mchengerwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rightman

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mhe. Waziri wa nchi ofisi ya raisi (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa

    YAH: MADAI MBALIMBALI YAKIWEMO POSHO YA KUJIKIMU WATUMISHI AJIRA MPYA, MALIPO YA LIKIZO NA MALIPO YA SAFARI ZA KIKAZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA Mhe Waziri wa TAMISEMI, kumekuwa na changamoto na usumbufu mkubwa sana juu ya stahiki mbalimbali za watumishi katika Halmashauri ya Ngara...
  2. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Kama mchengerwa ndo msimamizi mkuu uchaguzi serikali za mtaa basi wapinzani mmekwisha.

    Wasalaam Zote tunajua kwamba bwana mchengerwa ni mkwe wa mama Samia kwa maana kamuoa mtoto wa rais. Na nakumbuka mwaka jana bwana mchengerwa alikula kiapo mbele ya rais Samia na kujiapiza kwamba uchaguzi wa serikali za mtaa mwaka 2024 hakuna mtaa hata mmoja utaenda upinzani. Hakika siku...
  3. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Mohamed Mchengerwa anatangaza uchaguzi wa serikali za mitaa kama nani?

    Kuna mambo yanastaajabisha sana. Huyu ni waziri anayepaswa kusimamia majukumu ya OR-TAMISEMI ambapo Majukumu ya OR-TAMISEMI yanatekelezwa katika ngazi ya Makao Makuu, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa. Kwa kuzingatia Hati ya Rais ya Mgawanyo wa Majukumu (Presidential Instrument) iliyotolewa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais wetu kwanini shule za maeneo ya mjini Arusha ni wanawake? Mama mpumzishe Mchengerwa

    Mh. Rais wetu nchi hii ina ubaguzi mkubwa, kwanini mnawanyanyasa wanaume? Kwa mfano shule ya msingi na sekondari Kaloleni iliyoko Arusha mjini walimu wote zaidi ya 50 ni wanawake, kwanini, walimu wa kiume wako wapi. Jibu ni kwamba wale walimu ni wake wa viongozi pale Arusha, Mkurugenzi hana...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde na Mchengerwa kujadili changamoto za Tozo za Halmashauri kwa wachimbaji Madini

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema Wizara ya Madini imekubaliana na Ofisi ya Rais TAMISEMI kukutana na kutatua changamoto ya tozo zinazowekwa na Halmashauri kwa wachimbaji wa madini nchini. Mavunde ameyasema hayo mkoani Morogoro katika kikao chake wachimbaji wa Mkoa wa Morogoro kwa lengo...
  6. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kimaadili ya kitanzania, mtu hatakiwi kukaa meza moja na mama mkwe siku nzima. Mchengerwa badilika

    Tokea asubuhi hapa Ifakara, waziri Mchengerwa na mama Samia wamekaa meza moja kwa masaa kadhaa, hii sio sawa kimaadili ya kitanzania. Nini kifanyike? Waziri Mchengerwa aachie nafasi zote za kisiasa ambazo zinazomuweka karibu na rais kuliko kawaida ikiwezekana aende hata Chadema.
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakati RC Chongolo anatambulisha Mawaziri leo Songwe ni Mmoja tu Mchengerwa alitajwa nae kwa Furaha, ila Wengine waliishia Kutajwa tu na RC?

    Siku hizi napenda sana kutoa Maelekezo ili wale Matomaso ( Wasioamini ) Kwanza wakajiridhishe ndipo waje tena hapa. Naomba kila Mtu atafute Clip ya leo Rais alilpokuwa Mkoani Songwe pale ambapo RC Chongolo alipokuwa akitambulisha Mawaziri kisha akitizame kwa umakini sana hiki nilichokiulizia...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sare za bodaboda kuwekwa picha ya Rais Samia na Mchengerwa kuagiza madereva bodaboda waache kusumbuliwa halitaongeza uvunjifu wa sheria?

    Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa jana alikuwepo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijiji Dar es Salam wakati akizindua sare maalum (uniform) na mfumo wa kidijitali (kanzidata) wa Madereva bodaboda na Bajaji wa Jiji la Dar es salaam. Sare hizi zina picha ya Rais Samia kama zinavyooneka...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa: Wakuu wa Mikoa wote simamieni mfumo wa Kidijitali wa kuwatambua Madereva Bodaboda na Bajaji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha wanajenga vituo vya bodaboda vya kupaki pikipiki vyenye uwezo wa kuzuia jua na kuwakinga na mvua wanaposubiri wateja. Mhe. Mchengerwa ametoa...
  10. More Chances

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI imekuwa bora chini ya Mchengerwa

    Ni moja ya mawaziri wako smart sana kichwani kuanzia decision mpaka Social life. Kwa muda mrefu nimemfuatilia huyu bwana kazi zake ama kwa hakika namuona mbali sana. TAMISEMI imekuwa bora sana chini ya huyu bwana. Weka like kama unamkubali.
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Nitavunja Mabaraza ya Serikali za mitaa yenye mivutano

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amesema atavunja mabaraza ya madiwani yenye mivutano inayokwamisha maendeleo ya wananchi. Waziri Mchengerwa ametoa kauli hiyo wakati wa kukagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya inayojengwa Kata ya Kibelege...
  12. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Nani wa kumwambia ukweli ndugu Mchengerwa kwamba anapuyanga? Hizi hapa ni sababu tano za kwa nini asitenguliwe?

