mchengerwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchengerwa: Bilioni 23.5 zitajenga vituo vipya vya afya nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, amesema kuwa serikali imetenga kiasi cha Shilingi bilioni 23.5 kwa ajili ya ujenzi wa vituo vipya vya afya katika majimbo mbalimbali nchini, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa awamu ya pili ya...
  2. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Rufiji: Kada wa CCM Shaban Matwebe akataliwa kuchukua form ya kugombea Ubunge jimbo la Mchengerwa.

    Kada wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Rujifi Shaban Matwebe amelalamikia kuwa Katibu wa Chama hicho Wilaya ya Rujifi amekataa kumpa fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Rufiji. Akiongea leo July 1 2025 Matwebe amesema hiyo sio mara ya kwanza kwake kupata changamoto kwani alishawahi kukamatwa na...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mshindani wa Mchengerwa ndani ya CCM adai kunyimwa fomu kutia nia ubunge Rufiji

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Rujifi Shaban Matwebe amejikuta katika hali ya mshangao baada ya Katibu wa Chama hicho wilaya ya Rujifi kumnyima fomu ya kukiomba Chama chake kumteua kugombea Ubunge wa Jimbo la Rufiji, Matwebe anatajiwa kuchuana na Mbunge anayemaliza muda wake Mohamed...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti MTR: Wanarufiji hatumdai Rais Samia, tunamkubali Mbunge wetu Mchengerwa atuletee maendeleo

    Mwenyekiti wa Mchengerwa Tumaini la Rufiji Movement - MTR - Juma Kiholobele amesema Wilaya ya Rufiji Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Mbunge wao ambaye ni Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa kwa waliyofanya katika kuwaletea maendeleo hakuna tunachowamdai Amesema hayo akiwa huko Kata ya Mkongo...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Wakileta pesa zao pokeeni lakini kura kwa mchengerwa

    Wakuu ===== Leo nimeamka na CCM, Nasikia sikia kuna watu wanapitisha viela vyao ili kuwadanganya,naomba niwaambie kitu kimoja,wakileta hizo pesa zao pokeeni na kuleni lakini ikifika wakati wa kupiga kura basi kura zote kwa Mchengerwa. "Hao wanaoleta hizo pesa nadhani wanatoa sadaka na nyie...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa Awafunda Walimu, Awataka Wawe Wazalendo Kuzingatia Maadili

    MHE. MCHENGERWA AWAFUNDA WALIMU AWATAKA WAWE WAZALENDO, KUZINGATIA MAADILI Na John Mapepele Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa ametoa rai kwa walimu nchini kuwa wazalendo na kuzingatia weledi ili kuongeza ufaulu wa wanafunzi. Mhe. Mchengerwa ametoa rai hiyo...
  7. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa anasema yupo tayari kutoa uhai wake kwa ajili ya kulinda amani ya nchi. Mzaha si mzaha!

    Huyu waziri wa nchi bwana Mchengerwa kwa mapovu anayotoa huenda wadau wamebinya penyewe. Sasa anasema ikibidi kutoa uhai wake ili kulinda amani ya nchi basi atafanya hivyo na yupo tayari. Kwa miaka ya karibuni huenda huyu ndiye waziri wa kwanza wa TAMISEMI akiongelea mambo ya ulinzi wa nchi...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mchengerwa: Wanaoleta Vurugu Dar wanatoka nje ya Nchi, Chalamila washughulikie

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, akizungumza na wananchi wa Dar es Salaam katika hafla ya uzinduzi wa Soko la Nyama Choma la Kumbilamoto lililopo Vingunguti, amesema kuwa wanaleta vurugu jijini humo ni watu wanaotoka mikoani na wengine kutoka nje ya nchi. Aidha...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Dkt. Charles Kimei azomewa Vunjo, Waziri Mchengerwa amtetea

    Kwa kile kinachoonekana mbunge wa Vunjo Dk Charles Kimei kuchokwa na wapiga kura wake baada ya kujikuta akipata wakati mgumu mbele ya waziri wa Tamisemi Mohamed Mchengerwa pale alipoanza kuzomewa na wananchi wake, hali iliyopelekea waziri Mchengerwa kuingilia kati na kuwasihi wananchi waache...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa: Hakuna kuchekeana kwenye mambo siriasi ya nchi, wala hakuna kuhurumiana

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa, amewataka wakuu wa mikoa kote nchini kutekeleza majukumu yao kwa ujasiri bila kumuogopa mtu yeyote, huku akisisitiza umuhimu wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa. Akizungumza leo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ukali na tishio kutumia nguvu wanavyofanya Raisi Samia na Mchengerwa "kulinda" amani ya Tanzania ni vigumu sana mtu kuamini Tanzania ni nchi ya amani!

