mbowe

  1. JamiiForums Tanzania Kazi bado ngumu: Mawakili wa Mbowe waweka pingamizi jipya, Mahakama yakubali kulisikiliza

    Kama ulidhani hii kesi ni lelemama basi unapaswa kujitafakari upya , wakati baadhi ya mamluki wakishangilia kutupwa kwa pingamizi lililohoji uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya Ugaidi, Mawakili wa Mbowe wameweka pingamizi ambalo wasomi wengi walikuwa wanalisubiri...
  2. JamiiForums Tanzania Wananchi wazuiwa kusikiliza Kesi ya Mbowe, Mageti kuelekea mahakamani yafungwa

    Hivi ndivyo ambavyo polisi wao wameamua kufanya leo kwenye Mahakama ya Ufisadi na rushwa iliyo karibu na Shule ya sheria maeneo ya SIMU2000 Ubungo , ambapo Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi wa iwapo kesi hiyo ya Ugaidi inapaswa kusikilizwa hapo au la.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe bado inadaiwa haijafikishwa katika mahakama yenye uwezo wa kusikiliza kesi ya ugaidi

    Mim si Mwanasheria na sijui sharia na siamini kama sheria inaweza kutenda haki hasa hizi sheria za kigeni tulizorithi kutoka kwa wakoloni. Nilishanga malumbano ya jana mahakamani mimi sikuyaelewa ila nilielewa jambo moja tu kuwa kesi ya mwenyekiti wa taifa Mbowe bado haijapelekwa katika mahakama...
  4. JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali kukata rufaa kwenye kesi ya Mbowe, Wana lengo la kuifanyia "delaying tactics" katika kesi hiyo?

    Tumewasikia hao mawakili wa Serikali wakikata rufaa kwenye kesi ya Mbowe, iliyopo Mahakama Kuu, wakidai kuwa hao mawakili wa upande wa utetezi, eti hawakufuata utaratibu Katika kufungua maombi hayo! Imekuwa ni kawaida kwa hao mawakili wa serikali kufanya hiyo ninayoiita "delaying tactics"...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna series zimetengenezwa zenye episodes kibao kuzima mijadala isiyo na masilahi na CCM

    Kwa wajuvi na wafuatiliaji wa Mambo mtanikubalia kuwa Gwajima hutumika kuwa Kama neutralizer wa mambo mbalimbali kwa mfano sasa hivi leo kuna mambo hayajajadiliwa kabisa na jamii ya Watanzania na ni mambo ya msingi sana kwa mfano suala la tozo kupunguzwa kwa 30% badala ya kufutwa kabisa Suala...
  6. JamiiForums Tanzania KISUTU: Jamhuri kuleta mashahidi 24, vielelezo 19 kesi ya Mbowe na wenzake

    Mwenyekiti wa chama taifa Mhe. Freeman Mbowe amewasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo leo Agosti 23, 2021 kesi Na.63/2020 ya Uhujumu Uchumi yenye mashtaka ya Ugaidi ndani yake itaanza kusomwa kwa hati ya mashtaka na ushahidi kwa hatua ya awali. UPDATE: Mashtaka Mwenyekiti wa...
  7. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, James Mbatia Wahudhuria kesi ya Uhujumu Uchumi yenye Mashtaka ya ugaidi ndani yake inayomkabili Mbowe

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ni miongoni mwa watu waliohudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe inayofanyika Leo Agosti 31, 2021 katika Mahakama kuu kitengo cha Uhujumu Uchumi Jijini Dar es salaam. Mwenyekiti wa TCD, Zitto...
  8. JamiiForums Tanzania Mbowe alijichimbia kaburi la kisiasa mwaka 2015

    Kitendo cha kufanya sarakasi za kisiasa na kumfanya Lowassa mgombea mwaka 2015 ni laana ambayo haitamuacha Mbowe. Watu tuliyoa uhai kwa ajili ya chama lakini tamaa ya pesa ikamfanya akaribishe uchafu Tuhuma lukuki za kifisadi kutafuna michango ya makamanda hii nayo ni laana. Hii laana...
  9. JamiiForums Tanzania Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe kuendelea tena 31/8/2021

    Hii ndio taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa , Kwamba Mwamba mwenyewe , Mtemi Isike , Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar kama anavyofahamika huko Zanzibar , kesho atafika kwenye Mahakama kuu divisheni ya Uhujumu uchumi , maeneo ya SIMU2000 kwenye majengo ya LAW SCHOOL , nje ya jiji la Dar...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kesi ya Mbowe leo imeishaje pale Mahakama Kuu

