mbowe

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hatuna ndoa na CCM. CCM ni mahasimu wetu, hawatuamini na sisi hatuwaamini

    Mbowe amesema hayo katika mkutano wa CHADEMA na Waandishi wa Habari juu ya Maazimio ya Kamati Kuu juu ya DP World leo tarehe 14/7/2023, akiwa anajibu kuhusu CHADEMA kuwa mezani na CCM, akasema; Russia na Ukraine vita vinaendelea huku mazungumzo juu ya namna ya kumaliza vita yanaendelea, maana...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Inashangaza mpaka Mkurugenzi wa Bandari anasema tunafanya kwa hasara na bado Mbarawa yuko ofisini

    Mbowe ameyasema katika mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari akieleza juu ya Maazimio ya Kamati Kuu juu ya DP World kwamba, katika watu wanaoamini kuwa anatakiwa kujiuzulu ni Mbarawa. Na kusema inashangaza mpaka Mkurugenzi wa bandari anasema jamani sisi tunafanya hasara sana, na bado Mbarawa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kama serikali inayosubiri kuingia madarakani, msimamo wa CHADEMA ni kwamba Mkataba huo ufutwe wote

    Mbowe akiwa kwenye Mkutano na Waandishi wa habari akisoma maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA asema, "kwakuwa hakuna utafiti, ushahidi, wala tathmini ya kina iliyofanywa juu ya jambo hili na kwakua serikali imekosa majibu yenye ushawishi kwa umma, na kwakuwa chama tawala hawasikilizi maoni ya...
  4. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuhutubia Taifa kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari kesho 14/07/23

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mwamba Freeman Mbowe, atahutubia Taifa la Tanzania kupitia Mkutano wake na Waandishi wa Habari utakaofanyika kwenye Makao Makuu ya Chama hicho, Kinondoni Dar es Salaam. Mkutano huo uliobeba Mustakabhali wa nchi na Dira ya Taifa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi, Lissu, Nshalla na Mbowe mmetuharibia mjadala wa Bandari

    Heshima kwenu Wakuu, Majamaa tajwa hapo juu yawezekana kuwa wamelipwa rushwa kubwa sana na mamlaka za juu ili waharibu mjadala wa kitaifa juu ya uwekezaji wa DP WORLD katika bandari ya Dar es Salaam. Hili limetokana na ukweli kwamba mara tu mjadala ulipoanza watu hawa walikimbilia kushambulia...
  6. JamiiForums Tanzania Ndio tuseme Mbowe kapoteza nafasi adhimu nyingine?

    Katika watu wenye bahati kwenye siasa za Tanzania, jina la Freeman Mbowe linaweza kuja kuwa la kwanza kabisa. Jamaa ana bahati za aina yake, na kila siku hupata bahati zingine. Cha ajabu kila mara huwa anachezea bahati na kila mara bahati zinamfata! Mbowe bahati yake ya kwanza ilikuwa kuoa...
  7. JamiiForums Tanzania Msikilize Mbowe kabla na baada ya kifo cha Hayati Magufuli, inaonekana anajutia kwanini hakumuunga mkono

    Ukisikiliza Kauli hii ya mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe utagundua kuwa hata yeye anajutia kwanini hakumuunga mkono Magufuli. Kauli zake zinapingana sana kabla na baada ya Magufuli kufa.
  8. JamiiForums Tanzania Vipi Rais Samia akimwalika Mbowe Ikulu ili wazungumze kuhusu Mkataba wa DP World?

    Sijui Ikulu huwa Kuna nini? Mwenyekiti wa CCM mwenyewe ndio engineer wa huu mkataba. Lipumba hata hajui Kama Kuna mkataba unaendelea mtaani. Zitto akiona kuna waarabu basi breki huwa hazikabi tayari katoa baraka zake. Pasua kichwa kabakia Mbowe. Ukifanikisha kumdhibiti Mbowe pia inakuwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania TLS waungane na Mbowe kuitafakarisha Serikali; nchi bado ina watu wazalendo. Hongera Sungusia

    Aliposema Mbowe ilionekana upinzani; aliposema Kitima ikaonekana Udini; akasema Warioba ikaonekana uzee unasumbua; akisimama Dr. Slaa akaambiwa alihongwa; Tundu Lisu hakujibiwa kabisa kama ilivyo kwa Lipumba na wazalendo wengine. Sasa imekuja taasisi ambayo inaundwa na watu wa vyama vyote; dini...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hata wa serikalini hawaukubali mkataba wa DPW

    Akiongea na watanzania walioko Marekani, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema suala la mktaba wa Tanzania na DPW ni suala ambalo hata watu wa serikalini hawalipendi. Akijibu swali la mmoja wa washiriki wa mkutano huo amesema amepata simu kutoka kwa watu wa usalama wa Taifa na serikali...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Hatutadharau ushauri, maoni na maeneo yenye hofu kuhusu makataba wa bandari

    MAJALIWA: HATUTADHARAU USHAURI, MAONI NA MANENO YENYE HOFU KUHUSU BANDARI --- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali haitodharau maoni na ushauri wanaoutoa kuhusu maeneo yenye hofu kwenye mradi wa uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Waziri Mkuu Majaliwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mbowe, Lissu, Dkt Kitima, Jenerali Ulimwengu, Dkt Slaa - ni wapotoshaji kuhusu DP World?

