mchezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ali Kamwe: Kuna mchezaji tangu kaenda timu nyingine anajitutumua kuliko alipokuwa kwetu

    Kuna mchezaji tangu kaenda timu nyingine anajitutumua kuliko alipokuwa kwetu
  2. jamaikatz

    Mchezaji gani hapa Tanzania anapewa Heshima kubwa ila uwezo wake ni wa kawaida sana?

    Mchezaji gani hapa Tanzania anapewa Heshima kubwa ila uwezo wake ni wa kawaida sana !
  3. Pdidy

    Tutafungwa 2-0/2-kuna mchezaji akiwepo nitajua 3 zinatuhusu

    MPAKA SASA HALI SIO NZURI KWETU MPAKA SASA INAONEKANA FT MATOKEO YATAKUWA 2-0/2-1 KUNA MCHEZAJI AKIWEPO KWENYE LIST NTAWAJUZA MAPEMA 3 ZINAWEZA KUTUHUSU ALL N ALL KILA LA KHERI TIMU ZOTE
  4. Fbn

    Sanamu la mchezaji messi lazinduliwa kolkata

    Wahindi nao wameamua wasiwe wanyonge wakaona kuweka sanamu la messi lenye urefu wa futi 70. 😄 Nimeshindwa kuendelea imebidi nicheke.
  5. Inside10

    Mchezaji wa zamani wa Yanga SC, TP Mazembe na AS Vita, Chico Ushindi afariki Dunia

    Mshambuliaji wa zamani wa TP Mazembe, As Vita Club na Yanga SC Chico Ushindi Wakubanza, amefariki leo mchana akiwa kwao Congo ya Kinshasa. Akiwa mshambuliaji aliyetoa kila alichokuwa nacho uwanjani, Chico ameacha kumbukumbu za ari, kujituma na nyakati zilizowasisimua mashabiki wa soka la...
  6. William Mshumbusi

    Tatizo la Simba kila Kiongozi ana mchezaji wake na kila moja anataka mchezaji wake aanze na hapo ndio shida huanzia

    Magoli mchezaji aliyempigania na anakula nae ni Joshua Mutale budo. Lazima aanze piga ua. Na Fadlu kuondoka tu kawashika wasouth wawili. Za ndani kabisa.(kwa mujibu wa za ndani kabisa) Mpanzu ni Try Again na wanaompenda Simba yani akina Matola. Wale wa skauti wa Mo ni kujipigania hata kama una...
  7. Its Pancho

    TFF naona mmesahau kumchunguza mchezaji huyu dume linalojifanya jike kwanini??

    Nawasilisha
  8. ngara23

    Yanga wakubali mchezaji wao wa Yanga Princess Jeanine MUkandayisenga kupima, waweka sharti kuwa wachezaji wa Simba na JKT Queens kupima jinsia

    Yanga wameiandikia TFF barua kuwa wako tayari mchezaji wao wa timu ya wanawake, Jeanine MUkandayisenga kupima na kuuthibitisha jinsia yake kama TFF walivotaka TFF waliwaandikia barua Yanga kuwa timu za wanawake za Simba na JKT wamelalamika kuhusu utata wa jinsia ya Jeanine MUkandayisenga na...
  9. ngara23

    TFF kufungia mchezaji wa Yanga Princess, Jeanine Mukandayisenga kisa utata wa jinsia ni hujuma kwa timu yetu

    Tunajua Karia na TFF yake wana kidonda kizoto moyoni baada ya msimu uliopita Yanga kuwa bingwa na kampeni yake ya kugomea derby iliyohairishwa kihuni, hili linamkera sana Karia na TFF yake Kumbuka Yanga ndo timu pekee ambayo haikumuunga mkono Karia kwenye uchaguzi wa utapeli wa TFF, ambapo...
  10. mngony

    Mdhamini wa Jezi za Simba alitoa ahadi ya kusajili mchezaji yeyote Klabu ikimtaka, Je imekuwa hivyo?

    Hij ahadi aliyeutia Boss wa kampuni siku anatambulishwa rasmi kuwa mdhamjnj mpya wa Jezi, Je wanaSimba tunaikumbuka vizuri? Kuna wachezaji kadhaa Simba imewakosa kwa kushindwa kufika Dau au wengine kuzidiwa Dau na timu nyingine. Jeuruti kashindwa au alitoa ahadi ya uongo? Huu ni kama utapeli...
  11. Waufukweni

    Unamkumbuka mchezaji gani hapa kwenye hiki kikosi cha Simba?