    Nimewasikiliza Raisi Samia na waziri wake Mchengerwa wakiongea kuhusu "kulinda" amani ya Tanzania, kwa namna ya ukali na kuonyesha watatumia nguvu kubwa kuilinda hiyo "amani", kiasi kwamba najiuliza, kama Tanzania ni nchi ya amani, kwa nini muongee kwa ukali namna hii na kutoa vitisho vya ajabu...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa atangaza kila Aprili shule zote ziwe na 'Wiki ya Muungano'

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa ameagiza shule zote nchini za msingi na sekondari kila ifikapo Aprili kuwa na 'Wiki ya Muungano' ili kutafakari tulipotoka, tulipo na tunapokwenda. Amesema hatua hiyo itachangia kwa sehemu kubwa...
  13. Martin Maranja Masese

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa, Makonda; Nyani na Ngedere

    Mchengerwa, Makonda; Nyani na Ngedere Hoja za ufisadi katika ujenzi wa miradi ya maendeleo Arusha iliyotolewa na Mrisho Gambo haitakiwi kujibiwa na Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa au Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda. Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo aliibua tuhuma za ufisadi matumizi...
  14. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mchengerwa aweka jiwe la Msingi Soko la Kimataifa la Sokomatola na kukagua Stendi ya Mabasi ya kisasa jijini Mbeya

    Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa tarehe 26 Aprili, 2025 ameweka jiwe la Msingi katika Soko la Kimataifa la Sokomatola na kukagua Stendi ya Mabasi ya kisasa iliyopo jijini Mbeya na kupongeza miradi hiyo miwili inayosimamiwa na Halmashauri ya jiji la...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa: Anayedhani anaweza kutingisha kiberiti, ajaribu na atakiona

    Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya zote nchini kuchukua hatua kali dhidi ya watu ambao wamekuwa wakihusika na uvunjifu wa amani kwenye maeneo yao. Mchengerwa ametoa maagizo hayo wakati...
  16. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Sakata la Gambo na Mchengerwa angalau lilipaswa kuishia mikononi mwa CAG.

    Huwezi kutuhumiwa na hapo hapo ukajichunguza na kujihukumu. Gambo alitoa shutuma nzito za ubadhirifu dhidi ya wizara ya TAMISEMI, ilitosha kwa spika wa bunge kumuagiza CAG kwenda kupitia matumizi ya pesa za ujenzi uliotuhumiwa na ripoti yake kujadiliwa bungeni, mwisho wa siku mbichi na mbivu...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo Mrisho Gambo, kuomba kwako MSAMAHA unakiri kua Umetoa Taarifa za Uongo Bungeni zenye chuki na kisasi dhidi ya Makonda na Mchengerwa?.

    Duuhh Gambo Gambo Gambo !!
  18. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Gambo una hoja, ila hujiamini-Chini ya Mchengerwa, TAMISEMI imekuwa Wizara ya ovyo

    Nimefuatilia mjadala wako Gambo, unayo hoja na ukweli… changamoto kubwa ninayoiona ni CONFIDENCE and DUE DILIGENCE! Hata Usimamaji wako….ni kama kuku wa Broiller anaeogopa mwanga wa jua. Hatua uliyofikia hupambani tena na Makonda, bali unapambana na Mchengerwa pamoja na Boss wake...
  19. Terrible Teen

    JamiiForums Tanzania Yanayotokea Bungeni Sakata la Gambo na Mchengerwa Linadhihirisha Umuhimu wa Kuepuka Teuzi za Kifamilia

    Kumekuwa na mgogoro mkubwa unaendelea Bungeni tangu majuzi kati ya Mbunge wa Arusha Mjini Ndugu Mrisho Gambo na Waziri wa Nchi, OR TAMISEMI Bwana Mchengerwa. Kwa ufupi ni kamba, Mchengerwa ambaye ni Mkwe wa Rais ameonesha tu kujikweza kwa kibri bila ya kutoa majibu ya hoja za Gambo. Kwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa zuia ziara ya Madiwani Maswa kwenda Mbarali haina tija

    Madiwani Maswa kwenda Mbarali kujifunza kilimo cha mpunga hayo ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi. Madiwani hao wamebakiza miezi miwili baraza hilo livunjwe sasa kuwapeleka Mbarali kuna tija gani wakati zao la mpunga kwa wilaya ya Maswa linalimwa maeneo ya Malampaka na wakulima wanapata...
Back
Top Bottom