    Taifa la Tanzania limebahatika kuwa wa baadhi ya watu wenye ushawishi ktk jamii - ingawa wakati mwingine watu hawa huweza kupotosha jamii kwa maslahi ya vyama au madhehebu yao. Hili suala DP World kuwekeza ktk bandari zetu halina hasara kwetu kama Taifa. Lina faida nyingi sana kwetu tofauti na...
  13. JamiiForums Tanzania Natarajia Mbowe kupinga utekelezwaji miradi saba ya ujenzi wa barabara kwa njia ya EPC+ F huku bara

    Wakuu bado ninasubiri kauli ya Mbowe kupinga "Wazanzibari" kutekeleza miradi mikubwa ya ujenzi wa barabara huku bara. Kwa akili zake za kibaguzi nadhani hili pia lilitakiwa limuume na sio bandari tu. Siku nyingine mmiliki wa CHADEMA atafakari sana kabla ya kuropoka. Kauli yake ya kibaguzi...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla amshambulia Freeman Mbowe mbele ya Rais Samia

    Picha: Kushoto ni Freeman Mbowe, Kulia ni Amosi Makalla Katika hatua ya kuonesha kujipendekeza kulikopitiliza, RC Amos Makalla amesema: "Rais Samia Kuna watu eti wanakukosoa kwa maboresho ya Bandari zetu ilhali umefanya jambo hilo kwa uwazi Bungeni kama Azimio. Yeye Mbowe (Freeman) hasemi kama...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Mbowe yupo sahihi sana. Je, muungano si unaweza kuvunjika wakati wowote tukabaki na mikataba ovyo iliyosainiwa na wageni?

    Freeman Mbowe yupo sahihi kabisa kuhoji ni akina nani wanahusika kusaini mikataba hasa ile inayotekelezwa upande mmoja wa muungano. Haiwezekani mkataba mkubwa wenye kuhusisha lango kuu la Tanganyika ukasainiwa na watu wanaotokea upande mwingine wa muungano! Hivi mkataba huo ukiwa na hujuma na...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi, wabunge walikuwa wanamshambulia Mbowe na kuwatishia waliotoa hoja au walikuwa wanawaelemisha watanzania faida ya hiyo IGA na Dubai?

    Kwa maoni yangu. Ni kama vipi lile bunge lilikuwa linampa Mbowe promo za kisiasa badala ya kuwaelimisha watanzania uzuri wa yale makubaliano. Ni kama vile wabunge walikuwa wanawapiga biti kali kali watanzania waliokuwa wanatoa hoja zao kuhusu makubaliano. Ni kama vile wao ndio watanzania...
  17. JamiiForums Tanzania Kuhusu Mbowe, Bandari na Ubaguzi: Je, huwezi kufanya ukosoaji bila kuleta ubaguzi wa kikanda?

    Je, hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe. Si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila. Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka...
  18. JamiiForums Tanzania Mbowe analaumiwa bila sababu

    Mbowe amesema rais huyu mwenye asili ya Unguja anauza ardhi ya Tanganyika nyingi kuliko marais ambao asili yao ni Tanganyika. Sasa amekosea nini? Siyo hivyo tu, rais huyu ambaye hakuchaguliwa na wananchi anauza mali za nchi nyingi kuliko rais waliochaguliwa na wananchi. Huyu ni rais ambaye ni...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Bunge lasikiliza maoni ya Freeman Mbowe kupitia simu ya mkononi. Spika ataka mbunge aandae audio nzuri

    Mjadala wa kubinafsisha shughuli za bandari ya Dar es Salaam umepamba moto leo katika ukumbi wa bunge Dodoma. Baada ya wabunge wa CCM kumshutumu Freeman Mbowe kwa kauli yake juu ya nafasi ya wazanzibari kwenye ubinafsishaji wa bandari za Tanzania, spika Tulia Akson amelazimika kuruhusu clip...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe alipiga bunge tatu bila akiwa ughaibuni

    Hotuba na maelekezo ya Mbowe yamebaki kuwa mchango pekee ulio wa wazi katika suala la bandari. Hakuna kiongozi yeyote wa chama chochote au Mbunge ambaye amefafanua kwa hoja issue ya mkataba na DP world. Naamini sasa Watanzania si lazima tuende Bungeni ndipo tuweze kulitetea Taifa; popote tulipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…