mbowe

  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Imevuja Freeman Mbowe kuhamia CHAUMMA mwezi August

    Tetesi hizi zilikuwepo toka kipindi cha nyuma, Sasa ni dhahiri Freeman Mbowe atahamia CHAUMMA mwezi August. CCM walikuwa wanaumiza sana kichwa kumpata mgombea mwenye ushawishi atakaegombea na Samia, Ili kuizuga jamii ya kimataifa kuwa Kuna uchaguzi wa ushindani mwaka huu. Mbowe amefikia...
  2. JamiiForums Tanzania Ninasikitishwa na upinzani dhaifu unaomjadili Mbowe badala ya dira ya taifa iliyozinduliwa leo

    Kazi ya upinzani ni kuleta balance kwenye kuiendesha nchi (checks and balance) ila ninasikitishwa sana na jinsi upinzani wetu ulivyo dhaifu na usiojitambua kabisa. Wanaachaje kuijadili dira ya taifa badala yake kumjadili Mbowe aliyehudhuria uzinduzi? Acha tu CCM iendelee kuongoza kwa sababu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kabisa? Kwa miaka zaidi ya Ishirini, Chadema hamkujua Mbowe ni Tapeli wa kiaiasa?

    Katika mambo ambayo Chadema mliferi na kusababisha safari yenu kuelekea Ikulu kuwa ngumu, ni kukaa miaka na miaka na mtu ndumila kuwili Mtu huyo, badala ya kung'amua mapema nyendo zake kisha kumtimua, bahati mbaya kabisa, yeye aliwasoma nyinyi nyote Mbowe anawajua wote wenye misimamo mikali...
  4. JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimeudhuria uzinduzi wa Dira kwasababu tuliweka maoni yetu lakini pia nilipewa mualiko

    Akizungumza na Nipashe, Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA amesema amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 kwa kuwa alipokea mualiko wa kuhudhuria. Pia amesema wakati wa mchakato wao kama chama walitoa mawazo yao hivyo ni sahihi kwa wao kuiangalia kama waliyopendekeza yamezingatiwa.
  5. JamiiForums Tanzania Mbowe akiwepo uzinduzi dira ya Taifa, Rais mstaafu Kikwete asema 'Huyu Kitila Mkumbo aliteleza, sijui Mbowe alimdanganya nini yule sasa amerejea'

    "Unajua huyu kuna kipindi aliteleza, Huyu Kitila Mkumbo alikuwa mwenyekiti wa vijana UVCCM mkoa wa Singida, sijui Mbowe alikuja kudanganya nini yule pale, kwahiyo anayo fanya haya ni ya ki-CCM, anakumbuka kule alikotokea. Na hio siri nimeitoa ili watu wajue kwamba uliteleza kidogo lakini umerudi...
  6. JamiiForums Tanzania Ushiriki wa Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo: Je, Inatoa Picha Gani ya Kisiasa?

    Ushiriki wa Freeman Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo ya Kisiasa unaashiria juhudi za kimkakati za kujihusisha na wadau wa kitaifa, lakini kutokuwepo kwake kwenye kesi za Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema tangu Januari 2025, kunazua maswali kuhusu umoja wa chama. Tangu kushindwa...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mbowe Aibuka Dodoma Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya 2050

    Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
  8. JamiiForums Tanzania Tofauti ya Polepole, Mbowe, Slaa, Gwajima, Zitto & .com ni nini?

    Wote ni wachumia tumbo, Wote Ni matapeli, Wote ni wanufaika wa mfumo mbovu uliopo, Hawa Wana tofauti gani na CCM yote? Au Wana tofauti gani na wakina Lowassa, Sumaye, Fatma Karume&.com na magenge yote ambayo baada ya maslahi yao kuguswa ndio waliibuka kujifanya watetezi wa wananchi...
  9. JamiiForums Tanzania Nionavyo mimi, CCM ya sasa ni kama iliyokuwa Chadema ya Mbowe.