    Kikosi hiki cha zamani cha Simba SC kimeacha kumbukumbu kubwa kwa mashabiki wa soka nchini. Wengi walitoa burudani uwanjani na kutengeneza historia ya klabu. Unamkumbuka mchezaji gani hapa kwenye hiki kikosi cha Simba?
  12. Pdidy

    Kwa taarifa tu mkude ndie mchezaji pekee ataagwa na timu mbili tofauti kwa heshima..Simba day na wananchi day

    KILA.LA KHERI MWAMBA ULIITENDEA HAKI TATHNIA YA MPIRA ALL DBEST NIONGEZE SAUTI AMAA.???
  13. GENTAMYCINE

    Huyu Mchezaji wa Taifa Stars PIPINO JR anakimbia kimbia tu Uwanjani hana Tija

    Ni nadra sana kukuta Mchezaji wa Mpira wa Miguu mwenye Matege mabaya kama yake akawa anajua Mpira. Ilitokea bahati tu kwa Marehemu Ramadhan Lenny kuwa nayo na hakika alikuwa na Kipaji cha hali ya Juu hasa katika Nafasi ya Kiungo wa Juu na cha Chini. Hebu upesi sana Kocha Hemed Morocco amtoe...
  14. S

    Edmund John aliyesajiliwa Yanga ni mchezaji hatari sana, nimeumia kusajiliwa Yanga

    Kama makocha wetu wangekuwa na uwezo wa kutambua vipaji basi kiungo wa pembeni Edmund John ni namba moja, dogo anajua sana boli, awali alipokuwa Singida nilidhan ni mchezaji wa kigeni lkn baadae nikaambiwa ni mbongo. Sipepesi macho, kwa sasa Tanzania ukimuondoa Kibbu Dennis, anayefuatia upande...
  15. Nyanda Banka

    Mbona kama kapotea huyu mchezaji wa dunia, Ronaldinho Gaúcho

    MAISHA YA MSTAHAFU 😎 Hivi ndivyo anavyoishi mtu aliyeshinda kila kitu kwenye soka la dunia hii. Alimpa mama yake kila alichoweza, pesa, furaha na hata umaarufu. Aliifurahia kazi yake ya soka kutoka mwanzo hadi mwisho. Alifanya makosa, lakini yalibaki kuwa sehemu ya safari yake. Alinyakua...
  16. GENTAMYCINE

    Simba SC hili la Mchezaji Jonathan Sowah kumpiga Ngumi ya Jicho Steven Mukwala huko Kambini Misri mliweke sawa na Sowah aonywe upesi sawa?

    Mkiambiwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ni habari nyingine kwa Taarifa za Ndani na sina Mpinzani hapa JamiiForums muwe mnakubali tu na hata kunipigia Saluti Kudadadeki. Haya upesi sana huyu Mchezaji wetu mpya na Fundi wa Kufunga Magoli Jonathan Sowah aitwe na aonywe kuwa Simba SC hatutaki Ndodi za...
  17. ELI COHEN

    Tazama moja ya kati ya magoli bora kuwahi kufungwa na mchezaji bora wa muda wote (G.O.A.T).

    https://youtube.com/shorts/Nn26KMIKlQ8?si=9zurt8sqvi8j87R1
  18. A

    Rais Ruto amechachamaa huko kila mchezaji Harambee stars kala mgao wa milioni 21, hiyo ni ya Ushindi wa kwanza tu..Viongozi igeni hii

    Unaambiwa baada tu ya mechi kuisha, Wachezaji wamekula mgao wa milioni 21 kabla hata jasho halijakauka.. Na akaahidi mzigo mwingine kama huo endapo watashinda kila mchezo ulio mbele yao. Ni muhimu Rais wetu akashauriwa kuwa anapotoa ahadi, awe anatoa ahadi ambazo zipo too specific. Ukiahidi...
  19. mwehu ndama

    Feitoto ni mchezaji mzuri ila kwa sasa ni overrated

    Binafsi nimeanza kumfuatilia Feisal kama mchezaji tangu akiwa JKU, na kwa kipindi Fulani kama ilivyo kwa wanamichezo wengi ,"Zanzibar finest" aliwahi kuwa katika ubora wa maisha yake (prime period) na hii ilikuwa misimu yake mitatu ya mwisho Yanga na walau ule wakwanza akiwa na azam FC . Na...
  20. Metronidazole 400mg

    Kweli Simba kiungo cha chini (DM ) wameridhika na kante hawaongezi mchezaji mwingine wa kimataifa?

    Kwa mahesabu yangu zimebaki nafasi mbili za wachezaji wa kigeni mpaka sasa.....moja ni MAEMA ambaye ni kiungo mshambuliaji....nyingine NAHISI ni ya full back namba 3 kureplace valentine noumer,, mpaka hapo tayari idadi ya wachezaji 12 itakuwa imekamilika. Najiuliza,, Simba SC imekuwa na...
Back
Top Bottom