mchengerwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri Mchengerwa, sisi walimu wa Wilaya ya Busega tunaomba msaada wako juu ya Mkurugenzi wa Wilaya

    Mheshimiwa Waziri, Sisi, walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, tunakuandikia kwa huzuni na wasiwasi mkubwa kuhusu vitendo vya ukaidi na unyanyasaji tunavyopata kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, Ndugu Marco Kachoma. Tangu mwezi wa Agosti 2024, tulipomuandikia barua...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watumishi mnanaotaka kugombea nafasi za kisiasa zingatieni taratibu za kiutumishi - Mhe. Mchengerwa

    WAZIRI MCHENGERWA: Watumishi mnanaotaka kugombea nafasi za kisiasa zingatieni taratibu za kiutumishi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma wanaohudumu chini ya ofisi yake kutojiusisha na shughuli za siasa kama...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wapi Mchengerwa ma-Headmaster wanafanya biashara za kuuza nafasi za form one 2025 kwa malipo ya mpaka Sh. Milioni moja

    Mbona naona km serikali imesimama kila mwenye kanafasi anajifanyia anavyoona inamfaa. Wiki hii wameripoti wanafunzi wanajiunga na masomo ya sekondari kidato cha kwanza 2025. Kuna shule za serikali ambazo zina ufaulu mzuri walimu wakuu(Headmasters) wanauza nafasi za kujiunga na shule hizo kwa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Mohamed Mchengerwa Waziri wa TAMISEMI, aenda kuhiji Makkah

    Baada ya yote aliyoyafanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 na sasa yuko Makka. Kama kuna Muumba kweli kabisa anakubaliana na hizi dhihaka nafikiria kuwa mpagani ===== 📍Makkah 🕌🕋🤲🏾 Anaandika Mhe, Mohamed Mchengerwa . Mbunge wa Rufiji na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za...
  5. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Kuna shida gani kati ya Makonda na Mchengerwa?

    Kama Makonda alitoa kauli ambayo sio ya SERIKALI, ni nani anapaswa kuikana ? Ni Mchengerwa au Gerson Msigwa. Kikawaida ? , Ukitizama vizuri ndani yake kuna chuki kubwa dhidi ya Utendaji wa Makonda. Mchengerwa hana mandate juu ya mkuu wa Mkoa, RC ni presidential appointment na Waziri ni...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kimhemko na kisiasa Makonda yupo sahihi; kitaalamu Mchengerwa Yuko sahihi zaidi!

    Usahihi wa Makonda; Inaweza ikaamsha watendaji kuwahi majukumu yao kwa haraka na kwa wakati.........si mbaya. Usahihi wa Mchengerwa; Desturi hii ikiingia katika akili na damu za watu wetu, ambao wengi wao uelewa wao ni mdogo sana na ambao huchagizwa na mihemko ya kisiasa au kikanda na kikabila...
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa anabebwa licha ya kuharibu kila wizara aliyohudumu

    Mh Mchengerwa amekuwa hafanyi vizuri sana kama waziri, ameharibu wizara zote 3 alizohudumu 1. Akiwa wizara ya mali asili na utalii. Huko alitamba na campaign yake ya kuwapeleka Masai wa Ngorongoro huko Msomela Masai waliteseka kutoka kwenye eneo la asili japo kampeni ilikuwa ya kuhama Kwa...
  8. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Maelekezo ya Makonda kuhusu Wananchi kumtembeza Diwani kwenye matope sio maelekezo ya Serikali

    Waziri Mchengerwa amethibitisha kwamba yeye ni mwanasheria. Ameiletea sifa kubwa taaluma yake ya Sheria. Baada ya Makonda kuwapomgeza wananchi waliokuwa wanawadhalilisha viongozi wao, Mchengerwa amesema wananchi wakatazwe kujichukua sheria mkononi. ==================== "Sasa niliona ile...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa ametangaza Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Obto7X40W6I Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametangaza jumla ya Wanafunzi 974,332 waliohitimu Elimu ya msingi mwaka 2024 tayari wamepangiwa Shule za sekondari ambao wataanza Januari 2025. Waziri Mchengerwa ametangaza matokeo hayo mbele...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto: Rufiji chini ya Mchengerwa kuwa Jiji

