Kurasa rasmi za Serikali zimekuwa jukwaa la familia ya Samia?
Kurasa rasmi za serikali na wizara zake katika mitandao ya kijamii kama Facebook, X (zamani Twitter) na Instagram ziliundwa kwa lengo moja kuu: kuwahudumia wananchi kwa kutoa taarifa za sera, huduma, tahadhari na maamuzi ya serikali...
Mchengerwa ni mhuni, hakuna aliyechezea mashine. Baada ya kelele nyingi wameenda kuazima mashine za ziada za hospitali moja binafsi hapa jijini (jina linahifadhiwa wasije kutekwa).
Mchengerwa anaficha aibu kwa kujifanya anapiga mkwara wasaliti. Subirini muone kama kuna mtu yeyote ataadhibiwa...
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amemwagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kufanya uchunguzi na kuwasilisha ripoti kuhusu mashine iliyoharibiwa kwa uzembe wa baadhi ya watumishi wa katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI).
Bima ya Afya kwa wote itabaki kuwa alama kuu ya mhe.Rais Samia katika Taifa letu.
ameipambania hadi tumepata sheria .
Chonde chonde waziri mpya wa Afya kamalizie jambo hili ukiweka akilini kipato cha watanzania wa hali ya chini... hii ni zawadi kwangu na watanzania wengi wanaoipigania...
Uteuzi wa mtoto na mkwe wa Rais Samia Suluhu Hassan katika baraza jipya la Mawaziri, umezua gumzo na maswali mengi.
Ingawa Rais Samia si rais wa kwanza au pekee – barani Afrika au hata kwingineko duniani kuchagua mtoto au ndugu wa karibu katika utumishi wa juu wa serikali
Je Viongozi kuteua...
Are the people advising the president allergic to history books? Do they scroll past every comment on Instagram with their eyes closed?
Because apparently, nobody has had the genius idea to mention that giving your kids or relatives public office is the fastest ticket to the city of conflict of...
Nafikiri ndio sababu ya msingi ya mbavu nene akili kisoda kupelekwa wizara ya afya.
Amebeba ajenda muhimu moja tu, nayo nikupoteza ushahidi wa idadi za vifo na miili ya wahanga wa Mo29!!
Naendelea kukusanya ushahidi angalia body language yake anaonyesha Ni moja walichochea mauaji?
Huyu ni mkwe wa Samia
Poleni Sana wafiwa wote tutaikomboa Tanganyika kutoka kwa wauni Kama hawa
Najuwa kuwa ni mkwe wako na una msifu kuwa ana kifua kikubwa lakini uwezo wake kiakili (IQ) ni mdogo.
Mwaka jana alitumia mbinu zile zile za Magufuli za mwaka 2019 kuharibu uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Na huo uchaguzi ndiyo uliozaa No Reforms No Elections. Kama CHADEMA wangetendewa haki basi...
Mgombea ubunge wa Rufiji wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mohamed Mchengerwa amewasilisha maombi ya wananchi wa jimbo hilo kwa mgombea mwenza wa urais wa chama hicho, Dk Emmanuel Nchimbi la Rufiji kuwa mkoa ili kurahisisha huduma.
Mchengerwa ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za...
Mkwe wa Samia naona anavyoendelea kuwaada wananchi wa Rufiji
============
Mgombea Ubunge wa Rufiji kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)Mohamed Mchengerwa ameweka wazi kuwa Wananchi wa Rufiji wanakwenda kwenye Uchaguzi bila hofu kutokana na Maendeleo yaliyofanyika Jimboni humo.
Mchengerwaameeleza...
Mgombea Ubunge wa Rufiji kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mohamed Mchengerwa anaweka wazi kuwa endapo akipewa ridhaa na Wananchi wa Rufiji kuwa Mbunge katika awamu ijayo ya Miaka Mitano ambapo ameahidi ongezeko la Viwanda ili kukuza Ajira kwa Vijana Mjini hapo.
MCHENGERWA (MTU KAZI) WAJUMBE WAMUAMINI KWA KURA 8,465 (99.19)
Mgombea wa Jimbo la Rufiji anayetetea jimbo lake, Ndugu Mohamed Mchengerwa ameibuka kidedea katika kinyang'anyiro cha kura za maoni kwa kuzoa asilimia 99.19 ya kura zote zilizopigwa.
Matokeo hayo mazuri kwa Mchengerwa yametokana na...
Mtia Nia ya Ubunge wa Jimbo la Rufiji, Mohamed Omary Mchengerwa ambaye ndiye Mbunge anayemaliza muda wake, akinadi sera zake mbele ya wajumbe na kuomba kura kwa wajumbe wa Chama cha Mapinduzi wa Kata za Mupi, Bwawani, Mgomba, Umwe, na Ikwiriri zilizopo Ikwiriri katika Jimbo hilo.
Wakuu,
Hizi shule anazosemea Mchengerwa amezijenga kwa hela zake za mfukoni au ni kodi zenu ambazo mnakatwa kwenye mishahara na biashara zenu?
Pia kama ameingia 2015 maana yake in a span of 10 years "amejenga" shule 48 tu kwa wastani wa kila mwaka ni kwamba kuna shule 4 zinajengwa...
Miaka 10 imekuwa ya Mapinduzi makubwa ya fikra na uchumi Rufiji- Mhe. Mchengerwa
Na John Jayros
Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM) wa Jimbo la Rufiji, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema akichaguliwa tena atashirikiana na wananchi wa jimbo hilo kuboresha uchumi baada ya...
Kwa miaka ya karibuni huyu bwana amepanda sana chati na kuwa mmoja wa mamastermind wa uendeshaji wa nchi hii. Ukiacha nasaba na kuwa mkwe wa mama lakini pia ni waziri mwandamizi anayefoka kwenye maongezi yake kwamba yeye ndiye boss wa wakuu wa mikoa so hamna atakayefanya lolote anapoagiza...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mamlaka zilizo chini yake kumsimamia kwa ukamilifu mkandarasi anayetekeleza ujenzi wa Barabara ya Banana-Kitunda-Kivule-Msongola kwa kiwango cha lami na kuchukua hatua za kisheria ikiwemo kuvunja...
Mhe. Mchengerwa ataka kukamilika kwa ujenzi wa barabara jimbo la Ukonga kwa wakati.
Na John Mapepele
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Mohamed Mchengerwa amemtaka mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Barabara ya Banana – Kitunda – Kivule – Msongola na Kivule – Majohe Junction...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.