Kupitia ukurasa wake wa X, Freeman Mbowe ametoa njia ambazo zitatumika kwaajili ya maandamano yanayotarajiwa kifanyika Septemba 23, 2024.
Njia ya kwanza - Magomeni kupitiq barabara ya Morogoro mpaka viwanja vya Mnazi Mmoja
Njia ya pili - Ilala Boma Sokoni kupitia barabara ya Uhuru mpaka...
Akifanikisha haya maandamano itabidi tumpatie mitano 5. Ajitokeze na awe mstari wa mbele katika maandamano, yeye na wapendwa wake.
Kama hatoweza basi atukabidhi chama chetu, usukani afanye kumkabidhi Tundu Lissu mwenye hasira za kutosha, ana faili lake sehemu na huwa hana uoga wowote...
https://www.youtube.com/live/N31EQ_oXGJw?si=_5ZvcnFVTooLwMeb
Mwenyekiti wa Chadema Taifa na mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe siku ya leo ameongoza uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya demokrasia nchini kwa mwaka mmoja uliopita, iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD).
Tukio...
amani
balozi
balozi wa marekani
demokrasia
gani
hatari
hekima
kabudi
kongamano
kukimbia
kuliko
kwao
mabavu
mara
marekani
mbowe
moja
muafaka
muhimu
mwakilishi
nchini
prof kabudi
rais
ripoti ya uzinduzi wa hali ya demokrasia nchini
sana
taifa
tcd
ubaya
uhuru
umoja
usalama
usalama wa taifa
utulivu
wakati
Nimeona video ikizunguka kwenye mitandao ya Kijamii ikonesha kuwa jioni ya leo, mwenyekiti wa CHADEMA amesitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike Septemba 23
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema ili Demokrasia ionekane kuwa na maana inapaswa kutambua Haki na hilo linawezekana kukiwa na Utashi wa Kisiasa ambao hasa unatakiwa kutoka kwa waliopewa dhamana ya kuliongoza Taifa.
Akizungumza katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania...
Mwanachama wa CHADEMA, James Mbowe, amekosoa vikali Bunge chini ya Spika Tulia Ackson, akisema kuwa ni dhaifu na halina ubinadamu. Kauli hii imekuja baada ya Bunge kutupilia mbali ombi la kujadili suala la utekaji na mauaji, ambapo Aida Joseph Khenani alitoa hoja ya kuitaka Bunge lijadili suala...
NAUNGA MKONO MAANDAMANO ya tarehe 23 ila Kwa Sharti Moja: Mbowe, Lissu na Familia Zao Wawe Mbele
Katika maandamano yanayotarajiwa kufanyika tarehe 23, naunga mkono juhudi hizi za kidemokrasia. Hata hivyo, kuna sharti muhimu: viongozi wetu, Mbowe, Lissu, na familia zao wanapaswa kuwa mstari wa...
Kwa kweli sijamsikia tena mwenyekiti wa CHADEMA kutoa tamko au ufafanuzi wa ajenda yake.
Najiuliza jee ni mzima au amekubali alihemkwa tu
Au amekiri kimya kimya hakuna atakayetoka pamoja naye siku hiyo
Baba wa ubatizo wa watoto wa Mzee Aikael Mbowe au Nyerere kumtuma Mzee Aikael Mbowe kwenda kutoa posa ya ndoa ya mtoto wake Makongoro Nyerere Mkuu wa Mkoa Rukwa wa Sasa) kwa niaba yake
Ingetarajiwa ukaribu wa Baba yako na viongozi wa nchi ungeathiri mlengo wa kisiasa kwa kutaka usaidiwe kuwa...
HUYU NI MBOWE YUPI?
Huyu MBOWE wa CHADEMA hii ya baada ya kutoka Ikulu kuongea na MAMA kwa siri; sio yule Mbowe wa CHADEMA ya Bunge Maalum la Katiba.
Huyu ni MBOWE mwingine kabisa na wa tofauti; ambaye ameifanya CHADEMA ya sasa iwe Kibogoyo isiyoweza tena kung'ata. Hovyo kabisa!
Yes! Ni MBOWE...
Naendelea kusisitiza tu hoja zangu
Kwamba Cdm ya Mbowe bado haimanishi kile inachisema
Walilalmika JPm kutaka kujiongezea muda wa uongozi huku Mbowe akibadilisha kipengele Cha ukomo na kumiliki Cha kisiasa Kama kampuni yake halisi
Walioinga ufisadi baadae wakampa uraisi waliyemuita fisadi...
https://www.youtube.com/watch?v=dDbkWPfQv2c
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi , Kuzungumza Na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo Vya Habari Leo Jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema “Kuna kauli ya BAVICHA tumeisikiwa...
Freeman Mbowe ni mwanasiasa mtulivu, mwenye werevu na uvumilivu mkubwa sana. Hadi imefika Mbowe anaamua kuwa Samia Must Go, basi ujue kwa kweli mambo hayaendi vizuri katika nchi hii na kuna tatizo kubwa mno.
Pamoja na kwamba uvumilivu ni jambo jema sana kila wakati, kuna mahali inafika hata...
Wasalaam
Naona huyu kiongozi ameshindwa kuwalinda wanachama wa chadema amekua mpole mno na ni kama anatekeleza maagizo flani flani kutoka ccm ni kama kibaraka wa ccm.
Maana haiwezekani wanachama wanauwawa halafu ww km kiongozi unasimama na kutetea wahusika hebu rejea msiba wa mzee kibao...
Nimeona poster ya The Chanzo yenye picha ya Freeman Mbowe ikiwa na maelezo ya kwamba Mwenyekiti huyo wa CHADEMA amemshukuru Rais Samia kwa kuungana na CHADEMA Kuomboleza msiba wa mzee Kibao, je taarifa hii ni ya kweli na chanzo chake ni The Chanzo.
Samia Must Go ni uhaini, unaenda kujitesa mwenyewe na kutesa familia za wenzako, Lissu mkewe na watoto hawako nchini, Lema naye ni hivyo hivyo mkewe analishwa na wazungu huko Canada.
Hiyo Samia Must Go akifa mtu siku hiyo mshtakiwa wa kwanza ni wewe kwa sababu dunia nzima imekusikia.
Samia...
Rais Kikwete ndiye rais aliyekuwa akisikiliza kelele za wapinzani. Walikuwa wakisema anawaita ikulu kwa ajili ya mashauriano na kutafuta suluhu.
Rais Magufuli alipoingia madarakani, alitangaza hadharani kabisa akasema "mimi huwa sishauriki na huwa sipangiwi. Tena ukinishauri ndiyo unaharibu...
RIP Ali Mohammed Kibao.
Following this tragic death and the ensuing conversation, I am finding myself with a lot of questions.
What are the limits of diplomacy and civility?
Mbowe is catching a lof of flack for refraining public anger and letting Masauni speak at the Ali Mohammed Kibao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.