Habari wanaukumbi!
kujiondoa kwa CHADEMA uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 ni dhahiri shahiri ni pigo kwa taifa, hivyo basi lazima kupatikane jukwaa mbadala la kuandaa viongozi wa taifa hili kwa siku za mbeleni, mtu sahihi wa kufanya hivyo ni FAM, Sisi sote ni mashahidi katika uongozi wake alivyoweza kufanikiwa katika kuwapika vijana kikamilifu ndani ya chama chakr Cha CHADEMA na ndani ya CCM katika sekta ya uongozi na utawala bora kutokana na kipawa, ushawishi na uzoefu alionao katika siasa za Tanzania.
Kwa muktadha huo basi ni Imani yangu endapo atajiunga na wakunja ngumi ✊ CHAUMMA taifa litakwenda kunufaika.