickson Job wakiwa na waamuzi kuchagua upande wa kuanza, Job alimwambia mwamuzi Arajiga na Kapombe kuwa hakuna haja ya...
  13. JamiiForums Tanzania Bei ya Tiketi Katika Mchezo wa Ngao ya Jamii

    Hivi punde Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wamezua gumzo kubwa mitaani na mitandaoni baada ya kutangaza viwango vya tiketi kwa ajili ya mchezo wa Ngao ya jamii kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC. Tiketi za mzunguko zitauzwa kwa shilingi elfu 5, VIP C shilingi elfu 20, VIP B elfu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania KERO Tafadhali Serikali fungieni mchezo wa AVIATOR, Mchezo sio fair na unaua ndoto za Vijana

    Habari zenu Ndugu zangu. Moja kwa moja kwenye main point, Mchezo wa aviator haupo fair jinsi inavyotangazwa, inachukua 90% inakupa 10% haina usawa wa 50% kwa 50%. Aviator imeharibu ndoto za Vijana wengi, na wanaishia kuwa omba omba , sababu pesa hazikai, vijana wanashindwa kuwa na nuru sababu...
  15. JamiiForums Tanzania Mchezo wa kurushiana Risasi utahitaji Bullet Proof vest au kujificha huku unashambulia; Kwako Tundu Lisu baada ya kutoka usifanye kama Kina Mdude Chad

    Hamjambo Wote! Mwezi septemba unaoanza kesho utakuwa na hekaheka nyingi sana. Mambo mengi makubwa yanatarajiwa kutokea. Ni mwezi ambao Wagombea na mahasimu wao wanatakiwa kujihami zaidi na kujilinda huku wakifanya mashambulizi ya kushtukiza ya kimkakati. Wagombea Wapya katika nafasi mpya kama...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Angela Kizigha ndio Nyota wa mchezo

    Kwa mujibu wa Polepole huyu Angela Kizigha anaonekana ni untouchable. Kwamba Madam Kizigha alikuwa ana kesi ya ufisadi wa kusambaza sare na vifaa vya jeshi la polisi na alikuwa akamatwe na kushtakiwa kwa ufisadi. Ila baada ya kifo Cha Magufuli hakukamatwa Wala kufunguliwa mashtaka. Cha...
  17. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kutana na koboko(black mamba), uliescape vipi maana huyu sio wa mchezo

    kwa upande wangu sikawahi kutana nae ila nisikia ni hatare sana na wanasema sana sana anptkn Tabora, kanda ya ziwa ,Dodoma na Mbeya Kama ushawahi kutana nae share nasi tujifunze😁
  18. JamiiForums Tanzania Kufuga mmbwa wa kisasa si mchezo budget yake inazidi familia nyingi

    Ukiona mtu anafuga mmbwa aina ya Germany Shepherd muheshimu gharama yake kuwatunza ni zaidi ya pesa unayomuachia mke wako
  19. JamiiForums Tanzania Hiyo Billion kumi 10 ametoa Jumanne kila kitu kinajulikana mchezo wa kumuita Abdallah , Dullah ulianza zamani

    Hiyo Billion 10 imetolewa na Jumanne Kaseja . Hii inaonesha wazi ni namna gani Jumanne Kaseja ameupania huu mchezo .
  20. JamiiForums Tanzania Hizi trends za Polepole zipo ili kuwasahaulisha watanzania. Siasa mchezo mchafu

    Upo msemo maarufu unaosema “Siasa ni mchezo mchafu,” lakini kwa wengi, huu si msemo tu bali ni uhalisia unaoonekana kila siku. Katika mazingira ya sasa, kuna hali inayozua maswali mengi kuhusu namna mitindo ya maisha, burudani, na “trends” zinavyotumika kama zana za kuwafanya wananchi wasahau...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…