    Kila ninavyojaribu kutathimini na kufanya hisabati zangu za siasa naona similarities nyingi sana. Kubwa kabisa ni kitu kilikuwa kinaitwa Kamati ndogo ya Kamati Kuu (Decision Making group) na Chadema ni Msingi (Network formation). Wanachama wengine na viongozi walibakia kuwa watekelezaji na...
  10. JamiiForums Tanzania CCM mbona wanahangaika sana! Propaganda za kipuuzi kama, haziwezi kuimaliza nguvu CHADEMA ya Lissu labda angekuwa Mbowe

    Lissu anakubalika kama shujaa na mkombozi wa kweli acheni siasa za kiduanzi 👇
  11. JamiiForums Tanzania Mbowe aonekana kanisani kwa mchungaji Kimaro Kijitonyama

    Mara baada ya ukimya wa muda mrefu, Freeman Mbowe — aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) — ameibukia kanisani kwa Mchungaji Kimaro katika Kanisa la KKKT Kijitonyama, jijini Dar es Salaam. Tukio hilo limetokea Jumapili, Julai 6, 2025, ambapo Mbowe alionekana akiwa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mbowe the great politician

    Huyu jamaa kaijenga CHADEMA kwa maarifa makubwa sana.Busara,hekima na karama ya uongozi zilimbeba sana.Alifanya siasa siyo uharakati. Sijawahi kumsikia akitukana ,kutumia lugha chafu au kudhalilisha wengine.Nasikitika kuona chadema ikiangamia kwa kukosa maarifa.Hotuba ya mama leo imebamba
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chini ya uongozi wa Lissu na Heche, CHADEMA haiwezi kusimama wala kufua dafu tena kwenye medani za siasa za Tanzania

    Na kwamba uongozi ni kuonesha njia na sio kuwachochea chuki na fujo wanachama dhidi ya wenye maoni tofauti na yao, uongozi sio kukiuka sheria kwa kuropoka, kuwatapeliwa wanachama pesa zao au kuwarubuni na kuwalaghai wanachama wanaowaongoza uhuru na haki zao za kikatiba kama vile kushiriki...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mnasalimiwa na Mbowe, anasema wastaafu wakisema mtasema wanawashwawashwa

    Yupo hataki kuwashwawashwa
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ukaribu wa Mwalimu Nyerere na familia ya Freeman Mbowe

    Kama ulikuwa hujui kuwa FREEMAN MBOWE jina lake alipewa na MWALIMU NYERERE, basi wacha nikufahamishe. Watu wengi hudhani kuwa familia ya MBOWE na ile ya MWALIMU NYERERE ni maadui kwa sababu FREEMAN MBOWE ni mpinzani wa kisiasa. Hili si kweli. Ukweli ni kwamba familia hizi mbili ni marafiki wa...
  16. JamiiForums Tanzania Mbowe, fumbo mfumbie mjinga, mwelevu ataling'amua

    Nimevutiwa sana na mahojiano ya EATV na mbunge mstaafu wa Kilwa kusini, ndugu Suleiman Abdallah, almaarufu Bwege ya tarehe June 9, 2025. Mahojiano hayo yaliyohusu mambo mengi ikiwemo, hali yake kiafya, vyama vya siasa na madai ya reforms kuelekea uchaguzi mkuu October 2025, nafasi ya ndugu...
  17. JamiiForums Tanzania Lissu alimshinda Mbowe kwa asilimia ndogo sana

    Heshima sana wanajamvi. Lissu alinshinda Mbowe kwa asilimia ndogo sana. Lissu na team yake baada ya kukabidhiwa chama hawakutambua kundi la Mbowe bado lilikuwa na ushawishi mkubwa sana. Matendo ya Lissu na kundi lake la wajinga hawakuona sababu za kuunganisha makundi ya walioshinda na...
  18. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakati wa CHAUMMA umepita, kilikuwa kipindi kifupi sana. Mbowe ungeaibika vibaya

    Wale wote waliojiunga CHAUMMA nafikiri sasa wanajilaumu sana kwa uamuzi wao wa kukurupuka. Mbowe umetumia akili nzuri sana kutest zari kwanza nafikiri umeona jinsi ambavyo ungeaibika kama ungejitokeza CHAUMMA. NO REFORMS NO ELECTION!!!
  19. JamiiForums Tanzania Hivi Mzee Freeman Mbowe mbona hakemei matukio ya watu kutekwa?

    Wakuu, huyu mzee wetu Freeman Mbowe toka astaafishwe kwa nguvu uenyekiti wa chadema,sijamsikia akitoa kauli yoyote kuhusu mwenendo wa matukio ya utekaji hapa nchini. Je ameamua kutudhira watanzania?
  20. J

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe anaweza Kugombea tena Uenyekiti Chadema Kwenye uchaguzi wa Mapema wa 2028 Katiba inamruhusu!

    Ni kama alivyofanya Trump Freeman Mbowe anaweza Kugombea tena Uenyekiti wa Chadema kama ataona Chama kinayumba kwa huu uongozi wa Sasa. Katiba inamruhusu Mkutano mkuu wa Chadema umeazimia Uchaguzi mkuu ujao ufanyike mwaka 2028 Ili kukwepesha Uchaguzi kufanyika miaka ya Uchaguzi wa Serikali za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…