    Nimefungua thread nyingi za wana CHADEMA na tangu asubuhi zilikuwa ni taarifa za kuwepo kesi hii. Baada ya hapo nikatarajia thread nyingi kuhusu mahakama ilichosema. Sijaona chochote badala yake kuna taarifa nyingi za vituko na matukio ya yaliyotokea mahakamani. Mara wamekuja mabalozi tele...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tutafakari pamoja kuhusu washirika wa Mbowe

    Nimeiona clip ya Mbowe akiingia mahakamani na akitoka pia.Nimesikiliza maelezo ya mrema kuhusu kilichojiri mahakamani.Nimewasikia kina mama wakiomba. Najaribu kuwaza hisia za watu ambao walibahatika kuwa karibu sana na Mbowe,Wilbroad Slaa ambaye alikuwa katibu mkuu aliyepitia misukosuko...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Mabalozi wapuuza onyo la Balozi Mulamula kutohudhuria kesi ya Mbowe

    Baadhi ya mabalozi nchini waliofika mahakamani leo kufatilia kesi inayomkabiri Mh. Mbowe.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu tumia madaraka yako mwachie huru Mbowe

    Kwa heshima kubwa Mheshimiwa Rais SSH nawasilisha kwako ombi maalum kwamba, kwa mamlaka uliyo nayo na kwa kutumia ofisi zilizopo kikatiba mwachie huru Ndg. Freeman Aikael Mbowe. Hoja yangu naijenga katika misingi ya kuliponya Taifa na majeraha ya chuki na kutokuelewana. Mhe. Rais nakariri...
  14. JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu wa KKKT, Dkt. Fredrick Shoo amtembelea Freeman Mbowe gereza la Ukonga

    Hii ndiyo taarifa ambayo pengine ulikuwa huifahamu, imeelezwa kwamba Baba Askofu Shoo amefika kwenye gereza la Ukonga kumtembelea Gwiji la siasa za Tanzania, Ustaadhi Aboubakar Mbowe, pamoja na kumuona mfungwa huyo wa kisiasa, Askofu Shoo ametumia nafasi hiyo kutoa neno la matumaini kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kuenzi jitihada za kudai katiba mpya za kamanda Mbowe, makongamno yendelee nchi nzima

    Dawa ya moto ni moto, ili katiba mpya ipatikane basi ni mwendo wa makongamano uanze. Kama lile la Mwanza liliwatetemesha na kukubali matokeo basi tujipange kama chama tuanzishe makongamano tena. My take: Hakuna kubaki nyuma na kurudi nyuma. Mbele kwa mbele kudai katiba mpya.
  16. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe dhidi ya DPP, IGP na Mwanasheria Mkuu kuendelea tena tarehe 30/8/2021

    Wakati kesi ya ugaidi dhidi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ikitajwa mahakamani kesho, kiongozi huyo amekuja kivingine akifungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu dhidi ya Serikali akipinga taratibu za kukamatwa na kushtakiwa kwake. Miongoni mwa madai...
  17. JamiiForums Tanzania Uhusiano uliopo kati ya kesi ya Ugaidi dhidi ya Mbowe na tukio la jambazi

    Naomba niwape pole wakazi wa Dar Es Salaam, Polisi na ndugu wa Polisi waliofariki katika tukio la leo. Tukio hili la anayeshukiwa kuwa jambazi kufyatua risasi hovyo, limeshtua watu wengi. Niwape hongera Polisi kwa kazi hiyo. Naomba kwanza niseme kuwa huyu mtu sio mgeni machoni pa vyombo vya...
  18. JamiiForums Tanzania Sabaya akithibitisha Mahakamani kuwa Mbowe na genge lake walitaka kumuua itakuwaje?

    Katika utetezi wake Sabaya alidai kuwa alikuwa na maadui wengi wa kisiasa huko Hai na walitaka kumuua ndio maana alikuwa akimiliki bastola aina ya Glock 17. Na ameenda mbali akadai hata kesi yake ni fabricated sababu hao maadui zake walipanga kummaliza kisiasa. Tumepigwa na butwaa kumbe maadui...
  19. JamiiForums Tanzania Hukumu ya Ole Sabaya kutolewa Oktoba 1, 2021

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imehitimisha usikilizwaji wa kesi ya jinai namba 105 ya mwaka 2021, inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, hukumu ya Kesi hiyo sasa ni Oktoba 01, 2021. === Kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha namba...
  20. JamiiForums Tanzania Askofu Shoo, samahani unapata wapi nguvu za kuihukumu Serikali kuwa imemuonea Mbowe?

    Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…