    Wakuu, Mjomba kasema Rufiji kuwa Jiji chini ya Mohamed Mchengerwa == Msanii na mwanaharakati maarufu, Mrisho Mpoto, amepongeza kasi ya maendeleo yanayofanyika katika Wilaya ya Rufiji chini ya uongozi wa Mbunge Mohamed Mchengerwa. Akizungumza katika viwanja vya Ujamaa, Rufiji, wakati wa...
  11. BabuFey

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa na bibi Titi feastival Rufiji

    Kwenye vipindi tofauti vya Kitenge WCB na Crow Media leo siku nzima ni matangazo ya tamasha linaloitwa la kumuenzi marehemu bibi Titi Mohamed kesho sasa tujiulize. Bwana waziri ana ukwasi kiasi gani kulipa Wasanii wote waliotajwa wakiwemo Diamond, Harmonize na all the way from DRC Mbilia Bell...
  12. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa hajapongezwa kwa kazi nzuri aliyoifanya?

    Alipokuwa akiwaapisha viongozi "wapya" tarehe 10/12/2024, Rais wa JMT, Mh. Samia Suluhu Hassan, alisikika akimpongeza Masauni kwa kazi nzuri aliyoifanya akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani! 1. Mchengerwa naye alipongezwa kwa kazi nzuri iliyofanywa na TAMISEMI? 2. Kati ya Mchengerwa na Masauni nani...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Waziri Mchengerwa: Vyama vingine viendelee kujiimarisha

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amepongeza vyama 19 vya siasa kwa kushiriki kwa uwazi na utulivu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, licha ya baadhi yao kushindwa kupata nafasi mbalimbali za uongozi. Akizungumza Novemba 28, 2024, jijini Dodoma wakati...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Special Thread: Matukio ya Rafu za Uchaguzi na Malalamiko kwenye Zoezi zima Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Wakati zoezi la kupiga kura linaendelea vitendo vya uchakachuaji na malalamiko ya kuonewa wakati wa uchaguzi huwa havikosekani. Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Uzi huu utakuwa maalum...
  15. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Waziri Mchengerwa: Taarifa nilizonazo hadi sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaendelea Vizuri na kwa Hali ya Amani nchi nzima

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewaelekeza wasimamizi wa vituo vya Uchaguzi kuwasaidia wapiga kura kusoma orodha ya majina vizuri ili wote waliojiandikisha wapate fursa ya kupiga kura. Akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mchengerwa: Matokeo ya uchaguzi kutangazwa ndani ya saa 72

    Wakati upigaji kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji ukiendelea maeneo mbalimbali nchini, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa amesema matokeo yote yatakuwa yametoka ndani ya saa 72. Pia, Mchengerwa...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mnyika apinga kauli ya Waziri Mchengerwa Kuhusu Ushirikishwaji wa Vyama Vya Siasa

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amekanusha vikali kauli ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, inayodai kuwa vyama vyote vya siasa, ikiwemo CHADEMA, vilishirikishwa na kukubaliana na taratibu...
  18. Bams

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Hii ndiyo maana ya Kifua Kipana cha Waziri Mchengerwa?

    Siku Rais Samia alipomteua Mchengerwa kuwa Waziri wa TAMISEMI, alimsifia kuwa Mchengerwa ana kifua kipana!! Kila mmoja alitoka na tafsiri yake juu ya kauli hiyo ya Rais Samia. Lakini wengi tulidhania kuwa kifua kipana cha Mchengerwa, japo hatujawahi kukiona, Rais alikuwa akimaanisha uwezo wa...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Minister Mchengerwa: Candidates should file their objections for Local Government Elections in 2 days

    The Minister of State in the President’s Office for Regional Administration and Local Government, Mohamed Mchengerwa, has urged all candidates who are dissatisfied with the nomination of candidates for various positions in the upcoming Local Government Elections. Read also: CHADEMA and ACT...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Lengo hasa la Mchengerwa kupanga mapingamizi yapelekwe siku za weekend ni nini?

    Kuwapa wagombea walioenguliwa siku 2, 08 - 09/11/2024 kuwasilisha mapingamizi yao wakati akijua siku hizo ni weekend na sehemu nyingi ofisi za umma huwa zimefungwa. Lengo lake lilikuwa ni nini, kutaka wananchi wajichukulie sheria mikononi au? Tusiangalie uchaguzi huu tu think about 20 years to...
Back
Top Bottom