    TAMISEMI ndio imebeba mfumo mzima wa uendeshaji wa nchi kuanzia ngazi ya nyumba kumi mpaka ofisini kwa Rais. Madudu yanayoibuliwa na viongozi mbali mbali katika ziara mfano za mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda nyingi kati ya hizo ni zinahusu wafanyakazi kunyanyaswa kazini...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa akabidhi Tsh. 50,000,000 kutoka mshahara wake kusaidia Wanarufiji waliokumbwa na mafuriko

    11 April 2024 Dar es Salaam, Tanzania (Google translator) Mchengerwa hands over Tshs. 50,000,000 from his salary to help the Rufiji people affected by floods in the River Rufiji delta Member of Parliament for Rufiji constituency Hon. Mohamed Mchengerwa hand over Tshs 50,000,000 (over...
  14. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa abebelea mizigo ya vyakula kuwapa waathirika wa mafuriko Rufiji. Atoa milioni 4

    Anachofanya Waziri Mchengerwa kwa wananchi wa Jimbo lake la Rufiji walioathirika na mafuriko ni nadra sana kukiona kikifanyika kwa kiongozi wa ngazi ya juu ya Uwaziri. Waziri Mchengerwa ambaye ndiye Mbunge wa Rufiji ameongoza wadau mbalimbali kutoa misaada ya chakula na malazi kwa wananchi wake...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa kuongea na Vyombo vya Habari asubuhi hii saa 5

    Wizara ya TAMISEMI ni Injini ya Taifa letu. Hii Wizara inamgusa kila mwananchi. Asilimia zaidi ya 60 ya Watumishi wa Umma wanasimamiwa na TAMISEMI. Sasa Wizara hii ikiongea ujue kuna jambo na leo Jumatano Machi 20, 2024 Waziri wa Wizara hii Injini ya Taifa, Mhe. Mohamed Mchengerwa anazungumza...
  16. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa tunakuamini lakini acha kusifu sana

    Hongera Rais Samia. Ila mawaziri acheni kutukuza sana kaz za Rais. Hapo tumia maneno ya kumuombea Mh Rais. Kwenye elimu maafisa elimu wana shida ni kama miungu watu. MCHENGERWA fuatilia maafisa hawa ni Machawa na mamalaya. Wengine wanajiona kama kwamba hawatasitaafu. Ile 900,000/= wanaita...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa umefanya kazi gani kushughulikia kero za wananchi wakati Mwenezi Makonda amefanya mpaka kliniki za kusikiliza kero zianzishwe?

    Mchengerwa anaongelea kushughulikia kerozipi kubwa wakati Mwenezi Makonda anakutana na watu kadha wa kadha wakiwa na kero lukuki mpaka zinaanzishwa kliniki za kusikiliza kero hizo? Sekta zote zimevuliwa nguo na Mwenezi Makonda mpaka Mawaziri mnaonekana mifugo halafu unasema umefanya kazi kubwa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri Mchengerwa huyu mkurugenzi wa Tunduru, Chiza Marando na PS wake Prisca Nyoni wananyanyasa watumishi

    Waziri wa TAMISEMI huyu mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru akishirikiana na personal secretary(PS) wake wanawanyanyasa sana watumishi hasa walimu. Huyu PS anaficha barua ya mtumishi hasa inayohusu uhamisho. Kuna mwl alipata uhamisho kutoka TAMISEMI mwaka jana alikaa na barua ya...
  19. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa aagiza Wakuu wa Mikoa kusimamia usambazaji wa sukari

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa yote nchini kusimamia kwa makini usambazaji wa sukari na kuwachukulia hatua wafanyabiashara wote wanaohujumu upatikanaji wake. Akitoa agizo hilo leo Februari 21, 2024 Ofisi ndogo...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa utaweza kuvaa viatu vya Ummy TAMISEMI? TAMISEMI ni ngumu, walimu hawajalipwa pesa za likizo za mwaka jana

    Mohamed Mchengerwa unaaminika ni waziri mchapakazi, tumekuandikia mara nyingi humu kwamba kuna ubaguzi kwenye Halmashauri zetu, mm nimetoa mfano wa halmashauri ya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, hakuna mabadiliko yoyote mpaka sahivi, baadhi wamelipwa na wengine hawajalipwa. Wakati huo...
Back
Top Bottom